Mkuu, kwa kifupi nchi yetu imepoteza miaka 10 kusikiliza masimulizi ya mkwere badala ya kuendelea na safari ya maendeleo.
Wewe nadhani ni miongoni mwa wapata fadhira za kipuuzi za mkwere. Hivi unasoma comments za watu vizuri! Serikali imeamua "kuboresha " so what is kuboresha dude! Kila unapo reply unaadika 3G......4G....lkn, kuna suala la uwezo wa bandari zetu kuhudumia meli kubwa,zinazobeba mpaka kontena elfu kwa mkupuo(3G&4G sea vessels), ambazo lamu port itakuwa na uwezo wa kuzihudumia...tunatazamaje hilo? Au sisi tutabaki tunapokea meli ndogo tu na kuacha biashara kubwa ya bandari, kwa wakenya, djibout, na south afrika?
Hii system akija Juma Kuwa raisi na yeye anaweka la kwake na mke wake hatufiki kokote, Hii ni Nchi na sio Nyumba inayoendeshwa na mume na mke, hii Nchi ni lazima iendeshwe na wananchi wenyewe, tuweke Mikakati Madhubuti kwa kadiri itakavyoonekana kuwa na Manufaa kwa taifa halafu hawa wanasiasa wawe watekelezaji tu bila kuwapa Mandate ya kusitisha aina yeyote ya Mikakati yetu kama Nchi.
Yeye aje atekeleze kisha Asepe atuachie Nchi yetu. FULLSTOP.
Well narated mkuu. Huu ndiyo uzalendo, na kwa hili namuunga mkono mkuu wa nchi kwa 101%Wewe nadhani ni miongoni mwa wapata fadhira za kipuuzi za mkwere. Hivi unasoma comments za watu vizuri! Serikali imeamua "kuboresha " so what is kuboresha dude! Kila unapo reply unaadika 3G......4G
Let me make it easy for you
1. The forth regime under JK(actually JK himself) and their intentions for bagamoyo port project haikuwa kwa maslahi wala tija yoyote kwa taifa hili ila muendelezo wa ufisadi tu.
2. The government has said it wanaboresha na katika kuboresha u don't start from scratch -ziko strategically located you just need kuboresha kuwa na uwezo mkubwa including the so called 3G & 4G capacity na kujenga dry port kubwa maeneo kama mbeya/tunduma, isaka kahama sambamba na reli za kuaminika ili kuhamisha cargo frm port to these dry port na malori hayahitaji kuja Dar, tanga and elsewhere
Wewe kama na mjomba wako mmehozi ardhi kule ukwereni mkijua mna deal ya kupiga imekula kwenu.
Mtukufu rais JPJM kuna majipu mengi umeachiwa na tunaona sura na vicheko vya kinafiki unapoaongea nao. In fact wanakuja kuchungulia deal zao na kupata feedback kutoka kwa ndumilakuwili waliowaacha kwenye system please please please CLEAN UP na endelea kuyatumbua kwa kutumia nyundo na nondo sio wembe na sindano NO MERCY
...NAKUSHAURI KAFUATILIE BAJETI YA HIVYO VIFUSI KUMI UTAZIMIA SAA TATU ASUBUHI....Kipindi kile niliweza tembelea Bagamoyo kuona mji ulivyo dah nilishangazwa kuoneshwa patakapojengwa hiyo Bandari yaani vilimwagwa vifusi kama kumi tu na mapande ya majabari kama sita hivi tu ndio kwisha habari jambo jema kama pesa hiyo tajwa haikutumika... ilikuwa njia ya kujipatia pesa bila jasho...
