Serikali yasitisha leseni ya kuchapisha na kusambaza Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020

Serikali yasitisha leseni ya kuchapisha na kusambaza Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020

Haya ,kumekucha.
IMG-20200623-WA0013.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati nipo darasa la tano mwalimu wangu wa somo la Historia alitufundisha jinsi NAZISM(Hitler) walivyo jizatiti kwenye madaraka(consolidation of power) mwalimu wetu alisema ni kutumia magazeti pamoja na kufuta magazeti ambayo yalikua yakiukosoa utawala wa Hitler.
 
Double standard, Tanzanite je linatoa habari gani au uzushi na uongo ni pale vipoelekezwa upande mmoja tu. Uzushi na uongo wa Tanzanite na mengine vikielekezwa upande wa upinzani vinakua regarded kma ni ukweli. Hata ivyo ngoma ikivuma sana ipo karib kupasuka, we seat aside an watch.
 
Qualification ya kuwa mpinzani ni kusema uongo.
 
Kuelekea uchaguzi ulio huru na haki.
MaCCM hata mfanyenye Chama limewafia hilo, Magufuli naCCM yake wamekataliwa Mbinguni na Duniani, Tanganyika na ZANZIBAR. Huo ndio ukweli.
 
Gazeti linafungiwa na mkurugenzi wa idara ya habari, halafu unaambiwa rufaa ukakate kwa waziri mwenye dhamana ya habari, ni kama unatoka sebleni unaingia chumbani.
 
Back
Top Bottom