Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

Status
Not open for further replies.
Mkuu mimi nashangaa watu wanashingilia mradi kusitishwa. Eti tukarabati Dar na Mtwara.

Wameshindwa kabisa kuona umuhimu wa bandari kubwa na ya kisasa.
...bahati mbaya sana kamanda, ukisoma mabandiko ya wengi, ni kama vile wanachojua ni kulikuwa na mradi wa kujenga bandari bagamoyo sababu raisi ni wa huko basi...! ni upeo mdogo, na kurukia mambo ...! ubarikiwe kamanda...na usikatishwe tamaa na aina hii ya makomredi ktk jamvi letu! tusimame pamoja ktk kila kweli itakayorushwa jamvini!
 
Acha kukurupuka Meli kubwa kwa mizigo gani? Hizi white elephants projects ndiyo zinazorudisha Afrika nyuma tunapoteza fedha nyingi kwenye miradi mikubwa ambayo haina tija, kwa uwezo wa Uchumi na wa nchi zilizotuzunguka Bandari zetu tatu kama tukiziboresha na kutengeneza Miundo ya kuunganisha na Mikoani pia na nchi jirani zinatosha kabisa kukidhi soko la letu na la nchi zinazotuzunguka na wala hatuhitaji Mega ports ya mega ships kwa maana hakuna cha kushafirisha!
...dunia inabadilika...na mama afrika anasonga mbele! ubarikiwe hapo uliko ili ujue na uelewe hili kamanda wangu!
 
Kuna aliyesema mtwara inafaa kwa hilo na ina kina kirefu cha maji.
...mtwara ina kina kirefu, ni kweli kamanda, lkn ukitazama kila kitu kinchohitajiwa ktk mradi wa aina hiyo, bagamoyo, bila kujali kumfurahisha mtu, inakuwa inafaa zaidi...! lkn kubwa serikali imefanya uamuzi mzuri zaidi na wa busara kwa kuamua kuziboresha bandari zilizopo kabla ya kuendelea na mradi wa bandari ya mtwara...! nchi inahitaji bandari bora, na ya kisasa zaidi, ktk mtwara, tanga na dar, lkn pia, inahitaji kuwa na bandari kubwa zaidi ya kushindana kibiashara na bandari kubwa zaidi kama za djibout, lamu, na durban!
 
hakuna usanifu pale

Ila ilikuwa ni kuipendelea bagamoyo...kwa maslahi binafsi...najua unayajua
...aaah..! kamanda wangu taratibu bwana! ujue tuhuma zisizothibitika ni majungu...lol....na majungu sio tu ni sehemu ufisadi, ni majipu yanayotuumiza pia...! salute kamanda wangu.. pamoja!
 
SATURDAY, JANUARY 9, 2016
Fate of Bagamoyo Port clarified

Minister of Works, Transport and
Minister of Works, Transport and Communications, Prof. Makame Mbarawa

In Summary
The government has said construction of the port would take off in July of this year upon conclusion of financing negotiations with key partners.



By Rosemary Mirondo
Dar es Salaam. The government has said the processes for the construction of the Bagamoyo Port will not be halted and will continue.

Reacting to reports about the suspension of the construction of the $10 billion (Sh22 trillion) port the, ministry of Works, Transport and Communications said in a statement issued yesterday that the construction of the port will start in July of this year upon conclusion of financing negotiations with key partners.

According to the statement availed to this paper, the government was currently in discussions with China Merchant Holding International (CMHI) and Oman which are expected to be concluded by March, this year.

It said the governments of Tanzania, Oman and China signed a Memorandum of Understanding for the implementation of the Bagamoyo Port project, October 16, and last year.

“The Government of the United Republic of Tanzania in December, 2015 compensated a total of 2,183 Bagamoyo residents Sh45.65 billion [to pave way for the project]. A joint working team, comprising technical people from the United Republic of Tanzania, China and Oman is preparing technical and commercial contracts for the implementation of the Port of Bagamoyo,” the statement further added.

The Bagamoyo project will occupy 800 hectares and another 1,700 hectares of Portside Industrial Zone, which will be developed. The new port, to be the largest in African, will be able to handle 20 times more cargo than the Dar Port.
 
Taarifa ya ufafanuzi ya serikali inasema mradi haujafutwa, utaendelea.
 
....maadam tuna nia ya kushindana ktk biashara ya iliyojaa ushindani, ya bandari ujenzi wa bandari mpya, kubwa, na ya kisasa haukwepeki....
Lakini inabidi twende na hii miradi kama watu wenye akili.
Bandari zilizopo tu zinavuja kama pakacha bovu.
 

Kwa sababu ni linaandikwa kwa kiingereza? The Citizen ni Mwnanchi Kampuni ile ile falsafa ile, ila kwa kuwa wameandika Kiingereza basi unaamaini lkn kama Mwananchi wangeandika usingeamini, kweli sisi Waafrika ni zaidi ya utujuavyo!
Tatizo lako liko wapi?
Kwani wameandika longo longo kama za Kubenea?
 
Serikali awamu ya nne ilikuwa na vigezo vizuri sana kuweka banadari hapo, habari inaweza kuwa ina ukweli lakini haijakamilika.
Ndo ajabu ya malimwengu!
Kuendesha bandari kubwa iliyopo ya Darisalama tu, ilikuwa shida.
Unataka na ya Bagamoyo, vigezo na masharti hayako wazi hapo.
 
