Kuna watu wanafyeka misitu utadhani waliumbwa kwa ajili hiyo! Vijito vingi vya kuvutia maeneo mbalimbali nchini vimepotea kutokana na kutojali mazingira.Tutazoea hiyo hiyo ladha mpya, huwa ninaumia sana nikiona miti inakatwa.
Hiyo misitu wanayofyeka ikiisha ajira zitatoka wapi? Tuangalie sustainability holistically badala ya kuangalia vikundi vichache vya wafyeka misitu.Itaathiri pia ajira za wengine
Hiyo misitu wanayofyeka ikiisha ajira zitatoka wapi? Tuangalie sustainability holistically badala ya kuangalia vikundi vichache vya wafyeka misitu.
Hiyo ndio sustainability inayotakiwa. I agree with you.Njia pekee ya kupambana na hii hali bila kuathiri upande mwingine, zoezi la upandaji miti linatakiwa liwe endelevu, kuwepo na taasisi zinazostawisha miche, na nguvu kazi wakabizie kwenda kuipandikiza mashambani. Ile pesa/ushuru unaokusanywa kutokana na uvunaji wa misitu, itumike pia kuwawezesha vijana kupata ajira ya kupanda miti.
Serikali isiyokuwa na meno hii haina maana yoyoteView attachment 2948986
Taasisi zetu hasa mashule na magereza zimejiandaaje na hili katazo?
Piga 15523wacha wee,
kupata vichekesho kama hivi nibonyeze ngapi?😄