Serikali yasitisha leseni ya kuchapisha na kusambaza Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020

Hazijapita hata wiki mbili toka tulipolivunja Bunge letu na kwa mbwembe kuutangazia ulimwengu kuwa uchaguzi wetu wa mwaka huu utakuwa ni huru na wa haki. Hizi rafu hata kabla kipyenga kupulizwa zinaanzaje sasa!
 
Wamepata ile kitu wanataka! Sasa watasema hakuna uhuru wa vyombo vya habari.
 
Kama wanaweza kuzusha Mwenyekiti Freeman Mbowe kavamiwa na watu wasiojulikana kumbe alikuwa amelewa chakali hapa inaonekana serikali imevumilia mengi sana kutoka katika gazeti hilo.
 
Sijawahi juta kuikataa CCM na viongozi wake.

Better were colonial days!!
Hapo mwanzoni nilikuwa siichukii CCM na watu wake, lakini kadiri siku zinavyokwenda ndivyo ninavyozidi kuichukia na kuwachukia watu wake.

Imagine hata mjomba nilishawahi muambia asiniletee habari za CCM na ikiwezekana au akiwa mbishi tusiongeleshane kabisa.

Kiwango cha kuichukiq CCM kwangu kimezidi 100%, kuna group moja la WhatsApp mimi nilikuwa miongoni mwa Maadmin kuna mtu akaleta habari za CCM na tulishakataza, huwezi amini nilimleftisha wengine wakaleta maneno maneno kilichofuata saa 7 usiku niliwaondoa uadmin wenzangu wote waliokuwa wanatetea CCM na mambo yao na sasa hili kwenye group hali ni tulivu kabisa.
 
Vyombo vya habari na wanahabari hii awamu imekua ngumu mno kwenu,poleni sana.
 
Wewe mtu mmoja ukiichukia Ccm unaipunguzia nini? Ccm inawanachama zaidi ya milon 30
Hapo mwanzoni nilikuwa siichukii CCM na watu wake, lakini kadiri siku zinavyokwenda ndivyo ninavyozidi kuichukia na kuwachukia watu wake.

Imagine hata mjomba nilishawahi muambia asiniletee habari za CCM na ikiwezekana au akiwa mbishi tusiongeleshane kabisa.

Kiwango cha kuichukiq CCM kwangu kimezidi 100%, kuna group moja la WhatsApp mimi nilikuwa miongoni mwa Maadmin kuna mtu akaleta habari za CCM na tulishakataza, huwezi amini nilimleftisha wengine wakaleta maneno maneno kilichofuata saa 7 usiku niliwaondoa uadmin wenzangu wote waliokuwa wanatetea CCM na mambo yao na sasa hili kwenye group hali ni tulivu kabisa.
 
Huyo dikteta uchwara amebugi step sana. Siku hizi watu hawashughuliki kusoma makaratasi. Mambo yote yako kwenye mtandao ambako hana uwezo wa kufanya lolote bali kuvizia wachache awateke au awaue na mara nyingine kuomba malaika wafunge mitandao.

what are you talking about, unajua mitandao ya simu wananunua wap internet?
 
Serikali yafuta leseni ya gazeti la Tanzania Daima.

Serikali imetangaza kufuta leseni ya uchapaji na usambazaji wa gazeti la Tanzania Daima kwa kujirudia makosa yanayokiuka maadili na sheria ya nchi.

Hata hivyo uongozi wake umepewa siku 30 kukata rufaa kwa waziri mwenye dhamana dhidi ya uamuzi huo. #habarileoupdate

Kazi ipo mwaka huu!
 
Hapo mwanzoni nilikuwa siichukii CCM na watu wake, lakini kadiri siku zinavyokwenda ndivyo ninavyozidi kuichukia na kuwachukia watu wake.

Imagine hata mjomba nilishawahi muambia asiniletee habari za CCM na ikiwezekana au akiwa mbishi tusiongeleshane kabisa.

Kiwango cha kuichukiq CCM kwangu kimezidi 100%, kuna group moja la WhatsApp mimi nilikuwa miongoni mwa Maadmin kuna mtu akaleta habari za CCM na tulishakataza, huwezi amini nilimleftisha wengine wakaleta maneno maneno kilichofuata saa 7 usiku niliwaondoa uadmin wenzangu wote waliokuwa wanatetea CCM na mambo yao na sasa hili kwenye group hali ni tulivu kabisa.

futa na hawa wanaosifia ccm uku JF: siasa ni mchezo bro , hisia peleka kwingine
 
Serikali yafuta leseni ya gazeti la @tanzaniadaimatz

Serikali imetangaza kufuta leseni ya uchapaji na usambazaji wa gazeti la @tanzaniadaimatz kwa kujirudia makosa yanayokiuka maadili na sheria ya nchi. Hata hivyo uongozi wake umepewa siku 30 kukata rufaa kwa Waziri mwenye dhamana dhidi ya uamuzi huo. #habarileoupdate

Kazi ipo mwaka huu!
Mbona kama masharti waliyopewa ili kurudi mitamboni yanaeleweka na yanatekelezeka? Wanaweza kurudi mapema sana. Tunawahitaji sana hasa wakati huu wa heka heka za uchaguzi

IMG-20200623-WA0020.jpg
 
Haya maamuzi ya kulifungia yamechelewa sana. Lilipaswa liwe lishasahaulika kama kumewahi kuwa na takataka inayojiita Tanzania Daima
 
Back
Top Bottom