Serikali yaruhusu Mabasi ya abiria kusafiri kwa saa 24

Serikali yaruhusu Mabasi ya abiria kusafiri kwa saa 24

Polisi na zimamoto na uokoaji nao wasilale usiku kucha wafanye doria barabarani. Afadhali usafiri wa kwenda mikoani utapatikana masaa yote hata jioni unaanza safari kwenda dar, kutoka dar kwenda mikoani usafiri utapatikana muda wote itapunguza kupoteza siku kwa safari moja hakuna kulala gesti
 
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Nchi, Jumanne Sagini wakati anaongea na Baraza la Taifa la Usalama Barabarani na kusema kuwa wamefikia maamuzi hayo baada ya Serikali kuimarisha shughuli za uchumi wa wananchi wake wa maeneo ya mjini na Vijijini.
Hii huduma mbona ipo kitambo, mimi nimesafiri several times na bus moja sijui linatokea Uganda au Sirari, ila linaendeshwa na waarabu koko fulani mirungi sana kwa kama miaka mitatu nimekuwa napanda bus hilo saa 4 usiku pale Dodoma naingia Dar 12 au 11 alfajiri
 
Polisi na zimamoto na uokoaji nao wasilale usiku kucho wafanye doria barabarani. Afadhali usafiri wa kwenda mikoani utapatikana masaa yote hata jioni unaanza safari kwenda dar, kutoka dar kwenda mikoani usafiri utapatikana muda wote itapunguza kupoteza siku kwa safari moja hakuna kulala gesti
Sipati picha December hii sijui itakuaje Huko barabarani.
Serikali iwe macho kwelikweli na madereva walevi
 
Back
Top Bottom