msouzi wa kingoni
Senior Member
- May 6, 2017
- 150
- 226
Kawaida sana nawaombaji watakuwa wengi zaidi ya 150k Kwa maana hakuna limitation ya miaka kama zile za Tamisemi Kwahiyo Cha msingi uwe under forty five ageKubabaabake kwa hiyo hata wakiwa laki moja wote wataweza kuwafanyia interview au kuna option
Shida sisi walimu tulizoea Ganda la ndizi sasa huu utaratibu wa interview unatuogopesha 🤣🤣🤣🤣Vijana mna matatizo sana, usaili ndiyo ponapona yenu, ukiachwa unaachwa with tangible reasons siyo watu wanatoa majina tu bila taarifa za kueleweka.
Ukijibiwa nitag mkuuHivi Jaman naona barua iliyosainiwa ni Saini hii ya kwangu au na yenyewe inapita kwa mwanasheria
Hahahaha.Wakuu msaada ...
Jamaa ali- certify vyeti vyake mwaka 2019 ,,, jee nakala hizo anaweza kuzitumia katika hizi ajira ,,, au anatakiwa aende tena mahakamani aka-certify na upya ili muhuri usije kuonekana wa zamani mno ???
Iko hivi " Mwanasheria/Wakili aliyesajiliwa au Mkuu wa Idara ya Utumishi "Hvikwa hz ajira za utumishi, cheti ni lazma ku certify kwa mwanasheria? au naweza ku certify hata mahakaman na wakakikubalia?
Mnawasagia sana kunguni maticha[emoji2]Au watakaofaulu interview zote tatu Written, practical na Oral wapewe tena mtihani ili kuthibitisha walifanya vzr kwenye hizo usaili walizofanya [emoji23]
Ni vyeti tu ndio inatakiwa, sio barua.Hivi Jaman naona barua iliyosainiwa ni Saini hii ya kwangu au na yenyewe inapita kwa mwanasheria
Lazima pawe na somo la muhimu katika huu mchakato.Hapa kwenye huu mfumo wa ajira portal lazima walimu walie na kusaga meno mchujo ukianza
Bila shaka ushajibiwaHeey! wakuu samahani naomba kuuliza hivi ni laazma CV iwe printed au!!? Yaani katika kuongeza ufanisi inatakiwa iwe hivyo msaada plz[emoji103][emoji103]
Edit halafu usubiri kwa muda utaona mabadiliko, mfumo huwa hauobeshi mabadiliko papo kwa papoMbona kwenye kuedit inagoma? Nataka kuweka certified copies inakataa. Shida inakuanga ni gani?
Hivi Jaman naona barua iliyosainiwa ni Saini hii ya kwangu au na yenyewe inapita kwa mwanasheria
Wekeni saini zenu.Ukijibiwa nitag mkuu
Mwanasheria, MahakamaHvikwa hz ajira za utumishi, cheti ni lazma ku certify kwa mwanasheria? au naweza ku certify hata mahakaman na wakakikubalia?
Asante mkuu, ngoja niende nao taratibuEdit halafu usubiri kwa muda utaona mabadiliko, mfumo huwa hauobeshi mabadiliko papo kwa papo
Piga screen shot hiyo hatua ambayo ajira portal wanaweka kosa ili tuweze kuelewa hilo tatizo"sehemu ya kujaza personal details ambapo kabla ya chochote lazima uweke namba ya NIDA , shida inakuja nikiiweka namba ya NIDA na kujibu maswali kadhaa ya uthibitisho kuwa ni namba yangu, nayapatia kabisa ila Ajiraportal wanaweka alama za kosa". mwenye ujuzi hapa
Haya kazi kwenu Walimu.Interview ni lazima..walimu jiandaeni View attachment 3048315
we endeleea kupiga na punye kitandani kivyako huku cafe ni nyomi watu tunakusanya helaEh kumbe kuna watu bado wanaenda Cafe 😔 Mbona h ishu unamalizana nayo ukiwa kitandani na simu yako
Set namna hii..Nakutana na rungu moja zito "application failed " [emoji23][emoji23]
mfumu ukakat5aa mimi nimesoma BAchelor of arts with education ila nikiomba walimu wa degree inagomaUnakubali vizuri tu ata Tangazo limesoma unaweza kuomba
Wapi unakwama?