Ukiona Watu wanavunja kirahisi ujue hivyo vitu navyo ni feki sanaHivyo viti vilivyotolewa kuna mwanasiasa atapewa kama sadaka mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona Watu wanavunja kirahisi ujue hivyo vitu navyo ni feki sanaHivyo viti vilivyotolewa kuna mwanasiasa atapewa kama sadaka mkuu
Huyo anayetakiwa ku zuia anajali?Huu upuuzi wa majitu yasiyo na akili yanajifungia na kuja na Mapendekezo ya kijinga ndio inasababisha Serikali inadharauliwa.
Rais zuia huu mkataba hauna Tija ,ndio sababu watu wanasema hakuna Uongozi kama pesa za walipakodi zinachezewa kirahisi hivi.
Hii ya dodoma tulionesha hadi sketch ya 3d na mwendazake sijui iliishia wapi?SELIKALI inashindwa kujenga kiwanja Dodoma kwa Dola Milioni 600
Hela wanazotuibia hakuna Cha maana wanacho fanyia.
LAANA TU.
SHETANI.
Zilienda kujenga ule wa Chattle.Hii ya dodoma tulionesha hadi sketch ya 3d na mwendazake sijui iliishia wapi?
Vitavyotolewa hapo vitauzwa kwa mnada kama skrepazUkarabati ni Jambo zuri, Ila najiuliza tu 30 bil zote zitatumika kukarabati au ndo mambo ya 10%? Je! Viti na taa zitakazotolewa hapo zitaenda kufungwa kwenye viwanja vingine ambavyo hali yake ni duni?
Bil. Mbili zinatosha ukarabati.Ko tujenge kingine ule wa mkapa tuutelekeze?
Ni kweli, Simba pia anahusika katika mchakato huu ila naona kama inaongelewa chini chini. Na huu uwanja ni kama wa Simba maana Rais Mkapa aliujenga baada ya kushtushwa na mafanikio ya Simba kimataifa.Mbona nasikia ukarabati ulianza kitambo kwa makubaliano maalumu kati ya Simba SC kama washiriki wa African Super League na CAF ambapo CAF wangerabati ili uwanja ufikie vigezo vya African Super League?
Vv
Yamepita.Hivi tangu uanze kutumika ulishafikisha mapato ya bilioni 30?
Mkuu hii mada imekuzidi upeo, ungetulia na kubaki kuwa msomaji.Ile tv tu na mifumo yake Bei gani!?..vitu uwanja mzima?!
TV za kisasa huko kwa wenzetu ktk viwanja huwa ni kama 1b za kitanzania, tena hapo inafungwa mpya. Sembuse kufanya repair hapo? Mbona kipindi cha nyuma ilkuwa inafanya kaz? Cost za pale ni repair ndogondogo tu.Hivyo viti vina shida gani mpaka wavitoe? Ukarabati ulitakiwa kufanyika kwenye miundombinu ya maji, vyooni, kupaka rangi, na kuendelea kuiboresha pitch.
Halafu hiyo TV iliwahi kufanya kazi tangu ilipofungwa? Na kwa nini walioiweka wasiwajibishwe kwa utapeli?