Mabadiliko yatakuja kwa Watanzania wenyewe kuyataka na kuyadai kama walivyofanya Watunisia, Walgeria, nk. Hata mahakama nazo zimejilipua...
Hatupingi mipango ya Mungu wala kuikosoa. Lakini tunaweza kumuuliza Mungu kwa nini kizazi cha kina Kapt Hatty Macghee, Lt. Eugene Maganga, Kapt.Komando, Kapt Hanspoppe, nk nk hakukiacha na kukileta wakati huu? Kama wale waliweza kukaa na kuhoji falsafa za Mwalimu ambazo alikuwa amekwisha jijengea jina kubwa sio TZ na Afrika tuu, bali duniani kote jee wangeshindwa sasa kuhoji na kuchukua hatua?Mabadiliko yatakuja kwa Watanzania wenyewe kuyataka na kuyadai kama walivyofanya Watunisia, Walgeria, nk. Hata mahakama nazo zimejilipua...
Mkuu unataka Zitto na Mbowe ndio wapiganie Katiba mpya ?, wapiganieje sasa ?, kama tulijaribu mwaka 2013 kuunda BMK kwa mujibu wa sheria, makaada ya ccm yakawa mengi yakasababisha baadhi ya wajumbe wakajitoa baada kugundua hmna jipya ambalo lingejiri, sasa unataka Mbowe na Zitto waipiganie peke yao ?, tutakuja kijitoa ufahamu bure huko mbeleRekebisha andiko lako na lisomeke kuwa "Mahakama imesaidia wanainchi kutuma salaam kwa serikali na Mbowe na Zitto wadondokea pua" nashangaa watu wazima kwanini hawajieleiwi au pesa za uchaguzi wanazopewa kwa ajili ya uchaguzi kwao ni muhimu kuliko kupigania Tume huru na Katiba mpya?
Acha uzwazwa wewe, Wakurugenzi waliowapa ushindi wapinzani walikuwa wateule wa Kikwete, sasa hivi huoni wanchokifanya ?, umevaa miwani ya mbao nini ?Safi Sana !kiapo kinakubalika kisheria, haohao wakurugenzi mbona waliwapekeka wapinzani bungeni Sasa hivi iwe nongwa kwa nini! Acheni deko upinzani tafteni agenda zenye maana wananchi wawaelewe zaidi ya hapo chaguzi zote mtakuwa watu wa kulialia kila siku
Halafu kuna mtu anakuja kunambia kajiandikishe ukapige kura kwa namna hii? Serikali yangu ni kichwa changu nafanya uchaguzi nikizinguliwa nafanya mapinduzi ni mim na halmashauri yangu ya kichwa full stop.
Mara zote serikali inatoa maamuzi sahihi kwenye maoni yako. Kwanini?Maamuzi mazuri haya
Huwezi ukampa kazi ya kusimamia Uchaguzi mtu temporary nu hatari kwa usalama wa nchi
Mahakama hizi za Ccm wala haziko fair kwa wapinzaniHii ilitegemewa. Mahakama kwa sasa hakuna kitu pale.
Rekebisha andiko lako na lisomeke kuwa "Mahakama imesaidia wanainchi kutuma salaam kwa serikali na Mbowe na Zitto wadondokea pua" nashangaa watu wazima kwanini hawajieleiwi au pesa za uchaguzi wanazopewa kwa ajili ya uchaguzi kwao ni muhimu kuliko kupigania Tume huru na Katiba mpya?
Muhimu ni kula kiapo cha kuukana uwanachama!Kwa mujibu wa maelezo hayo, Hata Bashiru anaweza kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi kama Rais akijisikia kumpa nafasi hiyo
Agizo kutoka msanii rais.
Hapo sasa.....akijikana kunamuondoleaje maamuz ya kuwa bias!?Hahahahahahahahahhaah wanakana uanachama[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hata hao majaji hukana uanachama lakini hawarudishi kadi za uanachama, bado ni wanachama.Serikali imeshinda rufaa dhidi ya kesi iliyofunguliwa na Bob Wangwe kupinga wakurugenzi Kusimamia uchaguzi.
