Hujasikia mzee wa msoga alikua ikulu jana? Ya ngoswe tumuachie ngoswe mwenyewe.. Cha muhimu huo upuuzi imepigwa chiniHawa walisitisha huu mradi wafunguke zaidi walichokuta huko ndani ni kitu gani?
Hadi kufikia uamuzi huu?
Ni waarabu wa Oman, baada ya kuona wanatukwana na CCM Zanzibar na kina Lukuvi eti wanataka kuitawala Zanzibar, wameamuwa kujitowa kusaidia mradi huu!Hawa walisitisha huu mradi wafunguke zaidi walichokuta huko ndani ni kitu gani?
Hadi kufikia uamuzi huu?
H................
Na hili la kuachiana madaraka kwa kweli kama si Mwalimu ambaye akiwa hai alilisimamia sana sijui kama hata hapa kwetu waongeza muda wasingekuwepo. Hapa hoja ya msingi ni kuwa na Jamii inayoweza kuwalazimisha watawala kutii Katiba. Tatizo Afrika ni rahisi watu kuwagawa Kidini, kikabila, kiukoo na mwisho wa siku anayevunja Katiba hujifanya kulinda Kabila, dini, Ukoo, chama, au jinsia yake dhidi ya wale wanaomhimiza kulinda Katiba!
..wakati wa kampeni Dr.Magufuli alisema fedha za ujenzi wa bagamoyo, tanga, mtwara, zipo.
..pia wananchi wameshahamishwa kwenye ardhi zao ili kupisha ujenzi wa bandari.
..na Raisi Kikwete aliamuru wote ambao ardhi yao imechukuliwa kwa ajili ya ujenzi wajengewe nyumba.
..pia Raisi alimfukuza kazi afisa mtathmini wa ardhi kwa madai kwamba anazungusha na kuwanyima wananchi haki zao.
..msikilizeni Dr.Magufuli hapa:
cc MTAZAMO, Magurudumu, Bukyanagandi, Nguruvi3, Ngongo
Kama fedha ziliishapatikana kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo, wakisitisha ujenzi huo, fedha hizo haziwezi kuhamishwa kufanya kitu kingine chochote!. Bandari hiyo ya Bagamoyo ingekuwa ndio bandari kubwa kuliko zote kwa bahari ya Hindi upande wa Bara la Afrika.kama hela zinatoka china kama unavyo dai sasa kwanini Tanzania wasitishe ujenzi huo na badala yake hela ziende kuboresha bandari zilizopo mie sipingi sana swala la kujenda hiyo bandari bagamoyo lakini je kina cha bahari upande wa bagamoyo kinatosha au ndo tena kazi ya kuchimbw inaanza.
kwanini wasijenge mtwara kama mapendekezo ya mwanzo yalivyo tolewa? y bagamoyo
"The project has been suspended and not cancelled" ... Sijui mmeelewa ama mnakurupuka kuchangia kwa mihemko?!
Kama fedha ziliishapatikana kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo, wakisitisha ujenzi huo, fedha hizo haziwezi kuhamishwa kufanya kitu kingine chochote!. Bandari hiyo ya Bagamoyo ingekuwa ndio bandari kubwa kuliko zote kwa bahari ya Hindi upande wa Bara la Afrika.
Huu usitishaji wa mipango iliyoshapata funding hauna tija kabisa kama hiyo mipango mbadala ndio kwanza mchakato wa kuitafutia funding ndio inaanza!.
Pasco
3G na 4G ni bandari zenye kina kiefu cha maji kuweza kupokea ile mimeli mi kubwa, mi giant ya mafuta!, ambapo kwa Bandari zilizopo huwezi kuziboresha!, hii itamaanisha kubomoa kila kitu kilichopo na kujenga upya!. Kama ni kuboresha zilizopo ili ziwe na uwezo huo, huko hakutakuwa kuboesha, bali kujenga upya adjecent na zilizopo!.Kuna Mtu anaongelea mambo ya 3G na 4G ambazo bandari za wenzetu zinalenga kuanzisha na hivyo kama nimemuelewa vizuri anasema tutashindwa kuingia katika ushindani na bandari za wenzetu. Swali langu ni Je, bandari za Dar, Tanga na Mtwara haziwezi kuboreshwa na kuingizwa hiyo mifumo ya 3G na 4G? (kama ni mifumo/technolojia anyway). Au hili lingewezekana tu kwa kujenga bandari ya Bagamoyo. Ni maoni yangu kuwa serikali imefanya tathimini ya kutosha juu ya hasara na faida za ujenzi wa bandari mpya kwa sasa kabla ya kufikia hatua iliyochukuliwa ya kusitisha ujenzi huo. Hivyo binafsi napongeza uamuzi uliochukuliwa na serikali wa kusitisha mradi huo.
