Serikali yasitisha leseni ya kuchapisha na kusambaza Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020

Serikali yasitisha leseni ya kuchapisha na kusambaza Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020

Gazette makini kama Tanzania Daima lisingeruhusiwa kuendelea kuwepo kipindi hiki, ndani utawala wa kifashisti
 
Ni muendelezo tu wa udikteta uchwara bila shaka! Hivyo hakuna jipya.
 
Hata Omar Al-Bashir alisitisha leseni za magazeti kibao yaliyoandika Yale asiyoyapenda lakini leo hii yuko lupango.
Jiwe naye siku zake zinahesabika.
 
Tanzania daima najua hawajafanya kwa bahati mbaya!
Wamefanya kwa makusudi ili lifungiwe hilo gazeti maana limefirisika.
Pesa zilizokuwa zikiliendesha nipesa za chadema.
Ss takukuli wameharibu.
 
Sasa tuna subiri wagombea wa upinzani kunyimwa fomu za kupambana na Yesu wa Ccm. Au kuwekewa mapingamizi na tume kuwafuta..
Chaguzi utakuwa Huru na Wahaki..
 
wanabodi kwa taarifa za awali nikwamba , kilichopelekea gazeti la tanzania daima kufungiwa leseni ni takukulu.

inasadikiwa baada ya takukuru kutimba ndani ya chadema kuchunguza ufisadi uliolalamikiwa na mh. Lijua likali

Gazeti hilo limekoswa fedha za kujiendesha, ikiwemo mishahara na uzalishaji wa gazeti hili.

hivyo wamekuja na drama za kuandika kwa makusudi maudhui ambayo kwa 100% wanajua nikosa ili gazeti lifungiwe kukwepa aibu ya kufilisika kwa gazeti la mwenyekiti wa chadema.

inasadikiwa gazeti hili lilikuwa uchochoro wa kuiba fedha za chama.

Hongera Takukuru Tanzania.
 
Habari yako siwezi itilia mashaka sana maana cdm wanamtindo wa kutumia mianya ionekane wameonewa.
 
Hata wewe kwa hakilizako ambazo hujapitia uandishi wa habari! Hivi habari ya askofu bagonza kutangaza maandamano ilikuwa yakuandikwa na waandishi hodali na wasomi na baadaye kuhaririwa na wahariri wenye weredi wa tanzania daima ?
Hii ilikuwa drama ya makusudi kukwepa aibu , maana takukuru tangia waanze kuchunguza account za chadema, moja ya mianya iliyokuwa inatumiwa na chadema kuiba fedha za rudhuku za watanzania walipa kodi ni gazeti hilo.

Saivi pesa haziendi tena. Gazeti lao halinunuliwi mitaana lakini lilikuwa likichapishwa kwakutumia fedha za rudhuku kumlida mbowe na kumnufaisha maana analimiliki yeye.
 
Back
Top Bottom