Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Barua nitype kwa mashine au niandike kwa mkono then niipeleke pdf? Msaada wadau
 
Soma tangazo mkuu Lina maelezo yote
Nimelimaliza nikarudia tena,ila hapo sjaoaelewa. Wamesema barua ya maombi itumwe kw anuani hyooooooo. Sas hapo ndipo napouliza hyo barua iwe ya kuandika kwa mkono au typed?
 
Barua nitype kwa mashine au niandike kwa mkono then niipeleke pdf? Msaada wadau
Kama wameandika barua iandikwe Kwa kiingereza au Kiswahili utachagua mwenywe pia kama hawajasema NI Kwa format gani hapo utachagua wewe mwenywe
 
Nimelimaliza nikarudia tena,ila hapo sjaoaelewa. Wamesema barua ya maombi itumwe kw anuani hyooooooo. Sas hapo ndipo napouliza hyo barua iwe ya kuandika kwa mkono au typed?
Iyo itype Tu mkuu, pia ukiandika Kwa mkono Sawa Tu, utona mwenywe chaguo zuri hapo
 
Jibu mbona lilo wazi inamaana kwamba upungufu ulikuwa mwingi kwenye walimu wa level ya degree kuliko hao unaowaongelea
 
Kwaiyo hakuna wa kunisaidia nimesahau username na passwords Kila nikijaribu inakataa
Wapigie utumishi kesho watakusaidia maana ukijaribu kureset huwa inazingua sana sana ! Wapigie mapema
 
Pengine, itategemea sasa na ratiba zao ila mara nyingi kama Kada NI nyingi huwa wanakuwaga na ratiba tofauti tofauti
Huwa ni siku moja maana wanafanya kwa kanda na vituo ni vingi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…