Mahakama ya Rufani imetengua hukumu na amri ya Mahakama Kuu kuzuia wakurugenzi wa halmashauri, manispaa, na majiji kusimamia uchaguzi mkuu kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Mahakama ya rufaa imefikia maamuzi baada ya kujiridhisha na hoja za serikali kuwa wakurugenzi hao kabla ya kuwa wasimamizi wa uchaguzi hula viapo vya kukana uanachama wao.
Pia soma
Serikali yabwagwa Mahakamani kesi ya kuzuia Wakurugenzi kusimamia uchaguzi
Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali mapingamizi ya Upande wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kwenye kesi ya kikatiba inayopinga Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi. Uamuzi huo unatokana na Serikali kuwasilisha pingamizi kupitia hoja zao wakidai shauri hilo lilifunguliwa kinyume na sheria...www.jamiiforums.com Mahakama Kuu yabatilisha Vifungu vya Sheria vinavyowapa mamlaka Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi
Mahakama Kuu (Dar) imebatilisha vifungu vya sheria vinavyowapa mamlaka Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia Uchaguzi. Kesi hiyo namba 6 ya mwaka 2018, ilifunguliwa na Bob Wangwe dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG). Katika kesi hiyo, Bob Chacha Wangwe aliyekuwa akiwakilishwa na Wakili...www.jamiiforums.com Baadhi ya mijadala ndani ya JamiiForums:Serikali kukata rufaa hukumu ya kuzuia Wakurugenzi wa Halmashauri na Jiji kusimamia uchaguzi
hilo liko waziwww.jamiiforums.com
2016
Julai 2018:Hatutaki wakurugenzi wasimamie uchaguzi 2020
Tunataka tume ya taifa ya uchaguzi ijitegemee yenyewe kusimamia zoezi la uchaguzi ifikapo 2020, tume ipeleke wawakilishi wake kwa kila wilaya na sio kuweka wakurugenzi wa halmashauri na manispaa kusimamia uchaguzi kuepusha biases. Hatuwezi kua na uchaguzi huru na wa haki hata siku moja...www.jamiiforums.com
NEC wenyewe walishaona haya:LHRC: Asilimia 80 ya Wakurugenzi wa Halamashauri wanaopaswa kusimamia uchaguzi waliwahi kugombea uongozi kupitia CCM
Hii ni habari iliyotolewa na Mkurugenzi wa Kituoa cha Sheria na Haki za Binadamu nchini ambapo amesema taarifa hiyo ni kulingana na utafti wao walioufanya mwaka jana ambapo wengi wao waligombea nafasi mbalimbali kupitia CCM ila kura hazikutosha. Mkurugenzi huyo hakutaka kufafanya zaidi kwani...www.jamiiforums.com
2016NEC yatahadharisha Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi kutojihusisha na siasa maeneo ya uchaguzi wa marudio
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewaandikia barua za kuwatahadharisha wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi kutojihusisha na siasa katika maeneo yao ambayo yanafanya uchaguzi wa marudio ya ubunge. Kauli hiyo, ilitangazwa Dar es Salaam jana na Mkurugenzi wa NEC, Ramadhan Kailima, wakati wa...www.jamiiforums.com
2014Madhara ya kuteua makada kwenye nafasi za Ukurugenzi wa Halmashauri
UTEUZI WA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZA WILAYA, MIJI, MANISPAA NA MAJIJI. Katika ngazi ya wilaya tulizoea kuona Raisi akiteua DC pekee huku nafasi zingine za makatibu tawala na wakurugenzi wakichaguliwa na watu wengine. Nafasi ya Mkurugenzi ni nafasi muhimu sana na inatakiwa kupewa kwa njia ya...www.jamiiforums.com
Uchaguzi Serikali za Mitaa: Wakurugenzi waendeleza rafu
TARIME; Muda huu tunavyowasiliana kuna sintofahamu kubwa mjini Tarime katika mitaa ya Msati highway, Iganana,Binafsi na Nyangai, ambako DED aliahirisha uchaguzi na akatangaza kwa vipaza sauti ufanyike leo Jumanne. Wananchi kwa wingi wameamkia vituoni. Hakuna kitu kinaendelea. Wamefuatilia...www.jamiiforums.com