Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Wadau hivi huu mfumo vipi nimeondoa cheti cha chuo najaribu kutaka ku-upload yaani haitaki kabisa sehemu za ku-upload ni nyeusi nimekamilisha kote hapa ndio tatizo







 
Jamani, nilifungua account kipindi kile cha nyuma, sasaivi nikiingia kwenye account yangu wanataka nijaze namba ya nida ila nikisubmit naambiwa nida number already exist. Msaada jamani
 
Jamani, nilifungua account kipindi kile cha nyuma, sasaivi nikiingia kwenye account yangu wanataka nijaze namba ya nida ila nikisubmit naambiwa nida number already exist. Msaada jamani

Kama umefungua akaunt mpya bas ujue inasoma kwenye ile ya zaman,ila bdaye itakaa sw maana hata jana ilikua inazngua ila ikaja kukubal
 
Wazee pale kwenye kuchagua shule pia tunaatach barua je ni barua gani tunaatach? Msaada.

Maada pia kunamahali pakuatach application latter
 
Hii varua ya maombi tunaandika kwa nani? Maana kwenye machagupo kuna kuattach barua na kunamahali pia pa kua attach application latter msaaada
 

msaada ndugu, namfungulia mtu account inaniambia token expired
 
dip unamaanisha diploma?
Yani uchague diploma alafu uweke vyeti vyako vya degree?

Yeah ndo wakulungwa wanadai wameuliza wakaambiwa wafanye hvyo,coz hata ukiandika degree yako manually bdo ukisave itaonyesha diploma so ni had ionyeshe kwenye selection pale ndo inakaa fresh,ss unakuta unajaza kila kitu had chuo fresh ukija kuchek degree unakuta hamna znaanzia diploma so n changamoto
 
Basi sawa ngoja tufanye hivyo
Shukrani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…