KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
Kiufupi wafanyabiashara wanajipangia walipe kodi ipi na kiasi kipi.. wafanyakazi wa serikali especially walimu mmeona wenzenu wamekaza wamepata wanachokitaka,kuna cha kujifunza hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada inazungumzia malalamiko ya wafanyabiashara na ukiyasikiliza ukitoa swala la machinga mbele ya maduka (tatizo kweli), mengine ni ya uelewa wao tu kwa upande wa wafanyabiashara.Shida ni kwamba wewe pimbi uko ofsini unafanya kazi chini ya kiyoyozi ma mwisho wa mwezi unalipwa mshahara ndiyo maana unaandika pumba hapa.
Ungekuwa umewahi kufanya biashara ukajuwa namna TRA wanavyo wavizia wafanyabiashara badala ya kuwaeleimisha usingeandika huo utumbo.
Huyu alikuwa mfanyakazi Uchumi Supermarket ilivyokufa akawa anaishi kwa mme wake, maisha yakamshinda akarudi kwaoMkuu ulishawahi kuuza hata ubuyu?
Hiyo damu ilimwagika wapi? Nani alimwagwa damu? Nani alinyang'anywa fedha zake? Unaweza kunitajia hao watu na walinyang'anywa kiasi gani?Wacha kutukumbusha huyo Magu aliyeiba kura zote za mwaka 2020 kwa kuogopa kushindwa uchaguzi. Usiturudishe kwenye ule utawala wa kumwaga damu na kunyang'anya fedha za wafanyabiashara kipitia TASK FORCE.
Muache Rais Samia atumie charisma yake ya kutawala nchi. Siasa za kuua na ubabe tulizizika na Magufuli mwenyewe March 2021
Ndiyo maana nasema kuwa hawa chawa wana vimelea vya ushoga, kama sigara nyota kokote unawasha.Hao ni vigeu geu hawana mwelekeo kesho wataweka mabango ya kusifia serikali ya Samiah kusikiliza kilio cha wafanyabiashara wa Kariakoo.
Kwa hiyo sasa hivi watu wanajipigia tuHuyu alikuwa mfanyakazi Uchumi Supermarket ilivyokufa akawa anaishi kwa mme wake, maisha yakamshinda akarudi kwao
Huenda ikawaKwa hiyo sasa hivi watu wanajipigia tu
CHAWA hajawahi kuwaelewa wenye akili timamu maana anafikiri kwa kutumia tumbo badala ya akili.una akili timamu?
Yule ni mwigizaji hana tofauti na dada kiboga (Joti)Chezea wafanyabiashara wewe. Yule aliekua anataka alete jeshi eti lipigane na wafanyabiashara kwamba wajeda hawana kazi nyingine za muhim zaidi za kufanya. Nonsense.
Wanadekezwa hao na Samia Kwa sababu Kila kitu anawasikiliza.
Rais angekuwa Magu au Makonda au Mwigulu na PM Chalamila hakuna rangi wangeacha kuona
View: https://www.instagram.com/reel/C8mEzRNN7QA/?igsh=aDNoeDhzdTh2b3czView attachment 3024811
Hiyo ndio Taarifa ya sasa baada ya mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo unaoendelea
=======
Waziri wa Viwanda na Biashara, Kitila Mkumbo amesema wamekutana na wafanyabiashara wa Kariakoo na kutoka sehemu nyingine Tanzania wakiongozwa na mwenyekiti wa wafanyabiashara Kariakoo, Majid Mbwana baada ya mapema kutokea Mgomo wa Wafanyabiashara ambapo Biashara zilifungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024. Pamoja na Chalamila kuwasili Kariakoo katika jitihada za kutatua mgogoro huo jitihada zake ziligonga mwamba Baada ya Chalamila kuondoka Kariakoo, bado Wafanyabishara waliendeleza mgomo wa kufunga maduka.
Waziri Kitila amesema changamoto zilizofanya wafanyabiashara kutaka kufunga biashara zao zipo katika maeneo matano ambayo ni:-
Baada ya majadiliano ya kina Serikali imekubaliana mambo yafuatayo
- Changamoto ya ukosefu wa nyaraka hususan bandarini inayosababisha makadirio ya kodi yasiyo sahihi.
- Changamoto ya ukokotoaji ya kiwango cha kodi ambacho wanalipa.
- Suala la uwepo wa machinga katika maduka ambayo wanauza
- Suala la kamatakamata ambalo limekuwa likiendeshwa na mamlaka ya mapato(TRA)
- Changamoto kwenye sheria ya muswada wa fedha(Finance Bill)
- Kuanzia Julai 1, 2024 mamlaka ya mapato Tanzania itakuwa na mfumo mpya wa nyaraka ambao utatumika vizuri zaidi katika kuhakikisha wafanyabiashara wanapata makadirio ambayo ni sahihi.
- Mamlaka ya mapato Tanzania(TRA) inasitisha operesheni zake maarufu kama kamatakamata mpaka itakapokamilisha utaratibu huu ili kuweka mfumo mzuri zaidi wa kukusanya mapato.
- Suala la ukokotoaji wa kodi ni suala la kisheria, Serikali imelichukua na inaendelea kuliangalia ili kuboresha zaidi mfumo wa ukokotoaji wa kodi hususani bandarini.
- Kuendelea kuwapanga wamachinga kama ambavyo Rais aliagiza ili wakae katika maendeo sahihi ambayo hayaingilii biashara za watu wenye maduka ili kila mtu aweze kufaidika, wamachinga na wenye maduka katika eneo la Kariakoo.
- Serikali imewataarifu wafanyabiashara kuwa muswada wa sheria ya fedha(Finance Bill) ya mwaka 2024 bado haujapitishwa na sasa uko katika majadiliano bungeni na kamati ya bunge la bajeti imeita wananchi wote waweze kutoa maoni ikiwemo wafanyabiashara hivyo imewaalika yale maoni ambayo wanayo wayapeleke kwenye kamati ya Bunge na wabunge watazingatia maoni yao kabla sheria haijapitishwa.
Pia, Soma=> Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024
HatariDomo lile kama nyeo
Labda nikukumbushe tu kuwa tax system lazima iendane na jamii.Income tax Act yetu ni copy and paste ya India,Uk na ilikuwepo toka ukoloni hivyo inakubali kwenye jamij ambavyo mifumo ya Kodi Iko well organized.Africa mkulima au mtu anadeal agricultural sometimes anapata hela nyingi na faida kubwa kuliko mchuuzi wa nguo lakini mkulima hayuko rasmi na Wala hasumbuliwi.Tunahitaji kulea biashara huku tukitengeneza mifumo ya watu kujulikana income bila kutumia nguvu.That’s just cheap.
Waziri anazungumza TRA wawataarifu wafanyabiashara nyaraka za kuwa nazo kwenye tax estimates. Wakati hayo maelezo yapo kwenye VAT na Income Tax acts.
Hakuna kitu TRA wanafanya nje ya sheria na ni jukumu la mfanyabiashara pia kuzijua hizo sheria.
Sasa watu wanalalamika hawajui nyaraka za kuwa nazo badała ya kuwaelekeza kwenda kwenye vifungu vya sheria, unataka TRA itoe maelezo; uoni shida kubwa hapo ni hao wafanyabiashara kuzoea kufanya kazi kiholela kama hawajui hata sheria gani zinawataka watunze nyaraka gani au wawe nazo.
Inatakiwa iwe hivyo,Asante sana mkuu.Labda nikukumbushe tu kuwa tax system lazima iendane na jamii.Income tax yetu ni copy and paste ya India,Uk na ilikuwepo toka ukoloni hivyo inakubali kwenye jamij ambavyo mifumo ya Kodi Iko well organized.Africa mkulima au mtu anadeal agricultural sometimes anapata hela nyingi na faida kubwa kuliko mchuuzi wa nguo lakini mkulima hayuko rasmi na Wala hasumbuliwi.Tunahitaji kulea biashara huku tukitengeneza mifumo ya watu kujulikana income bila kutumia nguvu.
Aisee.Kama ikifika kesho asubuhi. Chalamila bado ni kweli RC Basi nitajua kweli hii nchi haina Rais
Bandiko refu kama vile ni kitu kipya kisichojulikana.Hiyo ndio Taarifa ya sasa baada ya mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo unaoendelea