Return2roots
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 874
- 438
...bahati mbaya sana kamanda, ukisoma mabandiko ya wengi, ni kama vile wanachojua ni kulikuwa na mradi wa kujenga bandari bagamoyo sababu raisi ni wa huko basi...! ni upeo mdogo, na kurukia mambo ...! ubarikiwe kamanda...na usikatishwe tamaa na aina hii ya makomredi ktk jamvi letu! tusimame pamoja ktk kila kweli itakayorushwa jamvini!Mkuu mimi nashangaa watu wanashingilia mradi kusitishwa. Eti tukarabati Dar na Mtwara.
Wameshindwa kabisa kuona umuhimu wa bandari kubwa na ya kisasa.
...dunia inabadilika...na mama afrika anasonga mbele! ubarikiwe hapo uliko ili ujue na uelewe hili kamanda wangu!Acha kukurupuka Meli kubwa kwa mizigo gani? Hizi white elephants projects ndiyo zinazorudisha Afrika nyuma tunapoteza fedha nyingi kwenye miradi mikubwa ambayo haina tija, kwa uwezo wa Uchumi na wa nchi zilizotuzunguka Bandari zetu tatu kama tukiziboresha na kutengeneza Miundo ya kuunganisha na Mikoani pia na nchi jirani zinatosha kabisa kukidhi soko la letu na la nchi zinazotuzunguka na wala hatuhitaji Mega ports ya mega ships kwa maana hakuna cha kushafirisha!
...mtwara ina kina kirefu, ni kweli kamanda, lkn ukitazama kila kitu kinchohitajiwa ktk mradi wa aina hiyo, bagamoyo, bila kujali kumfurahisha mtu, inakuwa inafaa zaidi...! lkn kubwa serikali imefanya uamuzi mzuri zaidi na wa busara kwa kuamua kuziboresha bandari zilizopo kabla ya kuendelea na mradi wa bandari ya mtwara...! nchi inahitaji bandari bora, na ya kisasa zaidi, ktk mtwara, tanga na dar, lkn pia, inahitaji kuwa na bandari kubwa zaidi ya kushindana kibiashara na bandari kubwa zaidi kama za djibout, lamu, na durban!Kuna aliyesema mtwara inafaa kwa hilo na ina kina kirefu cha maji.
...aaah..! kamanda wangu taratibu bwana! ujue tuhuma zisizothibitika ni majungu...lol....na majungu sio tu ni sehemu ufisadi, ni majipu yanayotuumiza pia...! salute kamanda wangu.. pamoja!hakuna usanifu pale
Ila ilikuwa ni kuipendelea bagamoyo...kwa maslahi binafsi...najua unayajua
Taarifa ya ufafanuzi ya serikali inasema mradi haujafutwa, utaendelea.
Lakini inabidi twende na hii miradi kama watu wenye akili.....maadam tuna nia ya kushindana ktk biashara ya iliyojaa ushindani, ya bandari ujenzi wa bandari mpya, kubwa, na ya kisasa haukwepeki....
Tatizo lako liko wapi?
Kwa sababu ni linaandikwa kwa kiingereza? The Citizen ni Mwnanchi Kampuni ile ile falsafa ile, ila kwa kuwa wameandika Kiingereza basi unaamaini lkn kama Mwananchi wangeandika usingeamini, kweli sisi Waafrika ni zaidi ya utujuavyo!
Ndo ajabu ya malimwengu!Serikali awamu ya nne ilikuwa na vigezo vizuri sana kuweka banadari hapo, habari inaweza kuwa ina ukweli lakini haijakamilika.
