Serikali yasalimu amri mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo, yakubali kusitisha kamatakamata ya TRA na kuleta mfumo mpya wa kodi

Serikali yasalimu amri mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo, yakubali kusitisha kamatakamata ya TRA na kuleta mfumo mpya wa kodi

serikali ina akili sanaaa yani wamelainishwa na kauli tuuuu duuuuuuuuu lakini njaa ya leo wanaisikilizia sanaaaaaaaa
Wewe si ndio ulikuwa unasema wapigwe au wafunguliwe kesi ya uhujumu uchumi? Baada ya serikali imekubaliana na wafanya biashara umerudi kinafiki. Siku nyingine msipende kurukia mambo msiyoyajua. Halafu Kama wewe una njaa usidhani wote Wana njaa kama wewe.
 
Hao ni vigeu geu hawana mwelekeo kesho wataweka mabango ya kusifia serikali ya Samiah kusikiliza kilio cha wafanyabiashara wa Kariakoo.
 
Ndio shida ilipo give qualified people technical posts za uwaziri or atleast wawe na washauri technocrats.

Serikali aiwezi kuwa legelege hivyo ina bulge kwa kila shinikizo la kipuuzi.

sasa Chalamila alikuwa anasema nini
Huyo ni ligi ndogo, halikuwa la uwezo wake vile alikuwa anajitutumua mpaka anaonekana kituko
 
Back
Top Bottom