Mkuu bidhaa ni nyingi sana za kusafirisha na kuleta hapa, kitu ambacho hukijui, meli nyingi kubwa hushusha mizigo ya tanzania either south africa au mombasa kutokana na udogo wa bandari zetu na facilities zake. Tanzania kuna mizigo mingi sana kuliko ujuavyo, bado kuna uhitaji mkubwa sana wa bandari kubwa kuliko ya dar es salaam, tunahudumia nchi nyingi sana hapa ambazo wakati mwingine mizigo lazima iende Mombasa wakati tanzania ndio shortcut yao, pili mchina alihitaji kuitumia hiyo bandari kwa project zake Africa, na wote tunafahamu ni nani mwenye project nyingi Africa, mchina mfano anamigodi Zambia ila mizigo yote mikubwa anashusha na kusafirishia south africa kisa bandari ya dar ni congested na ndogo, Migodi yote ya Congo hasa maeneo katanga huhudumiwa na port za southafrica..huku shortcut yao ikiwa tz, udogo wa bandari yetu ndio shida,,, hujiulizi kwa nini kila siku lazima ipanuliwe?? na eneo pale sasa likeshaisha..
Na yote hayo Uchina waje kuwafanyia WatanZania buuureeee kwa lipi hasa? Au kwa sababu mnaongea kwa kubana pua?
...salute.!..kwa kuanzia, serikali ya awamu ya tano, kimsingi, haijaachana na mpango wa ujenzi wa bandari bagamoyo! umuhimu wake unaeleweka nw and then! suala la kuboresha pia bandari za dar na mtwara zuri na linalostahiki LAKINI, ni jambo lingine kabisa na tunakubaliana na serikali yetu kwa dhati, kama imeona, reasonably, tuanze na hilo kwanza...! hoja ya umuhimu wa mradi wa bandari ya bagamoyo ni ukweli kuwa katika ushindani wa biashara ya bandari za afrika zilizoko ktk bahari ya hindi, (pamoja na marekebisho, na maboresho yoyote yanayoweza kufanyika katika bandari za dar, mtwara, tanga na lindi), zina nafasi gani yakushindana na bandari ya djibout, durban, au lamu? ukitoa ufisadi uliokuwepo, ambao uliifanya bandari zetu kupata wateja wenye kupenda mambo ya kiujanja ujanja, bandari zetu zina nafasi gani ya kushindana kibiashara? ktk biashara ya kisasa ya kimataifa ya bandari," tanzania haiwezi kuweka vigenge, kwenye pwani yake, kushindana na ma malls kwenye pwani za nchi jirani".....wasafirishaji ktk asia(china) na ulaya wakisha kuwa na chaguzi ya kusafirisha kontena mpaka elfu kumi kwa mkupuo ktk meli moja kubwa (3G, 4G SV) ambayo inaweza kutia nanga ktk bandari ya lamu , lkn haziwezi kutia nanga kwenye bandari yoyote ktk tanzania, unajua kitakachotokea?Wewe nadhani ni miongoni mwa wapata fadhira za kipuuzi za mkwere. Hivi unasoma comments za watu vizuri! Serikali imeamua "kuboresha " so what is kuboresha dude! Kila unapo reply unaadika 3G......4G
Let me make it easy for you
1. The forth regime under JK(actually JK himself) and their intentions for bagamoyo port project haikuwa kwa maslahi wala tija yoyote kwa taifa hili ila muendelezo wa ufisadi tu.
2. The government has said it wanaboresha na katika kuboresha u don't start from scratch -ziko strategically located you just need kuboresha kuwa na uwezo mkubwa including the so called 3G & 4G capacity na kujenga dry port kubwa maeneo kama mbeya/tunduma, isaka kahama sambamba na reli za kuaminika ili kuhamisha cargo frm port to these dry port na malori hayahitaji kuja Dar, tanga and elsewhere
Wewe kama na mjomba wako mmehozi ardhi kule ukwereni mkijua mna deal ya kupiga imekula kwenu.
