Serikali yapiga marufuku mazao ya uhandisijeni(GMOs) nchini

Serikali yapiga marufuku mazao ya uhandisijeni(GMOs) nchini

Mimea iliyoazalishwa kwa njia ya GMO huliwa na kutumika na watu wa kipato cha hini kutokana na madhara yake kiafya, huwezikuta watu wenye uwezo wao wKila hivyo vyakula, wao hula vitu organic tu. Mbegu zake ukipanda ukavuna mara moja ndiyo basi, ukizipanda mara ya pili hazioti tena inabidi urudi dukani ukanunue mpya na dawa yake ya wadudu ni maalumu usipoitumia hiyo hupati mazao. Unakosa uhuru wa maamuzi kwenye kilimo. Huo ni utumwa kilimo.
 
Wewe sio mtaalamu obviously,you are working on hearsay.Mimi ni mtaalamu na nimepigania sana mazao ya uhandisijeni yapigwe marufuku nchini.Najua yote yanayoendelea
duniani kuhusu GMOs,kwa hiyo serikali iko sahihi kabisa katika uamuzi wake.Nimekuwa naleta mada mbali mbali humu kuhusu ubaya wa GMOs.Tatizo la Watanzania tulio wengi ni kwamba tunakimbilia udaku na mambo yasiyo ya msingi na manufaa katika maisha yetu,tubadilike.

Yaani kwa kweli naipongeza serikali kwa hatua hii.
Kuna watu wachache walikuwa wanasifia hizi mambo kwa malengo tu waendelee kupata fedha za miradi toka kwa wahisani.
Tanzania bado hatuna weledi wa kudeal na GMO. Bado tech yetu ni ndogo. Tukijiingiza kichwa kichwa mbali na madhara yanayowezajitokeza baadae, kuna hatari ya kuishia kuwa wategemezi wa mbegu etc kutoka kwa nje.
 
Unaongea nini wewe unajua ulimwengu uliko sasa katika technology ya kilimo?. Mbona huwa mnaongea pumba tu. Unafikiri Ulaya, America, Asia wote hao wanakula chakula cha asili.

The matter here is TBS and TFDA mzee. Nikupe mfano unafikili nyanya zinazolimwa na kupigwa madawa yasiyo na uwiano sahihi ni salama Kwa matumizi ya binadamu?.

Haupo salama Kama unavyofikili, kuna asali ya kutoka Tabora tena wanaitwa ni ya asili ilifanyiwa analysis majubi yake haifai Kwa matumizi ya binadamu Kwa sababu imeasiliwa na dawa za kupulizia tumbaku.

Msishangilie Kila kitu jiulizeni Kwanini wazungu wanatumia Sana chemical food bado Maisha yao no marefu kuliko tuaojiita walaji wa vyakula vya asili. Baba TBS ni mhimu Kwa vyakula.
Acha uwongo wewe. Organic Foods ni ghali huko kwa wazungu kuliko GMO, hujiulizi kwa nini? Maendeleo ya sayansi na teknolojia visikufanye kuwa mjinga wa kutopembua zuri na baya
 
hili ni jambo la maana sana serikali imelifanya, GMO zingefanya wakulima walazimike kununua mbegu kila mwaka kutoka kwa makampuni yenye kutengeneza mbegu duniani kwa sababu kikawaida mbegu za mazao yatokanao na mazao ya GMO huwa hazioti na kutoa mazao mengi, hili lingepelekea umasikini wa kutisha kwa wakulima wetu masikini.
Pia mbegu za GMO zinayapa makampuni ya mbegu uwezo wa kumiliki hatima yetu katika chakula, siku ikitokea wakubwa wakatuwekea vikwao vya mbegu tutakufa kama kuku kwa njaa.

Naipongenza serikali kwa uwamuzi sahihi katika hili suala!
 
Naunga mkono serikali kwa kuban hizo tafiti A GMO.
Tunajiletea kifo hali tunaona.
Cancer obesity presure to mantion just a few ni hatari ya ajabu.
Tz hatuna bunge ni park of joks.
Katiba mpya ya Warioba ndio muarubaini Tz tupone kuburuzwa!!
 
