Record anazo tena anaifunika dunia kbisa haswa ya kuzurula na kutembeza bakuli .katuvua nguo sana yule aiseee.Mnajaribu kila njia ku attack character lakini ikija kwenye issues za ukweli hamumuwezi.
Kikwete anadunda na ana rikodi ambayo mpaka sasa hakuna wa kabla yake aliyeifikia. Na ikitokea wa sasa akiifikia basi hilo pia ni chaguo lake, au mmesahau?
Hapa sawa. Na aliyetoa amri ya kujengwa bandari hiyo ashitakiwe kwa matumizi mabaya ya ofisi na ubadhirifu wa mali ya umma. fedha nyingi sana ya walipa kodi imeshapotea kwenye ujinga huo.
Naanza kuona sababu za wageni wanafiki kutokukauka kwa Magufuli.
Record anazo tena anaifunika dunia kbisa haswa ya kuzurula na kutembeza bakuli .katuvua nguo sana yule aiseee.
Hapo wawekezaji walioingia mikataba watakula fedha ya bure kama hii habari ni ya ukweli.
This is beyond my comprehension yaani bandari ambayo kwa sasa inatumiwa na mataifa jirani Congo, Rwanda, Burundi na mataifa mengine ya chini mwa Tanzania iwe katikati ya jiji.
Kwa sasa tu magari inabidi ya pakie usiku ambapo ni time consuming kwa wateja wengine kulaza magari ambayo yangekuwa yanawatengezea hela, port ya Bagamoyo si ndio ideal ipo nje ya mji kidogo na eneo linaweza wekewa mazingira tu suit entry and exit ya kumudu foleni za baadae ata mji ukikuwa na tena kuna investor ambaye yuko tayari, ajira ambazo zingepatikana kwa wadau maana dar is congested surely bagamoyo ingekuwa sababu ya kulitanua jij la Dar ambalo kwa sasa lipokea malaki ya economic migrants kila mwaka.
Kuna vitu vingine maamuzi anayaelewa anaenua mwenyewe lakini sio duniani nzima hili ni moja wapo ina maana awaoni location wise tu bandari ya Dar sio sawa kwa volume inazobeba sehemu na sio sahihi kwa jiji leo.
Natural gas hata mafuta na madini yote yalijulikana yapo tangu kitambo sana.baba wa taifa alitumia busara kuyaacha ili baadae yaje kuwanufaisha watanzania wote.mkwere akajitia mjuaji akayagawa tu.kilichokua kinafanyika ni muendelezo tu ndugu.hayo makitu yalishafanyiw survey zaman mno na yanajulikana yapo.walichokifanya hawa ni kufuata njia tu na kuleta izo ujazo zao .= kuzurura
Aliikuta nchi inasaidiwa zaidi ya asilimia 50 ya bajeti alipoiacha tunasaidiwa asilimia 10 tu, nani ni omba omba zaidi hapo? Fikiri.
Kuvunja majeti ilikuwa ni lazima ugeisikia wapi gas cubic feet trillion 55 bil Kikwete kupaa?
aiseeeeUpinzani Tanzania nilijua utafifia kwenye uraisi wa Magufuli, kumbe utashamiri sana, kwani huyu Jamaa atafanya blunder za kutosha kwa kukurupuka. Kuna mengi atafanya vizuri sana, na kuna mengi ataboronga mno. Hili ni mojawapo na grand screw-ups in the making.
Kwann hutaki kufikirisha akili yako kwamba badala yakutumia malory tuboreshe njia ya reli na asilimia kubwa ya mizigo itolewe bandarin kwa tren?Binafsi Sidhani Kama Ni Busara KUSITISHA UJENZI BANDARI YA DARESALAAM Imeelemewa Saana , Haina Eneo Sioni Dhambi Kujengwa Bandari Bagamoyo Ni Sehemu ya Tanzania Na Ilikuwepo Kwenye Mipango.
Daresalaam Hakuna Sehemu ya Miundombinu.
KUINGIA Bandarini Leo Inachukua Lorry Hata 6 Hours Foleni Baadae Itakuwaje?
Mizigo Ikiingezeka???
Tunafanya Mambo Kwa Hisia Na Chuki Tu.
Daresalaam, Mtwara Ni Tanzania Bagamoyo Ni Tanzania Pia
jK atakuwa ametimiza lengo,kula na wadau aliowapa dili huku akijua mradi huo hautakamilika.Hapo wawekezaji walioingia mikataba watakula fedha ya bure kama hii habari ni ya ukweli.
Umefungiwa? Manake naona ushacommentHahahahhaha nikicomment TCRA watanifunga.
Bora wale hela ya bure kuliko kukubali huo mkataba,watakula hela ila tembo na magogo yetu yatasalimika,mkwere atafutiwe chumba segereaHapo wawekezaji walioingia mikataba watakula fedha ya bure kama hii habari ni ya ukweli.
Kweli usemacho lakini mtwara kwa kuhudumia nchi zipi mkuu
Tatzo Ni kuwa tunataka nyumba mpya wakati vibanda vipo kwenye hali mbayaNi aibu kubwa sana kama Magufuli kafuta mradi huu, magufuli ako serious kweli? unafuta mradi wa 10 Billions USD? , are we serious? nchi jirani leo watakwenda kulewa kwa habari hii ya Tanzania kukataa bandari ya bagamoyo. Hivi ni kurogwa ama nini? , tutaendelea na kuwa na project za 200 M usd hadi lini?
Wajinga nchi hii ni wengi sana. Hivi ulitaka serikali ifanye nini?Ni dili tuu hizi,watu wanarudi kinyume na kwenda kuchukua 80% zao kwa makampuni waliyo saini nao mikataba,Jambo hili ni planned kabisa.