Mlalahoi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2006
- 2,182
- 885
Hapo wawekezaji walioingia mikataba watakula fedha ya bure kama hii habari ni ya ukweli.
In long run, hiyo fedha ya bure ni pungufu ya faida itakayopatikana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo wawekezaji walioingia mikataba watakula fedha ya bure kama hii habari ni ya ukweli.
Bandari ya Dar ina changamoto chungu nzima ni nifinyu sana, itatugharimu an arm and leg tukitaka kuipanua, kwa nini hatuendi kupanua Bandari ambazo zina a kina kirefu
Well said mkuu, mimi sidhani Serikali ina mpango wa kusitisha ujenzi wa bandari ya Bagamoyo, kama kuna mpango wa kujaribu kuweka spana kwenye Project hii nzuri basi Dunia itatushangaa, I hope hakuna external forces ambazo zina excert pressure kwa viongozi wetu ili wasitishe mpango huu mzima.
Wakati mwingine magazeti ya Citizen na Mwananchi yana kawaida ya exaggerate nambo madogo - wanakuza out of proportion 4 some reasons ambazo wanazijua wao, haingii akilini kwamba Serikali inaweza ku abandon Project kubwa ya ujenzi wa bandari ya kisasa na yenye manafaa makubwa kwa Taifa letu kwa kuendekeza ushauri ambao hauitakii mema Taifa letu - tukifanya mchezo washindani wetu watatuzidi kete,tutabaki tunajilahumu kwa ujinga wetu - si China wala Oman wataendelea ku entertain ujinga wetu, watakwenda kuwekeza kwingine.
Kiustaarabu si unaanza kususpend halafu unashelve?Read "suspended not shelved", unajuwa maana yake?
This is beyond my comprehension yaani bandari ambayo kwa sasa inatumiwa na mataifa jirani Congo, Rwanda, Burundi na mataifa mengine ya chini mwa Tanzania iwe katikati ya jiji.
Kwa sasa tu magari inabidi ya pakie usiku ambapo ni time consuming kwa wateja wengine kulaza magari ambayo yangekuwa yanawatengezea hela, port ya Bagamoyo si ndio ideal ipo nje ya mji kidogo na eneo linaweza wekewa mazingira tu suit entry and exit ya kumudu foleni za baadae ata mji ukikuwa na tena kuna investor ambaye yuko tayari, ajira ambazo zingepatikana kwa wadau maana dar is congested surely bagamoyo ingekuwa sababu ya kulitanua jij la Dar ambalo kwa sasa lipokea malaki ya economic migrants kila mwaka.
Kuna vitu vingine maamuzi anayaelewa anaenua mwenyewe lakini sio duniani nzima hili ni moja wapo ina maana awaoni location wise tu bandari ya Dar sio sawa kwa volume inazobeba sehemu na sio sahihi kwa jiji leo.
Eric, kwa hili kuna mengi sana ya kujifunza.
Kimweri,
Kuhusu possibility ya Magufuli kuja ku-ruin uchumi wetu endapo ataendelea hivi nakubaliana na wewe na kuna mtu nilishawahi kumwambia all you need to agree with everything kwa haya yanayoendelea ni your preferred management style. Kama management style yako ni ile ya kuhakikisha mtu yupo kwenye kiti chake ofisini na hata akienda kunywa maji anaenda kwa kukimbia basi lazima leo hii aone Magufuli anatupeleka nchi ya Ahadi!
Yaani kabisa kuna wengine wanasema eti bandari zote hizo za nini huku akisahau kwamba moja ya sababu ya kwanini Dar inapokea mzigo mdogo kuliko Mombasa ni kwa sababu hata hao walaji na wauzaji wa ku-attract mzigo mkubwa Dar es salaam hawapo!! Yaani watu hawafahamu kwamba ni umasikini wetu ndio unaofanya bandari ya Dar es salaam ionekane inatosha!
bila kuwa na uhakika wa sababu za kusimamisha ujenzi huu ni vigumu kuchangia. Serikali isifanye kazi kwa kusikiliza makelele ya siasa kama wachezaji wanaocheza kwa kusikiliza kelele za mashabiki.The Construction of the 10 billion (about Sh22 trillion) Bagamoyo Port has been suspended, The Citizen has learnt. The government wants to focus instead, on improving the capacity, performance and efficiency of the Mtwara and Dar es Salaam ports.
