wanabodi kwa taarifa za awali nikwamba , kilichopelekea gazeti la tanzania daima kufungiwa leseni ni takukulu.
inasadikiwa baada ya takukuru kutimba ndani ya chadema kuchunguza ufisadi uliolalamikiwa na mh. Lijua likali
Gazeti hilo limekoswa fedha za kujiendesha, ikiwemo mishahara na uzalishaji wa gazeti hili.
hivyo wamekuja na drama za kuandika kwa makusudi maudhui ambayo kwa 100% wanajua nikosa ili gazeti lifungiwe kukwepa aibu ya kufilisika kwa gazeti la mwenyekiti wa chadema.
inasadikiwa gazeti hili lilikuwa uchochoro wa kuiba fedha za chama.
Hongera Takukuru Tanzania.