Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchaguzi uta kuwa huru na wa haki..Kwa hiyo unataka magazeti yanayomsifia yesu wenu tuu sindio
Beberu jeusi!
Hapo mwanzoni nilikuwa siichukii CCM na watu wake, lakini kadiri siku zinavyokwenda ndivyo ninavyozidi kuichukia na kuwachukia watu wake.Sijawahi juta kuikataa CCM na viongozi wake.
Better were colonial days!!
Sasa unalalamika nini?
Hapo mwanzoni nilikuwa siichukii CCM na watu wake, lakini kadiri siku zinavyokwenda ndivyo ninavyozidi kuichukia na kuwachukia watu wake.
Imagine hata mjomba nilishawahi muambia asiniletee habari za CCM na ikiwezekana au akiwa mbishi tusiongeleshane kabisa.
Kiwango cha kuichukiq CCM kwangu kimezidi 100%, kuna group moja la WhatsApp mimi nilikuwa miongoni mwa Maadmin kuna mtu akaleta habari za CCM na tulishakataza, huwezi amini nilimleftisha wengine wakaleta maneno maneno kilichofuata saa 7 usiku niliwaondoa uadmin wenzangu wote waliokuwa wanatetea CCM na mambo yao na sasa hili kwenye group hali ni tulivu kabisa.
Huyo dikteta uchwara amebugi step sana. Siku hizi watu hawashughuliki kusoma makaratasi. Mambo yote yako kwenye mtandao ambako hana uwezo wa kufanya lolote bali kuvizia wachache awateke au awaue na mara nyingine kuomba malaika wafunge mitandao.
Kama kuna uonevu makama zipo.This is unacceptable
Hapo mwanzoni nilikuwa siichukii CCM na watu wake, lakini kadiri siku zinavyokwenda ndivyo ninavyozidi kuichukia na kuwachukia watu wake.
Imagine hata mjomba nilishawahi muambia asiniletee habari za CCM na ikiwezekana au akiwa mbishi tusiongeleshane kabisa.
Kiwango cha kuichukiq CCM kwangu kimezidi 100%, kuna group moja la WhatsApp mimi nilikuwa miongoni mwa Maadmin kuna mtu akaleta habari za CCM na tulishakataza, huwezi amini nilimleftisha wengine wakaleta maneno maneno kilichofuata saa 7 usiku niliwaondoa uadmin wenzangu wote waliokuwa wanatetea CCM na mambo yao na sasa hili kwenye group hali ni tulivu kabisa.
Tanzanite ni gazeti LA TISS na pesa Yake inalipwa na Doto.
Gazeti la kusambaza uongo uzushi na uzandiki
Mbona kama masharti waliyopewa ili kurudi mitamboni yanaeleweka na yanatekelezeka? Wanaweza kurudi mapema sana. Tunawahitaji sana hasa wakati huu wa heka heka za uchaguziSerikali yafuta leseni ya gazeti la @tanzaniadaimatz
Serikali imetangaza kufuta leseni ya uchapaji na usambazaji wa gazeti la @tanzaniadaimatz kwa kujirudia makosa yanayokiuka maadili na sheria ya nchi. Hata hivyo uongozi wake umepewa siku 30 kukata rufaa kwa Waziri mwenye dhamana dhidi ya uamuzi huo. #habarileoupdate
Kazi ipo mwaka huu!
Tanzania daimaLipi hilo?