Serikali yasitisha ujenzi wa vituo vya mafuta

Hilo baraza linasukwa kila uchao?
 
Huu ni usanii, nani asiyejua kuwa ridhiwani alipelekwa ardhi kufanikisha upatikanaji wa viwanja kwa ajili ya vituo vya lake oil ambavyo vimechipuka kama uyoga baada ya pesa fulani kupigwa...
Wee akili huna hivi nchi hii kupata vibali vya ardhi kujenga shell mpaka ridhiwani awe naibu waziri wa ardhi?naibu waziri kwaza Hana uwezo wa kutoa kibali
 
Huu ni usanii, nani asiyejua kuwa ridhiwani alipelekwa ardhi kufanikisha upatikanaji wa viwanja kwa ajili ya vituo vya lake oil ambavyo vimechipuka kama uyoga baada ya pesa fulani kupigwa...
Hivi unamjua mwenye lake oil au unataka kuleta story za kwenye kahawa
 
Watu wanaangalia fursa wewe huoni ongezeko kubwa la watu kununua magari ongezeko la pikipiki bajaji vituo vikiwa vichache kwa hali ilivyo mtapanga foleni
 
Hilo baraza linasukwa kila uchao?
Wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi imemshinda, wakulima na wafugaji wanauana anapiga kimya, ujenzi holela mijini unakua kwa kasi ya 5G, mahakama Za ardhi rushwa umefikia 100%, mahakama hiyo ilitakiwa kutumia lugha ya Kiswahili Ili kutenda haki ila hakumbuki kufuatilia .

Leo anaibuka na vituo vya kuweka mafuta?

Aondolewe tu na jimboni kwake aliwahi kusema maji sio kipaumbele chake.

Hii Phd yake tunaifuatilia tutawapa majibu.
 
Mkuu mkoa mzima? Sidhani
Ndio ukweli mnapoongea vitu mzunguke nchi nzima mjiridhishe dio kuandika tu mnatenda dhambi kwa kuongea uongo Nina ushahidi wa mikoa kadhaa lake oil haipo usione vinajengwa dar ukadhani ni nchi nzima?
 
Hii ni serikali ya kipumbavu sana. Sasa mtu amekopa hela benki ajenge kituo cha mafuta aanze kurudisha mkopo, wao wanamzuia? Watamlipia mkopo? Nonsense!
Wamezuia vibali vipya
 
Ukija pale jkt mlalakuwa kuelekea kawe kuna kituo,na pale paliwa makazi,ukija maringo njia panda kawe kna kituo...
Kino studio kituo ....
Ila hawa wafanyabiashara wana nguvu lazima watakuja na plan B [emoji1]

Ova
Kama pale JKT wamevunja vile vigorofa mshenzi, afu kituo kimesimama

Kile cha Kituo cha Kawe ni kama vile hakitaanza kazi, pamoja na cha Feza
 
Shida ni kupora pesa za umma kufanikisha hayo.., ni hayo tu
 
Ndio ukweli mnapoongea vitu mzunguke nchi nzima mjiridhishe dio kuandika tu mnatenda dhambi kwa kuongea uongo Nina ushahidi wa mikoa kadhaa lake oil haipo usione vinajengwa dar ukadhani ni nchi nzima?
Ok, ila wamewekeza sana mikoa mingi
 
WIZARA YA ARDHI NDIO CHANZO KIKUBWA CHA UHARIBIFU WA MIJI YETU NCHI WATENDAJI WAKE WANAHUSIKA KWA ASILIMIA 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…