Serikali yaruhusu Mabasi ya abiria kusafiri kwa saa 24

Polisi na zimamoto na uokoaji nao wasilale usiku kucha wafanye doria barabarani. Afadhali usafiri wa kwenda mikoani utapatikana masaa yote hata jioni unaanza safari kwenda dar, kutoka dar kwenda mikoani usafiri utapatikana muda wote itapunguza kupoteza siku kwa safari moja hakuna kulala gesti
 
Hii huduma mbona ipo kitambo, mimi nimesafiri several times na bus moja sijui linatokea Uganda au Sirari, ila linaendeshwa na waarabu koko fulani mirungi sana kwa kama miaka mitatu nimekuwa napanda bus hilo saa 4 usiku pale Dodoma naingia Dar 12 au 11 alfajiri
 
Sipati picha December hii sijui itakuaje Huko barabarani.
Serikali iwe macho kwelikweli na madereva walevi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…