Hoja hapa ni kwamba project kubwa kama bandari huangalii miaka 10-20 ijayo bali unaangalia over 50 years!! Ikiwa unaona Uwanja wa abiria 6M ingekuwa ni white elephant; ni nani kati yetu na Kenya anafaidika kwa kuwa ni gateway? Ule Uwanja wa Jomo Kenyatta umejengwa miaka ya 70... leo hii, Kenya wanaona Jomo Kenyatta haitoshi na wanataka kujenga terminal itakayo-accomodate 20 million passengers annually wakati kwa sasa wanapokea roughly 6 millions!!! Na bila shaka nadhani unafahamu kwamba pamoja na Mombasa kuwa ni bandari kubwa kuliko Dar lakini kv wenzetu wanaangalia 50 years to come; nao wana mega project sawa na ya Bagamoyo ambayo wanataka kujenga Lamb! Kama kumbukumbu zangu zipo sawa, nadhani ule mradi walitaka ku-team up na China lakini China wakaamu kuja Bagamoyo probably kv tayari wana another mega project Djibouti!!Sasa hauoni kama tungejenga Terminal III ya kuchukuwa abiria milioni 6 /mwaka, mwaka 1980 ingekuwa ni white elephant project? Ambapo leo hii ni lazima tungeuvunja tu kwa maana kwanza ungekuwa umechakaa na usingekuwa wa kisasa kulingana na teknolojia iliyopo? Halafu kama wakati huwo watu waliokuwa wanatumia uwanja wetu walikuwa chini ya Milioni huoni kwamba jengo la kuchukuwa milioni 6 lingekuwa ni hasara kubwa?
Haya ndiyo mambo yanayotushinda Afrika, ni wapi tutumie fedha na miradi ya aina gani tuanzishe!
Ndiyo maana kwenye uchumi kuna projections hiyo project ni white elephant ni feasible zaidi kama tukiwekeza kwenye Bandari ya Tanga, Mtwara, kwenye maziwa yetu Kigoma, Mwanza, Musoma, Bukoba Ziwa Nyasa kote huko kunahitaji Bandari na hii ina make economic sense klk kutumia mabilioni kujenga Bandari Bagamoyo wakati 100 km kuna Bandari tayari ya Dar!
Hakuna mtu anayeelewa uchumi ambaye anaweza kuukubali mradi kama huu, hauna tija kabisa!
Ndio maana kila siku tunasema hakuna 'vision wala mission' kuhusu uelekeo wa TaifaKama fedha ziliishapatikana kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo, wakisitisha ujenzi huo, fedha hizo haziwezi kuhamishwa kufanya kitu kingine chochote!. Bandari hiyo ya Bagamoyo ingekuwa ndio bandari kubwa kuliko zote kwa bahari ya Hindi upande wa Bara la Afrika.
Huu usitishaji wa mipango iliyoshapata funding hauna tija kabisa kama hiyo mipango mbadala ndio kwanza mchakato wa kuitafutia funding ndio inaanza!.
Pasco
Leo ndo nimekiri kuwa tanzania hatuwezi kuanzisha na kusimamia miradi mikubwa , ni wazuri sana kwa kubuni, likija swala la implementation tunakimbia. Leo tumeanza issue za kusema mara ohhh we need standard gauge reason behind kenya wanajenga standard gauge, huu mradi wa reli upo, na juzi kati tulisikia mzee six anasema wameweka jiwe na msingi, kwa hiyo ni wawekezaji wawili tofauti. Inabidi tuondokane na tabia hii ya kuogopa ogopa, we can have all simultaneously, uchumi wa kati hauji kwa maneno tu na kukumbatia miradi kama ya upanuzi, sijui upgrade, kujenga mabanda /containers za kufanyia clearance Tanga/Mtwara. Tunaridhika kabisa na tunakaa hapa tunahesabu ohh tuna bandari tatu, ziko wapi hizo bandari tatu tanzania? its jokes.
Hapana itaendelea kupaa.
Hizi pwani zimebarikiwa huwezi kushindana nazo hata chembe. Ukiiua bandari utakuta kuna mafuta na mi gas ya kufa mtu.
Hapo sasa.
Mikataba ya aina hii iko mingapi? Magufuli ana kazi kweli! Mungu akuzidishie courage na hekima Magufuli ya kupambana na haya manyang'au (for want of a better word).
Mnajaribu kila njia ku attack character lakini ikija kwenye issues za ukweli hamumuwezi.
Kikwete anadunda na ana rikodi ambayo mpaka sasa hakuna wa kabla yake aliyeifikia. Na ikitokea wa sasa akiifikia basi hilo pia ni chaguo lake, au mmesahau?