Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

sijakuelewa kiongozi
Hayo machaguo sijui ndo ya masomo ya kufundisha yaliyopotea nasema mbona kama ni tatizo la watu wengi? Kuna mdada nimemsikia ana cha gan tukiwa kabisa alifuta somo la English ili aongeze yamepotea moja kwa moja

Ndo nauliza huu mfumo bado hauko stable??
 
inawezekana ila aendelee kujaribu mi Nimefanikiwa usiku nilikuta Somo limerudi
 
Mambo jaman najaribu kujisajiri inaniambia index no haipo sawa na ndo naiweka sahihi
 
Changamoto ya Mfumo:

- Mfumo hauwatambui waliosoma Zanzibar ndiyoma Taarifa za Zanzibar (Mikoa, Wilaya na Shule waliowahi kusomesha/Experience) hazimo kwenye Mfumo.

Enewey nimemsaidia Mtu lakini ameniambia Sehemu ya kuattach CV haipo kwenye mfumo, anayeweza kunisaidia Tafadhali.
umemsaidia??? umewezaje ku log in na mfumo upo inactive kwa sasa.
 
Weka jina jinsi linavyosomeka kwenye vyeti(form 4/6)

Kama jina lako lina majina mawili, sehemu ya jina la kati haujazi kitu

Kama jina lina majina matatu, jaza sehemu zote(jina la kwanza, kati na mwisho).

Mfumo utascan namba yako ya mtihani(kama ni form 4 au 6) halafu utadisplay jina lako kamili, jina la shule pamoja na namba ya mtihani. Hadi hapo utahakiki kama vipo sawa na kuendelea mbele
Sasa mkuu nikuulize ukianza kujaza taarifa wanahitaji majina matatu na Mimi kwenye vyeti natumia mawili, sasa halo nachomokaje? Niandike matatu au mawili?
 
Soma komenti yangu vizuri uliyoiquote, nimeeleza hicho kitu
 
Kwangu leo inaonesha hv
IMG_20210512_121209.jpg
 
Sasa mkuu nikuulize ukianza kujaza taarifa wanahitaji majina matatu na Mimi kwenye vyeti natumia mawili, sasa halo nachomokaje? Niandike matatu au mawili?
Wakuu nisaidieni Napa......
 
Soma komenti yangu vizuri uliyoiquote, nimeeleza hicho kitu
Hapo ni hatua ya mwanzo ukiwa unafungua account imeingia na nikafanya hivyo ikakubali..nazungumzia ukianza kujaza taarifa binafsi wengine wanasema unajaza Kama yalivyo kwenye NIDA wengine unajaza Kama yalivyo kwenye cheti
 
Jaza kama yalivyo kwenye cheti
 
Nimeweka 3
Weka yaliyoko kwenye cheti,mi mwanzo nlikua na matatu kwa mfumo ule wa mwanzo kipindi cha marehemu jiwe,ila jana ikabidi nifuate vile mfumo unavyotaka kwa kujaza majina yaliyoko kwenye cheti,so nikaweka mawili
 
Ikakubali
 
Back
Top Bottom