The Minister for Works, Transport and Communications, Prof. Makame Mbarawa, confirmed yesterday that the construction of what would be the largest port in Africa has been suspended, not shelved to pave way for upgrading berths 13 and 14 as well as developing the Mtwara Port depending on the availability of Funds. The activities would take years to complete, the minister said because the process has to start from finding funding.
Source: THE CITIZEN
View attachment 315504
Twende Mtwara kuna bandari yenye kina kirefu ni namna tu ya kuimarisha si lazima ujenge mpya wakati tunayo ya kuboresha na gharama zake haziwezi kuwa kama kujenga upya kwa mkataba wa namna ile lazima tujionee huruma na tuonew huruma vizazi vyetu vijavyo dhidi ya mzigo wa madeni ambayo yanaepukika.....lkn, kuna suala la uwezo wa bandari zetu kuhudumia meli kubwa,zinazobeba mpaka kontena elfu kwa mkupuo(3G&4G sea vessels), ambazo lamu port itakuwa na uwezo wa kuzihudumia...tunatazamaje hilo? Au sisi tutabaki tunapokea meli ndogo tu na kuacha biashara kubwa ya bandari, kwa wakenya, djibout, na south afrika?
ni kweli mkuu watu wana mikakati ndo maana jamaa aliandaa kabisa na kampuni yake ili bandari ikijengwa Msoga basi Home wawe wanapakua na kutoa mizigo yao bila kulipa kodi, ndio maana Mzee wa msoga alifanya kila linalo wezekana Mdogo wake apate uraisi lakini Mungu naye mkubwa akaharamisha mipango ya wezi.Ni kweli haukuwa na mantiki yoyote. Lakini mmeshasaini mtaweza kuwalipa hao wawekezaji fidia ya kuvunja mkataba?
Sijui watu huwa mnajengaje hoja? Hayo mabavu anayoyatumia Magufuli kufanya hayo anayoyafanya kayatoa wapi kama si kwenye katiba. Uchaguzi Mwaka Jana ulifanyika kwa sababu Magufuli alitaka ufanyike au kwa kuwa Kikwete alichoka kuwa Rais? Magufuli anapoteua watu au kuhamisha huwa anafanya hivyo kwa kutumia mamlaka ambayo kayapata toka wapi kama siyo kwenye Katiba? Kasome vizuri ujue ni kwa nini wanasema Uingereza haina Katiba iliyoandikwa.
Yaani ningekuwa mods, ningesema the mada is closed. Jibu lako ni tosha kabisa. Watu lazima wajue dar na bagamoyo si zaidi ya miaka kumi itakuwa imeungana, hivyo msongamano utakuwa pale pale. Nchi itanuliwe kwa kujenga bandari mbali kabisa na dar, na hilo litapunguza watu kuhamia dar kwa kasi kama ilivyo sasa.Mkuu ukijenga bandari bagamoyo bado kutakuwa na mlundikano wa watu katika mikoa hii miwili ambayo kiuhalisia ishajaa, tuijenge kusini na mikoa ya pembeni ili nchi ipanukee
Nilichosema ndo kweli yenyewe kwani wewe hukufahamu kwamba bandari iwe ya Mchina au Mwarabu lakini kodi iko pale pale basing na mzigo unaopita? Labda jambo moja ckusema-- China, wanataka independent port badala ya sehemu kama Dar coz' lengo lao ni ku-establish langu lao la kibiashara kati ya China na East & Central Africa! Kama ujuavyo, China ndo largest exporter to Africa... sasa walichotaka wao ni kutumia bandari ya Bagamoyo kwa ajili ya kusambazia bidhaa zao East & Central Africa na vile vile wana similar project Djibouti kwa ajili ya nchi za horn of Africa!! Sasa kwa mtu anayetaka kuushika u kanda mzima huwezi kumpeleka Bandari ya Dar yenye uhaba wa maeneo ya kuweza ku-handle millions of containers.Ikiwa uyasemayo ni kweli,kwanini sasa watake kuimiliki bandari kwa muda huo tajwa?wanapata nini hapo bandarini in return?
