KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Ni tahadhari tu sio vile unavyodhani hii ni kuepusha Sana muingiliano sana baina ya mtu na mtu coz ndivyo inavyosambaa take it easy this is just away to protect our national..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni tahadhari tu sio vile unavyodhani hii ni kuepusha Sana muingiliano sana baina ya mtu na mtu coz ndivyo inavyosambaa take it easy this is just away to protect our national..
Ushauri wako unapuuzwa kwa kua neno "mipaka" linatafsiriwa kuwa linatokana na neno "PAKA" mnyama.Mipaka nayo Wafunge
Bado, fungeni na airports.
Pale mtaa wa congo kariakoo ni sawa na vyuo vikuu vitatu.
Nashauri kuanzia leo Police Tanzania waanze kuondosha mikusanyiko isiyokuwa na lzm (wacheza kamali, pool tables, bars nk)
tusubiri na mipaka
Mimtu mingine kulalamika tu hata kwa yale yasiyolalamikiwa! Kama ingekuwa rahisi hivyo huu ugonjwa usingeingia marekani na mataifa mengine yaliyo na technolojia na uchumi mkubwa!Hapa ndipo naona, Kuna Jambo kubwa ambalo Bado hatujaambiwa na wasemaji. Hatua zingechukulia asubuhi na mapema, kwa ku quarantine wanaotoka nje, pengine leo kusingekuwa na haja ya kufunga Shule na Vyuo. Ila kwakuwa tumetiwa pamba na matambala mdomoni, hakuna wakuwakumbusha wasemaji na watoa maelekezo. *Mungu iponye Tanzania yangu*
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale mtaa wa congo kariakoo ni sawa na vyuo vikuu vitatu.
Kwa ufupi ni kuwa sasa utasambaa zaidi kuliko ilivyokua mwanzo maana wa mjini wanawapelekea wa vijijini!!
Yap!
Kwani haijafungwa tu[emoji849][emoji849]tusubiri na mipaka
#tukutane karantini[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
sawa ila hizo updates kidogo zinashtua aisee.Ni tahadhari tu sio vile unavyodhani hii ni kuepusha Sana muingiliano sana baina ya mtu na mtu coz ndivyo inavyosambaa take it easy this is just away to protect our national..
Kwani polisi hawathiriki?Nashauri kuanzia leo Police Tanzania waanze kuondosha mikusanyiko isiyokuwa na lzm (wacheza kamali, pool tables, bars nk)
Watanzania acheni unafiki. Ina maana China, Italy ilikuwa inaigiza?
Nyinyi ni aina ya walalamikaji tu kwani jambo likifanywa huwa wa kwanza kulalamika na lisipofanywa hulalamika pia. Hatuna muda nanyi endeleeni tu wakati wenzenu wanapambana usiku na mchana.Hapa ndipo naona, Kuna Jambo kubwa ambalo Bado hatujaambiwa na wasemaji. Hatua zingechukulia asubuhi na mapema, kwa ku quarantine wanaotoka nje, pengine leo kusingekuwa na haja ya kufunga Shule na Vyuo.
Ila kwakuwa tumetiwa pamba na matambala mdomoni, hakuna wakuwakumbusha wasemaji na watoa maelekezo. *Mungu iponye Tanzania yangu*
Sent using Jamii Forums mobile app