Watu wanao mlahumu JK siwaelewi kabisa!! Upanuzi/ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ungeliketea tija Taifa letu na majirani - kina cha Bandari ya Bagamoyo ni kirefu zaidi huitaji miundo mbinu ya gharama kubwa kuijenga/kupanua - kwa uelewa wangu Wachina ndio wangegharimia karibu kila kitu,halafu wanakodi kwa miaka ishirini na tano kama sikosei, sasa hapo Serikali atapataje hasara au kufikiria bandari hiyo haitufai wakati wenzetu wako mbioni kujenga bandari kubwa Malindi ambayo ingeshindana na ya Bagamoyo, sio vizuri kubeza beza miradi ambayo ingeweza kutuletea manufaa makubwa as a Nation - sio kila kitu alichopenekeza JK kina walakini - hatujui alitumia mbinu gani kuwashurutisha Wachina kuja kuwekeza kwenye bandari - hii ilikuwa ni moja ya project kubwa ambayo tulipaswa kujivunia na kumshukuru JK kwa kutumia PR yake nzuri kuwashurutisha wawekezaji, mradi huu mkiuua basi ntajua Watanzania kumbe hatujui vipa umbele vyetu ni vipi. Washindani wetu watafurahi sana sana kutokana na sisi kupoteza a golden chance kwa kuendekeza malumbam yasiyo na tija, tukifanya ujinga wachina hawaturudi tena.
Ni lazima una upungufu wa maoni, ati JK " kamshurutisha" mchina ili atujengee bandari?
Hapo sikupati kabisa.
Pili, hiyo bandari iliyopo tu ni mazonge mazonge, sasa hiyo kubwa ndo itakuwaje?
Watu hawapingi maendeleo, wanapinga uswahili uswahili katika maendeleo.
 
...dunia inabadilika...na mama afrika anasonga mbele! ubarikiwe hapo uliko ili ujue na uelewe hili kamanda wangu!
Hata uchumi ukibadilika kwa kasi hipi hatuwezi kuukana ukweli unaotokana na miaka 50 iliyopita. Kwa maana hiyo huwezi kujenga bandari ambayo ina capacity kuzidi existing ports zote za mwambao wa bahari ya Hindi huku ukitegemea kusafirisha malighafi nje na kuimport mitumba nk.
Before we embark on such projects tungeanza na elimu, elimu, elimu ....hivyo viwanda unavyotegemea kuvijenga tunategemea Wachina ndio waje kujenga kana kwamba watafunga vya kwao, i wapi KILIMO KWANZA!? Elimu itatusaidia kuepuka matatizo kama ya sasa eti tunawazuia wageni kufanya kazi ambazo Watz wanaweza kuzifanya. Tunafanya hivi kwa kuangalia kigezo che elimu ambayo wageni wanayo huku tukisahau kuwa wao wana elimu na sisi tuna vyeti.
 
H
The Construction of the 10 billion (about Sh22 trillion) Bagamoyo Port has been suspended, The Citizen has learnt. The government wants to focus instead, on improving the capacity, performance and efficiency of the Mtwara and Dar es Salaam ports.

The Minister for Works, Transport and Communications, Prof. Makame Mbarawa, confirmed yesterday that the construction of what would be the largest port in Africa has been suspended, not shelved to pave way for upgrading berths 13 and 14 as well as developing the Mtwara Port depending on the availability of Funds. The activities would take years to complete, the minister said because the process has to start from finding funding.


Source: THE CITIZEN
View attachment 315504
Hivi ilani za CCM zinabadilika kila uchwao? mara wanapora ilani ya UKAWA lakini wagumu wakubali. Utekelezaji wa ilani na kupiga push-ups ni vitu viwili tofauti
 
By the way I don't see logic behind bagamoyo port. Zaidi ya kuwanufaisha mafisadi
 
You don't see the logic, may be you are colour blind, it is in the CCM manifesto!
wataisoma namba CCM MBELE KWA MBELE
 
Nilisikia mkataba huu unawapa wawekezaji wa China kuendesha hiyo bandari kwa muda wa miaka 50 mpaka watakaporudisha pesa zao na hapo Tanzania ndo itapewa bandari yake.
Hii unaweza kuwa sababu mojawapo ya kusitishwa kwake yaani miaka hamsini kwa uwekezaji wa tirioni 22 tu hata Mimi nisingekubali.
 
Baada ya kusikia hii habari ya kufuta sijui kusitisha ujenzi wa bandari ya Bagamoyo nimechoka kabisa, hii ambayo ingejengwa kisasa na viwanda zone, yaani tanzania ingekuwa ni african stop ya bizaa zote za china, watu walikuwa hakuna haja ya kwenda tena sijui dubai wala china, vitu vyote vinapatikana tz na tuna ship kwenda nchi zote za africa, tuna sema huu mradi haufai? god, hapa kweli tunashida sana. Tunakosa revenue na ajira hivi hivi halafu kesho unasikia mtu anakwenda dubai na kurudi, si watu wengekuwa wanakwenda bagamoyo tu? raisi wetu cabinet lililopita alikuwepo, mradi kama huu ulihusisha cabinet yote, angesema , sio sisi tumekaa mkao wa kura then tunaambiwa hakuna chakula. let us be serious as he nation , we need this project, hizo mtwara , tanga na Dar zina panuliwa lakini haziwezi kukidhi matakwa ya kibisahra na plna zetu muda mrefu, tusiwe na ka plan just ka leo na kesho.
Vipi kuhusu wachina kumiliki bandari kwa miaka hamsini kama ni kweli
Huoni kwamba tutakuwa tumeidhoofisha nchi?
kwani hata bandari ya dar itakufa.
 
Mnaumwa sana na ujenzi wa Bandai ya Bagamoyo.mwacheni Jk apumzike na itajengwa tuu na vishabiki maandazi tutakutana hapa hapa kwn ni mradi wenye tija kimataifa tuache kushabikia magazeti yasofanya research ya kutoaha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom