CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Kwa thamani ya Dola ya sasa ule uwanja umejengwa kwa Bil 137Mleta Uzi una uhakika uwanja umejengwa Kwa bilion 137
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa thamani ya Dola ya sasa ule uwanja umejengwa kwa Bil 137Mleta Uzi una uhakika uwanja umejengwa Kwa bilion 137
Kaka mshana ukweli bado hatujiendeshi kwa uwazi
mkuu najua upo kwenye ulaji..Bil 30 hupati uwanja acha uongo. WATZ mnapenda kulalamika kisenge yaani. Ule uwanja unajua umegharimu Usd ngapi? Ukiipata hiyo ibadilishe kwa pesa ya leo.
Wizi mwingine huu
Hapo actual bill haizidi 10BWizi mwingine huu
Hawa watu sijui wanawahi wapi?
Kila mtu anakopa huku kule ilimradi mikataba isiyoeleweka..
Au kufa kukaribu mbona!
Huo uwanja gharama yake ilikuwa USD 56 MILLION. Ibadilishe hiyo fedha kwa fedha ya kibongo leo uone gharama yake.mkuu najua upo kwenye ulaji..
Hongera
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Yaani Bongo kila kitu mnahisi mnaibiwa, basi mwambie baba yako akakarabati yeye ule uwanja.Kwenye huo ukarabati sioni mahali wamegusia kupaka rangi mjengo ule, vilivyotajwa ni vile vilivyoko ndani, muonekano wa kupendeza kwa nje ...kama kawaida ya watendaji wetu fungu lake litapotelea kwenye 10% ya watendaji...
Maboresho yakitamatika, mbivu na mbichi zitaonekana.
Sasa baba yangu anaingiaje kwenye mjadala huu? wewe toa maoni yako tu, lengo la jukwa hili ni kujadili hoja sio kutweza.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Yaani Bongo kila kitu mnahisi mnaibiwa, basi mwambie baba yako akakarabati yeye ule uwanja.
Hauja banwa vizuri utakata gogo hata poriniWafanye yote Ila wasisahau tu kuweka bana za video humo pembeni[emoji16]
Japo vyoo ni changamoto Ila Kwa kuwa mm siwezi kunisaidia tofauti na Nyumbani kwangu au kazini kwangu Wala Haina shida[emoji2]
Ujuaji mwingi, yaani hawajui kama ukarabati sio repairing tu ni pamoja na ku upgrade na renovation , inawezekana kabisa nyumba ya million 30 ukaikarabati kwa million 40 inategemeana unataka kuweka vitu ganiWatanzania ni watu wa kufata upepo
Mechi ya Stars umeme ulipozingua lawama zikatupwa kwa swrikali
Maji yakituama lawama kwa serikali
Leo marekebisho yanataka fanyika wale wale wanalalamika
Watanzania wengi wanasoma kichwa cha habari tu.Ujuaji mwingi, yaani hawajui kama ukarabati sio repairing tu ni pamoja na ku upgrade na renovation , inawezekana kabisa nyumba ya million 30 ukaikarabati kwa million 40 inategemeana unataka kuweka vitu gani
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Viwanja vya mikoani ni mali ya CCMNchi hii kuna watu wanaifaidi sana. Anyway, hivyo viti wanavyoving'oa, wavipake rangi vikawekwe katika viwanja viwili vya mikoani vya kuingiza watu 30,000 kila kimoja tupate viwanja vingine 2 wenye standard nzuri ya pitch na majukwaa.
Natumaini makubaliano na hao wachina yatajumuisha maboresho ya viwanja hivyo vingine viwili.
sasa kwa maelezo haya huo sio ukarabati, ni ujenzi mpya mkuu ndio mana tunasema hio hela inaweza kujenga viwanja vya Azam viwili..........Kiti kimoja ni 60000 haya zindisha na 60,000
Ile system ya TV zaidi ya Bil 1 kuiweka pale.
System ya Ulinzi, electronic system, Camera za uwanja, Taa za uwanjani, Paa la uwanja, mifumo ya maji safi na Taka
Fire systems
ile azam ni plot?Jifunze kutofautisha stadium na plot[emoji28]
Ko tukijenga uwanja mpya huu wa mkapa tuuache uoze? 🤔sasa kwa maelezo haya huo sio ukarabati, ni ujenzi mpya mkuu ndio mana tunasema hio hela inaweza kujenga viwanja vya Azam viwili..........
Ikulu. Pale ikulu ni patakatifu, hakuna upigaji hata kidogo. Kama unabisha muulize mama.Nitajie walau taasisi/idara moja tu ya serikali ambayo hainuki rushwa/haina upigaji.