Mtukufu rais JPJM kuna majipu mengi umeachiwa na tunaona sura na vicheko vya kinafiki unapoaongea nao. In fact wanakuja kuchungulia deal zao na kupata feedback kutoka kwa ndumilakuwili waliowaacha kwenye system please please please CLEAN UP na endelea kuyatumbua kwa kutumia nyundo na nondo sio wembe na sindano NO MERCY
Wewe Kalia tu uchumi - hizi ndizo fikra tumekalia. Sion siri kuwa wawekezaji watafaidika hakuna mtu anafanya biashara anawekeza asipate faida na Tanzania itapata faida kubwa bila kuwekeza mtaji wowote na ujuzi wowote - Tanzania rasilimali yake ni pahali pazuri kujenga bandari na free zone abavyo wao hawana uwezo wa kufanya.
Nitajie bandari moja iliojengwa baada ya uhuru. Nchi zzote duniani hasa zilizoendelea zinapigania wawekezaji wafungue miradi kwao. muhimu waanagalieni walaji wenu tu hiyo faida itakayopatikana ijenge nchi
Mkuu majibu ykuhusu ushiriki wa Magufuli, kuelewa mradi na kuutumia katika kampeni yanapatika bandiko 410 la mkuu JokaKuu au unaweza kusikiliza kupitia link hii
magufuli akemea uchochezi - YouTube
Mkuu Cabinet ndicho kikao kiuu cha ushauri cha Rais na serikali.
Mawaziri wakila kiapo wanaapa kutunza siri za vikao... Hakuna excuse fulani alikuwa wizara hii na yule ile, uamuzi wao ni wa pamoja 'collective responsibility''
Kama unanisoma vema na mabandiko yapo wazi kwa reference, kiongzi anyefanya vema Nampa big up, akiboronga Nampa failure. No more no less
Nafanya hivyo kwasababu naamini katika Taifa si mtu au vyama
Unapouliza Magufuli na Lowassa nani alifaa kuwa Rais, kwanini usiulize Dovutwa na Kuga Mziray wa TPP Maendeleo?
Unajaribu kuhamisha mjadala u-fit theory zako na si ukweli ulivyo.
Hapa nitakupa ukweli kwasababu nimeandika sana na rekodi zipo
Nimesema, nchi haiondoki ilipo ichini ya CCM. CCM si chama imegeuka genge. Nikaendelea, kama Dovutwa au Kuga Mzira wataiondoa CCM hilo ni heri.
Nilisema, haina maana ni viongozi wazuri, bali kuondoa CCM ni jambo muhimu kuliko jingine. lolote . Genge lililotufikisha hapa linageukaje kutuongoza tena?
Ushahidi wa miaka 10 ni haya tunayoyaona. Waliosadia kutufikisha hapa ndio hao waliounda serikali. Kamati kuu ya CCM na NEC ni ile ile iliyopitia mradi wa Bagamoyo kama chama tawala
Mh Nape Nnauye katibu mwenezi wa CCM, na waziri wa habari na maelezo amethibitisha maneno yangu. Ametamka nchi ilifikia mahali pa baya, hadharani
Ni huyu aliyetuambia nchi inaendelea vema chini ya CCM miaka 10, leo anaona alichokuwa hakijui akiwa ngazi za juu, iweje wengine muendelee na'' mgomo ''
Hoja hapa si Magufuli, ni jinsi nchi isivyo na mifumo ya kuweka maendeleo endelevu. Miradi ni kazi za kitaalamu si kisiasa.
Tuliwaambia Bagamoyo ni white elephant. Hawakutusikiliza , leo wanasemwa ni ''mashujaa'' baada ya kuona felia! eti tusiseme.
Wengine hatukuwepo katika siasa tulisimama na Taifa wao walishiriki vikao
Wana dhima ya kutueleza nini kimetokea. Kwanini mradi walioamini magufuli akemea uchochezi - YouTube umefeli.
HaTutataki habari za gizani kama ulivyoletwa bali maelezio, si ''cheap politics''
Miradi ya Kitaifa lazima iwe mbali na siasa. Tuweke mfumo miradi hiyo iendeshwe kwa utaalamu na uwazi.
Tujue nini kinaendelea si kujificha nyuma ya miogongo,waombe radhi.