Yaani kwa kweli naipongeza serikali kwa hatua hii.
Kuna watu wachache walikuwa wanasifia hizi mambo kwa malengo tu waendelee kupata fedha za miradi toka kwa wahisani.
Tanzania bado hatuna weledi wa kudeal na GMO. Bado tech yetu ni ndogo. Tukijiingiza kichwa kichwa mbali na madhara yanayowezajitokeza baadae, kuna hatari ya kuishia kuwa wategemezi wa mbegu etc kutoka kwa nje.
Mkuu kwenye swala la GMOs hatuongelei swala la kuwa na technology ya ku-contain them,zikishakuwepo ni lazima zitaathiri mazingira,afya za watu na uchumi wa wakulima wadogo.Niseme boldly kwamba zimebudiwa kwa ajili hiyo.It is naive to believe that GMOs increases productivity.Evidence shows that so far they haven't done that anywhere.
Technologies tulizonazo so far zinatosha ku-increase productivity, kama tunahitaji,hatuhitaji GMOs.
 
Hivi kuku wa kisasa wa nyama na mayai si wanatokana na GMO? kulisha dunia ya sasa mambo ya GMO hayaepukiki?
Hatuna lazima ya kuwa na GMOs mkuu.Kama umesoma barua iliyoandikwa kwa Rais vizuri,utakuwa umeona kwamba hatuhitaji GMOs, specifically kwa kuwa zina athari kubwa kwa uchumi wa wakulima wadogo,mazingira na afya zetu,lakini pia kwa kuwa technologies tulizonazo zinatosha kabisa ku-inrease productivity.
 
Ni suala la uelewa tu. Ulimwengu ulishaenda mbali sana katika sayansi na technoljia. Kuku tunaokula siyo kuku asili. Mayai siyo mayai asili. nyama, maziwa n.k. Matunda tunayokula siyo asili tena. Ulimwengu ulishaenda mbali sana. Ukisema upande mchi wa mparachichi asili itakuchukua miaka mingi kuvuna. Tunapoona matunda sokoni majira yote ya mwaka elewa hilo tunda siyo asili. Maziwa ya asili ni mpaka ngombe wako azae ndo upate gawana maziwa na ndama. Ulimwengu jamani ulisha hama huko.

Watanzania acheni ushamba.
 
Ukoloni wa kiteknolojia huu
Pamoja na kuwa kuna makundi mawili, yanayosuport na facts zao na kundi lingine linalopinga na facts zao, GMO n i janga la dunia ambalo sijui kama tutalikwepa mpaka lini kwa sababu tusipo panda mbegu za GMO tutakula vyakul;a vya GMO. Vyakula vingi ambavyo ni packed kutoka nje hasa yale mataifa yanayounga mkono GMO zimetengenezwa kwa GMO. Kwa hiyo hapo tuwe tayari kupokea yale madhara ya kiafya
Baada ya kuserach kwenye google, nimekutana na emergence ya superweeds na supperbugs ambazo ni adui wa viumbe hai vya asili
 
MOSANTO ko nyuma ya hii kadhia ya hii teknolojia maana wanataka waue mbegu zetu za asili ambazo unaweza kuvuna na kupanda tena... Watuletee mbegu ambazo ukivuna huwezi kupanda tena maana yake unakua mtegemezi wa mbegu kutoka hayo makamupuni FOREVER .
Pia mbegu hizi zinaua ardhi na kuifanya kua tegemezi kwa madawa na mbolea
Nimekuelewa
 
Huu uzi umeandikwa kanakwamba wote tumesomea kilimo, hata sijaambuliia kitu.
 
Kwani ili kuepuka hiyo dependency ya makampuni makubwa ya Marekani na Ulaya hatuwezi kuzalisha wenyewe hizo GMO?
Kwani hayo madhara ya saratani na mengineyo hayawezi kuondolewa
Mimi nadhani kupinga teknolojia sio jambo jema na kwa wakati huo huo teknolojia inayoingilia nature nayo sio friendly technology na haifai kuungwa mkono
 
Ni suala la uelewa tu. Ulimwengu ulishaenda mbali sana katika sayansi na technoljia. Kuku tunaokula siyo kuku asili. Mayai siyo mayai asili. nyama, maziwa n.k. Matunda tunayokula siyo asili tena. Ulimwengu ulishaenda mbali sana. Ukisema upande mchi wa mparachichi asili itakuchukua miaka mingi kuvuna. Tunapoona matunda sokoni majira yote ya mwaka elewa hilo tunda siyo asili. Maziwa ya asili ni mpaka ngombe wako azae ndo upate gawana maziwa na ndama. Ulimwengu jamani ulisha hama huko.

