sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
Basi vaeni barakoa msije ambukizana corona.No. Huko ndio tunaenda kufanya Maombi ili MUNGU atuondolee hili Janga
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi vaeni barakoa msije ambukizana corona.No. Huko ndio tunaenda kufanya Maombi ili MUNGU atuondolee hili Janga
Sent using Jamii Forums mobile app
Asiweke ukomo...Waziri mkuu ameongeza idadi kutoka awali hadi fom six, sasa na vyuo vyote nchini vimefungwa kwa mwezi mmoja
View attachment 1391647
Siyo waondoke nao.kwenye mabaraksi huko?!Nashauri kuanzia leo Police Tanzania waanze kuondosha mikusanyiko isiyokuwa na lzm (wacheza kamali, pool tables, bars nk)
Shukuru hata kwa hatua ambayo serekali inachukua sasa...unalalamika utadhani mwanamke aliyetelekezwa....!!!?Hapa ndipo naona, Kuna Jambo kubwa ambalo Bado hatujaambiwa na wasemaji. Hatua zingechukulia asubuhi na mapema, kwa ku quarantine wanaotoka nje, pengine leo kusingekuwa na haja ya kufunga Shule na Vyuo.
Ila kwakuwa tumetiwa pamba na matambala mdomoni, hakuna wakuwakumbusha wasemaji na watoa maelekezo. *Mungu iponye Tanzania yangu*
Sent using Jamii Forums mobile app
Machinga business halted, TRA offices closed.And markets such as kariakoo deserted!
Atawalisha nani uko karantiniYap!
Carantin ingewekwa vyuoni na mashule ya bweni!
Day schools postponed, prayers gathering prohibited, sports event paused and daladala trans. Restricted! Mwendokasi abandoned.
UMENENA KWELI . INABIDI SERIKALI IPAANGALIE KWA JICHO LA ZIADA NA WATAFUTE MBINU YA KUKABILIANA NA HALI ILEPale mtaa wa congo kariakoo ni sawa na vyuo vikuu vitatu.
Vipi mkuu ulikuwa una maanisha nini?Ni hatua nzuri! Ila wazazi, walezi na wanafunzi wote wa vyuo vikuu inatakiwa Sasa wa wajitambue! Sio kwamba ndio advantage ya watoto /wanafunzi wa vyuo waanze kuzulura na kuzagaa mitaani, wakifanya hivyo haitokuwepo Tena maana ya wao kufunga shule au vyuo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Manabii watakufa njaaNasubiri apige marufuku mikusanyiko kwenye nyumba za ibada zote walau kwa mwezi mmoja au zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Manka relax, hebu uje kwanza nikutoe out leoMipaka nayo vipi, kama tungekuwa tunazunguka tu wenyewe bila kuingia wageni si ingekuwa bora zaidi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa wanawacheka wachina walipojenga hospital haraka haraka kwa siku 10 kwa ajili ya huu ugonjwa..hawakujua utafika mpaka hukuWatanzania acheni unafiki. Ina maana China, Italy ilikuwa inaigiza?
Sent using Jamii Forums mobile app