Yap mkuu umejaribu kutokuwa mshabiki kama wengine humu,, hili suala watu wanarijadili kiushabiki sana mkuu..
tumeshaambiwa inaweza kuwa one of the big port in Africa, bila shaka mapato yake yangeweza kabisa kuzijenga Tanga na Mtwara kwa takribani kipindi cha miaka 20... Hii sio project yakuacha iende hivi hivi labda kama tuna solution inayofanana na hii project. Dar sio mji tena wakuutegemea kwa project yoyote kubwa baadala yake lazima tuwe na backup plan ya karibu na mji wa dar, bagamoyo port ingeamsha mji wa pwani, moro na tanga na kuunganisha dar,pwani,moro na tanga kimaendeleo, maana naona pia bandari ya tanga kutumika kama backup plan ya bandari ya bagamoyo kukiwa na congestation ya meli maana dar haitaweza tena, mtwara port itajijenga yenyewe maana tayari njia imeshaanza kufunguka kwenye oil na gas, lazima mapato yatapafikana tu maana hata makampuni ya mafuta na gas hayawezi kukubali kuteseka yatatujengea tu hii mtwara port kwa makubaliano fulani..
Asante ndugu yangu kuzidi kuwafafanulia. Haiingii akilini kwa ghafla tuache kupata mapato ya bandari ili tusubiri miaka hamsini ya mapato tusiyokua na uhakika nayo. Mchina wa leo si yule wa enzi ya Nyerere. Anajua Sifa kubwa ya Tanzania yetu ni shamba la bibi. Masharti ya kwanza atakayoweka ni kwamba kwa miaka 40 hiyo meli zote lazima ziweke nanga bagamoyo. Hivyo bandari ya dar ingekufa kifo cha mende. Kwa kweli sijui kwa nini imekua shida kwetu kuona hilo. Kuna mtu katoa mfano mzuri sana hapa wa migodi ya dhahabu. Awali Mwalimu alikataa yasichimbwe kwa hoja watanzania hawatafaidika nayo. Sasa kuna migodi imemaliza madini na imefungwa hali wananchi wa maeneo hayo bado wako hoi. Kwa hili nampongeza sana Mhe Magufuli ila aende polepole na la walala hoi wa mabondeni. Kwa maana awaondoe lakini yeye kama baba wa Watanzania awasaidie wapate makazi hata kama ya muda.Nakatishwa tamaa sana ninapoona hoja dhaifu kutoka kwa wasomi kama nyinyi,sasa hao wasiobahatika kwenda shule sijui wako ktk hali gani kiupeo?Dr Magufuli yupo sahihi kabisa kuusimamisha mradi wa bandari ya Bagamoyo,bandari ya Bagamoyo ikikamilika itakuwa chini ya China kwa miaka 40,ndani ya muda huu bandari zetu zitaathirika sana kimapato kwasababu nina uhakika wateja karibu wote wa bandari ya Dar watahamia Bagamoyo kwasababu ya ukubwa wake,mbaya zaidi mapato yote ya bandari ya Bagamoyo yataenda China, Sisi tutaambulia vijikodi tu, wakati bandari zetu wenyewe zinazotuingizia mapato kwa 100% zikijifia,huo mkataba wa ujenzi ya bandari ya Bagamoyo ni bomu linalosubiri kutulipukia,bora Magufuli ameanza kulishughulikia male a.
Hii nchi tutasubiri sana, ni chi ambayo haina dira, kila raisi ana dira zake za miaka 10, 10 au 5, mradi kama huu nlifikiri ulipewa baraka kubwa na baraza la mawaziri wote waliopita, ok tusirudi nyuma, lakini hapa inaonyesha ni jinsi gani kila kiongozi anaamuka na kufanya analojisikia. Kuna vitu nadhani hasa vya maendeleo viwe either tuna debate bungeni, kwenye vyombo ya habari, mitandaoni au njia yeyote itumike kuhalalisha sera na dira za maendeleo ya Tanzania. Haiwezekani unaamuka na kufuta project ya bandari ya 10B usd ambayo ingeli serve the whole africa , hivyo kuiongezea mapato na ajira kwa vija bila sababu. Kwani uwezo wa kupanua bandari ya zingine upo na wakati ujenzi wa bandari hii ukiendelea.
Rugemalila yupo kwenye project ya Tanga na sio Bagamoyo na gharama za project ya Tanga ni mara 3 ya project ya Bagamoyo!tusha
tushazoea kuliwa tu, au wamesitisha kwa kuwa Jamaa wa ESCROW rygemalina ndiye anataka kuwekeza hapo