Kwa mfano ningalikuwa hakimu mka wa mahakama na kesi ya namna hii ikaja , ningeweka makundi mawili 'wahalifu' na accomplices
Tushirikiane kuwauliza, walishiriki kutupeleka 'porini' wameona nini mbele na wanataka twende wapi
Nchi haitabadilika kama hatubadli mind set za ndiyoo bila ku reason.
Mind set za kudhani criticism ni dhambi, uzalendo ni kuvaa njuga na manyanga.
Mindset zisizoweza kuangalia mbali bali kila jambo kwa mtizamo wa siasa.
...sasa mjadala ungekuwa hapo kamanda! ni upuuzi nadhani! kenya wamewezaje gharamia mradi "LLSSET'...tunaona aibu kufanya kama wao, lkn tukiboresha zaidi?!Nilisikia mkataba huu unawapa wawekezaji wa China kuendesha hiyo bandari kwa muda wa miaka 50 mpaka watakaporudisha pesa zao na hapo Tanzania ndo itapewa bandari yake.
...sawa kamanda lakini, mtwara ina mapungufu ktk aina ya bandari inayotakiwa kujengwa! kwamba bila kumfurahisha mtu, ukilinganisha mazingira ya mtwara, na ya bagamoyo, kitaalam, bagamoyo inakuwa ndio pwani inayofaa zaidi kwa mradi huu!...lkn kubwa lingine ni kuwa unafanyika maberesho na marekebisho ya bandari kama hiyo ya mtwara kisha ndo mradi wa bagamoyo uendelee!Twende Mtwara kuna bandari yenye kina kirefu ni namna tu ya kuimarisha si lazima ujenge mpya wakati tunayo ya kuboresha na gharama zake haziwezi kuwa kama kujenga upya kwa mkataba wa namna ile lazima tujionee huruma na tuonew huruma vizazi vyetu vijavyo dhidi ya mzigo wa madeni ambayo yanaepukika.
...duh!Kwa hiyo unataka kusemaje? Rwanda hawana bandari mbona wao wanakimbia?
Mkw.ere kasababisha yote hayo bandari ya bagamoyo ilkuwa haina tijaHapo wawekezaji walioingia mikataba watakula fedha ya bure kama hii habari ni ya ukweli.
mjomba wako wa Msoga alikurupuka na deal yake ya bandari ya bagamoyo.Hapo wawekezaji walioingia mikataba watakula fedha ya bure kama hii habari ni ya ukweli.
....comrade...SCDP ambayo bandari ya mtwara ni sehemu yake, ni moja ya miradi mizuri na muhimu mno kwa tanzania!...mno! mno! mno!...lkn mradi wa bandari ya bagamoyo ni mradi mwingine na tofauti kabisa na SCDP...! TUNAIHITAJI YOTE!...lkn jambo la kufurahisha zaidi ni kwamba maboresho ya bandari ya mtwara, ikiwa ni sehemu ya SCDP, yanatamgulia mradi wa bandari ya bagamoyo!Tuna southern corridor development project. Kuboresha bandari ya mtwari nareli ya kusini hadi kwenda liganga namchuchuma kuzalisha umeme wamakaa ya mawe viwanda vinavyotokana nauwepo wa gas kilimo cha nyanda za juu kusini nakusini ikiwemo korosho nk. Hivi navingine vingi vinatosha kuifanya bandari ya Mtwara kuwa bize kuliko unavyofikiri so huitaji kushindana nalamu kwa ajili ya import but hapa nimuhimu sana kwa ajili ya export for that case uchumi utaweza kuimarika zaid coz bandari itakuwa inaendesha nakuhudumia uchumi wa uzalishaji wa ndani zaidi kuliko uzalishaji wa nje. Pitia doc ya southern corridor dev project uone kwa nini tulipinga ujenz wa Bandar ya bagamoyo. Si kila ushindani wakibiashara nimuhimu wakt mwingine unaweza kuwa nawrong competitor