Serikali yasitisha leseni ya kuchapisha na kusambaza Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020

Kufungiwa kwa gazet la mbowe iwe fursa kwa CHADEMA kuanzisha gazeti lake
 
Kufungiwa kwa gazet la mbowe iwe fursa kwa CHADEMA kuanzisha gazeti lake

Mwenyekiti hataki kukinufaisha chama ! Ila anataka akitumie chama kama tissue. ( kujinufaisha yeye) kwahiyo hawezi fanya hivyo.

Wewe unadhani kuna chama hapo? Hicho chama nikibubu cha watu. Wajinga ndio waliwao.
 
Hili gazeti lilijaa habari za uwongo na uzushi
Chadema poleni!
Sijawahi juta kuikataa CCM na viongozi wake.

Better were colonial days!!
This is unacceptable
Gazeti la kusambaza uongo wa chadema
NAKAZIA HAPA..
Gazeti pekee lililokuwa limebaki kusema madudu ya CCM na serikali yake.
Nchi ya CCM; Huna la kufanya!!
Wananchi bado mnataka muambiwe vipi kwamba tupo kwenye udikteta? Bado yanakuja mengi makubwa endapo mtaruhusu ccm kipindi cha pili.
 
Mumeo ndio kakuambia? Je anafanya kazi Tz Daima?
Mpe mapenzi motomoto mambo ya mshahara wake nitamlipa mm hata kama hajalipwa karne nzima.
 
Kuwa tayari kumsifu yesu wa tanzania
 
Wananchi bado mnataka muambiwe vipi kwamba tupo kwenye udikteta? Bado yanakuja mengi makubwa endapo mtaruhusu ccm kipindi cha pili.
Kama kuzio gazeti lisiandike uongo uzushi uzandiki Ni udikteta, Ni Bora iwe tu udikteta
 
Mbowe hamna jambo alisimamia na likafika mwisho mwema.
 
Chadema nichama cha heche,mbowe, lema, msigwa, myika, na wale wakusagana wawili.
Wengine ndani ya chadema ni bendera fata upepo.
Sugu na mbilinyi ni wa daraja la pili.

Tafakari, chukua hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…