Watanzania acheni ushamba.
Mkuu kama wewe unaamini hivo baki na imani yako.kula wewe na Familia yako hayo ma GMO.Imeandikwa wengine wana macho lakini wanajipofusha makusudi,wana Masikio lakini wanajitia vizibo wasisikie.
 
Asante sana mleta maada kwa hoja nzuri iliyojengwa kwa fasaha na udadisi, both in English and Kiswahili. Athari ya GMO crops ambayo imeonekana huko India, ni mamia ya wakulima kujinyonga kwa sababu ya madeni. Kila mwaka wanalazimishwa kununua mbegu za Monsanto, kwa bei za kupanda juu kila kukicha. Yaani kule India jina lingine ya Ibilisi ni Monsanto! And because GMO crops are versatile they tend to eliminate natural seeds. Now just imagine the power that companies like Monsanto will have over the world, when all the natural seeds have disappeared na dunia italazimika kutegemea mbegu za Monsanto kujilisha! Serikali imefanya vizuri kuikataza GMO!
 
Tens of thousands march worldwide against Monsanto and GM crops.

The third annual March Against Monsanto was held in around 400 cities in more than 40 countries from the Americas to Africa and Europe

Tens of thousands of people marched in cities across the world on Saturday to protest against the American biotechnology giant Monsanto and its genetically modified crops and pesticides.
The third annual March Against Monsanto – begun by the Occupy movement – was held in around 400 cities in more than 40 countries from the Americas to Africa and Europe.
About 2,500 people staged anti-Monsanto protests in the Swiss cities of Basel and Morges, where the company has its headquarters for Europe, Africa and the Middle East.
Up to 3,000 protesters, rallied by environmental organisations including Greenpeace and anti-capitalist group Stop TAFTA, gathered in Paris, with Monsanto’s market-leading herbicide Roundup the main targets of protesters’ anger.
Roundup weedkiller 'probably' causes cancer, says WHO study

The controversial product’s main ingredient was recently classified as “probably carcinogenic to humans” by the World Health Organisation.
“Looking for mass suicide? Go for Roundup,” read one placard at another French protest in the western city of Rennes.

In Burkina Faso, around 500 people marched in the capital Ouagadougou against the US giant, which introduced GM cotton into the west African country in 2003.
Demonstrators demanded a 10-year moratorium on the planting of Monsanto seeds so “independent research can be conducted” into the effects of the technology.
Up to 1,000 anti-Monsanto activists also gathered in front of the European parliament in Strasbourg as the sun was setting for a minute’s silence “in homage to the existing and future victims poisoned by pesticides,” according to the organisers.
There were similar scenes in Los Angeles and Rio de Janiero.
Up to 500 protesters, including families with small children, took part in a colourful rally under the sun in Los Angeles.
“I’m not a science experiment,” read the sign of a young girl in a pushchair, while demonstrators chanted: “Hell no, GMO!”

“Monsanto is doing terrible things and that’s why we’re here,” said protester Carole Walker.
Megan Cliburn added: “We should be able to know what’s in our food when we are eating; what we are putting in our body.”
About 250 people danced and sang in a noisy demonstration in Rio, accusing Monsanto of “bioterrorism”.
In Chile’s capital Santiago around 1,000 people demanded the withdrawal of Monsanto from the country and the end of production of genetically modified foods.
“We do not want GMOs on our plates,” said Ivan Santandreu, president of the movement Chile sin Transgenicos.
Monsanto did not immediately reply to a request for comment
 
Ina maana mbegu za mahindi wanazotumia wakulima nowdays nazo ni gmo?

Mbona niliskia wanaziita hybrid/chotara

Nazo ukizipanda mara ya pili hazioti
Hybrids au chotara hazina madhara mkuu kwa kuwa sio GMOs.Hizi inashauriwa kuzipanda mara moja tu baada ya kuzinunua,baada ya hapo hairuhusiwi kitalaamu kwa kuwa ubora wake unapungua kwa sababu ya uchavushaji(cross pollination).Hata hivyo zinaota vizuri tu.Ikumbukwe kwamba hybrids zinapatikana kwa ku-cross two pure lines.Hybrids kwa kawaida ni ghali, kwa kuwa muda mrefu unatumika kupata pure lines zinazotumika kwenye crossing.
 
Back
Top Bottom