kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Ok!Atawalisha nani uko karantini
Mpe ajira
Sina hata wa kusingiziwa mkuu na ndyo kinachonichosha zaidi[emoji849][emoji849]
Sasa mkishapata hiyo likizo, wagonjwa tunafanyaje jamani [emoji849], poleni kwa kazi ngumu na Mungu azidi kuwapa Kibali.Hata sisi watumishi wa idara afya tunahitaji likizo kidogo....msongamano hospitalini ni mkubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzazi tekeleza wajibu wako. Ukimwachia mtoto azurule hiyo shida yakoWangefunga mipaka ya nchi kwanza.....kufunga shule na colleges naona nikama ku overate covid 19, hapa kwetu kwanza naona wanafunzi wako salama kubaki mashuleni, kuliko kuwaruhusu wazurule mitaani na kuchangamana na watu wengi......
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mabeberu wangesitisha mikopo haswa ule wa world bank ambao zitto kabwe aliuzuiaMipaka nayo vipi, kama tungekuwa tunazunguka tu wenyewe bila kuingia wageni si ingekuwa bora zaidi!
Sent using Jamii Forums mobile app