Ni lazima una upungufu wa maoni, ati JK " kamshurutisha" mchina ili atujengee bandari?Watu wanao mlahumu JK siwaelewi kabisa!! Upanuzi/ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ungeliketea tija Taifa letu na majirani - kina cha Bandari ya Bagamoyo ni kirefu zaidi huitaji miundo mbinu ya gharama kubwa kuijenga/kupanua - kwa uelewa wangu Wachina ndio wangegharimia karibu kila kitu,halafu wanakodi kwa miaka ishirini na tano kama sikosei, sasa hapo Serikali atapataje hasara au kufikiria bandari hiyo haitufai wakati wenzetu wako mbioni kujenga bandari kubwa Malindi ambayo ingeshindana na ya Bagamoyo, sio vizuri kubeza beza miradi ambayo ingeweza kutuletea manufaa makubwa as a Nation - sio kila kitu alichopenekeza JK kina walakini - hatujui alitumia mbinu gani kuwashurutisha Wachina kuja kuwekeza kwenye bandari - hii ilikuwa ni moja ya project kubwa ambayo tulipaswa kujivunia na kumshukuru JK kwa kutumia PR yake nzuri kuwashurutisha wawekezaji, mradi huu mkiuua basi ntajua Watanzania kumbe hatujui vipa umbele vyetu ni vipi. Washindani wetu watafurahi sana sana kutokana na sisi kupoteza a golden chance kwa kuendekeza malumbam yasiyo na tija, tukifanya ujinga wachina hawaturudi tena.
Reli ya karibu kabisa iko kilometa 30 toka Bgmy na ni ile ya Ruvu Myusi ambayo sasa wala haitumiki tokana na ubovu.reli ipo
Hata uchumi ukibadilika kwa kasi hipi hatuwezi kuukana ukweli unaotokana na miaka 50 iliyopita. Kwa maana hiyo huwezi kujenga bandari ambayo ina capacity kuzidi existing ports zote za mwambao wa bahari ya Hindi huku ukitegemea kusafirisha malighafi nje na kuimport mitumba nk....dunia inabadilika...na mama afrika anasonga mbele! ubarikiwe hapo uliko ili ujue na uelewe hili kamanda wangu!
Hivi ilani za CCM zinabadilika kila uchwao? mara wanapora ilani ya UKAWA lakini wagumu wakubali. Utekelezaji wa ilani na kupiga push-ups ni vitu viwili tofautiThe Construction of the 10 billion (about Sh22 trillion) Bagamoyo Port has been suspended, The Citizen has learnt. The government wants to focus instead, on improving the capacity, performance and efficiency of the Mtwara and Dar es Salaam ports.
The Minister for Works, Transport and Communications, Prof. Makame Mbarawa, confirmed yesterday that the construction of what would be the largest port in Africa has been suspended, not shelved to pave way for upgrading berths 13 and 14 as well as developing the Mtwara Port depending on the availability of Funds. The activities would take years to complete, the minister said because the process has to start from finding funding.
Source: THE CITIZEN
View attachment 315504
Hii unaweza kuwa sababu mojawapo ya kusitishwa kwake yaani miaka hamsini kwa uwekezaji wa tirioni 22 tu hata Mimi nisingekubali.Nilisikia mkataba huu unawapa wawekezaji wa China kuendesha hiyo bandari kwa muda wa miaka 50 mpaka watakaporudisha pesa zao na hapo Tanzania ndo itapewa bandari yake.
Vipi kuhusu wachina kumiliki bandari kwa miaka hamsini kama ni kweliBaada ya kusikia hii habari ya kufuta sijui kusitisha ujenzi wa bandari ya Bagamoyo nimechoka kabisa, hii ambayo ingejengwa kisasa na viwanda zone, yaani tanzania ingekuwa ni african stop ya bizaa zote za china, watu walikuwa hakuna haja ya kwenda tena sijui dubai wala china, vitu vyote vinapatikana tz na tuna ship kwenda nchi zote za africa, tuna sema huu mradi haufai? god, hapa kweli tunashida sana. Tunakosa revenue na ajira hivi hivi halafu kesho unasikia mtu anakwenda dubai na kurudi, si watu wengekuwa wanakwenda bagamoyo tu? raisi wetu cabinet lililopita alikuwepo, mradi kama huu ulihusisha cabinet yote, angesema , sio sisi tumekaa mkao wa kura then tunaambiwa hakuna chakula. let us be serious as he nation , we need this project, hizo mtwara , tanga na Dar zina panuliwa lakini haziwezi kukidhi matakwa ya kibisahra na plna zetu muda mrefu, tusiwe na ka plan just ka leo na kesho.