Kwani kafanya kosa gani?Akimaliza masaa 24 kwenye U RC nitajua uchawi upo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kafanya kosa gani?Akimaliza masaa 24 kwenye U RC nitajua uchawi upo
Na mgomo utaibuka tena.Hili ni tamko tu jepesi baada ya mwezi wa saba wataendlea tena kama kawaida
siyo rahisi kuendelea kugoma tenaNa mgomo utaibuka tena.
Hawezi kumtengua maana wote akili zao moja.Akimaliza masaa 24 kwenye U RC nitajua uchawi upo
Huyo mpuuzi analidhalilisha Jeshi letu la Wananchi.aondolewe kwa kosa gani mbona hapo haihitaji hata uchawi
Kweni hii ni mara ya kwanza?!siyo rahisi kuendelea kugoma tena
Katitu,Kwani kafanya kosa gani?
Wanadekezwa hao na Samia Kwa sababu Kila kitu anawasikiliza.
Rais angekuwa Magu au Makonda au Mwigulu na PM Chalamila hakuna rangi wangeacha kuona
View: https://www.instagram.com/reel/C8mEzRNN7QA/?igsh=aDNoeDhzdTh2b3czView attachment 3024811
serikali ina akili sanaaa yani wamelainishwa na kauli tuuuu duuuuuuuuu lakini njaa ya leo wanaisikilizia sanaaaaaaaaTumia akili sio mabavu. Mbona mambo yame solviwa.
Sio rahisi kwako muoga na mlamba viatu wa chalamila.siyo rahisi kuendelea kugoma tena
Chalamila a.k.a Pimbi bado anawasiliana na jeshi huko Kongo lirudi kuwasambaratisha Kriakoo!sasa Chalamila alikuwa anasema nini
Wewe si ndio ulikuwa unasema wapigwe au wafunguliwe kesi ya uhujumu uchumi? Baada ya serikali imekubaliana na wafanya biashara umerudi kinafiki. Siku nyingine msipende kurukia mambo msiyoyajua. Halafu Kama wewe una njaa usidhani wote Wana njaa kama wewe.serikali ina akili sanaaa yani wamelainishwa na kauli tuuuu duuuuuuuuu lakini njaa ya leo wanaisikilizia sanaaaaaaaa
Walipe Kodi,wanapenda faida kubwa,risiti hawatoi,wakitoa wanaandika mauzo 20% ya walichouza,Kama ukilipa Kodi faida hakuna,katafute shughuli nyingineMkuu ulishawahi kuuza hata ubuyu?
Punguza roho mbayaNdio shida ilipo give qualified people technical posts za uwaziri or atleast wawe na washauri technocrats.
Serikali aiwezi kuwa legelege hivyo ina bulge kwa kila shinikizo la kipuuzi.
Hao ni vigeu geu hawana mwelekeo kesho wataweka mabango ya kusifia serikali ya Samiah kusikiliza kilio cha wafanyabiashara wa Kariakoo.Wewe si ndio ulikuwa unasema wapigwe au wafunguliwe kesi ya uhujumu uchumi? Baada ya serikali imekubaliana na wafanya biashara umerudi kinafiki. Siku nyingine msipende kurukia mambo msiyoyajua. Halafu Kama wewe una njaa usidhani wote Wana njaa kama wewe.
Ndio shida ilipo give qualified people technical posts za uwaziri or atleast wawe na washauri technocrats.
Serikali aiwezi kuwa legelege hivyo ina bulge kwa kila shinikizo la kipuuzi.
Huyo ni ligi ndogo, halikuwa la uwezo wake vile alikuwa anajitutumua mpaka anaonekana kitukosasa Chalamila alikuwa anasema nini
Chezea wafanyabiashara wewe. Yule aliekua anataka alete jeshi eti lipigane na wafanyabiashara kwamba wajeda hawana kazi nyingine za muhim zaidi za kufanya. Nonsense.
Kudai jeshi lipo Congo linapigana.Kwani kafanya kosa gani?
Jamaa anazingua sana huyuMkuu ulishawahi kuuza hata ubuyu?
Na sidhani kama kero zao zitakuwa zimetatuliwaHao ni vigeu geu hawana mwelekeo kesho wataweka mabango ya kusifia serikali ya Samiah kusikiliza kilio cha wafanyabiashara wa Kariakoo.