Skid Row Boy
JF-Expert Member
- Mar 15, 2023
- 290
- 401
Kila kitu tunalaumu, hatuna jema hata moja.Watanzania ni kundi la wapumbavu, wao ndo walikuwa wanailalamikia serikali kuwa uwanja mbovu.
Leo serikali inatengeneza hawajasoma hata nini kinatengenezwa na nani atalipia nini ila wanalaumu na kutoa matusi.
Haya bhana. Kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake.Vitu vyote vinafanana rangi,vile vilivyorudishiwa vinafanya uwanja unakua Kama nguo yenye viraka,tv huko nyuma tukiangalia Sana matangazo ya Serengeti na stars,na huwa inaonesha muda na matoleo ukiwa uwanjani,ile tv scoreboard inafika Hadi Dola laki Saba unusu,kumbuka uwanja una umri wa zaidi ya miaka 15 sasa
Watz mnahisi kuibiwa kila sikuHaya bhana. Kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake.
Pale nane nane Kuna ujenzi unaendelea cjajuwa ndio matayarisho ya kupata uwannja mpyaSELIKALI inashindwa kujenga kiwanja Dodoma kwa Dola Milioni 600
Hela wanazotuibia hakuna Cha maana wanacho fanyia.
LAANA TU.
SHETANI.
Nitajie walau taasisi/idara moja tu ya serikali ambayo hainuki rushwa/haina upigaji.Watz mnahisi kuibiwa kila siku
Idara ya maji wilayaniNitajie walau taasisi/idara moja tu ya serikali ambayo hainuki rushwa/haina upigaji.
Tunatakiwa Tuwe na Uwanja Wenye Hadhi ya FIFA,Kikijengwa kiwanja Kama cha Azam kwa Hiyo Pesa tutakuwa na viwanja vingi visivyo na hadhi ya kimataifa MkuuBillion 30 si tungejenga kiwanja kingine kidogo kidogo. Kika specialize kwenye mpira ata kama kile cha azam.
Tanganyika packers pangefaa zaidi
Upigaji tu. Unakarabati kitu kwa nusu ya gharama yake ya upya??Wizara ya Michezo imetangaza kufanya ukarabati mkubwa wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Shilingi Bilioni 31.
Ikumbukwe uwanja huu ulijengwa kwa Bilioni 60 na kuzinduliwa mwaka 2007. Nini maoni yako juu ya ukarabati huu wa bilioni 31??
View attachment 2700884
Sasa si wajenge tu uwanja mwingine? Tutapigwa mpaka lini na hawa wahuni?Wizara ya Michezo imetangaza kufanya ukarabati mkubwa wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Shilingi Bilioni 31.
Ikumbukwe uwanja huu ulijengwa kwa Bilioni 60 na kuzinduliwa mwaka 2007. Nini maoni yako juu ya ukarabati huu wa bilioni 31??
View attachment 2700884
Hatari sana mkuuAloooooooo.
wizara ya upigaji naona ipo kazini.
What?????Wizara ya Michezo imetangaza kufanya ukarabati mkubwa wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Shilingi Bilioni 31.
Ikumbukwe uwanja huu ulijengwa kwa Bilioni 60 na kuzinduliwa mwaka 2007. Nini maoni yako juu ya ukarabati huu wa bilioni 31??
View attachment 2700884