Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

Hivi Jaman naona barua iliyosainiwa ni Saini hii ya kwangu au na yenyewe inapita kwa mwanasheria
 
Wakuu msaada ...
Jamaa ali- certify vyeti vyake mwaka 2019 ,,, jee nakala hizo anaweza kuzitumia katika hizi ajira ,,, au anatakiwa aende tena mahakamani aka-certify na upya ili muhuri usije kuonekana wa zamani mno ???
Hahahaha.

Swali zuri sana.

Sikia, vyeti original navyo si vya zamani? hizo kopi zipo valid asipate shida yeyote.

Mimi nilicertify miaka kadhaa nyuma then nikaendelea kuzitumia hizo kopi kwa kila fursa za kazi
 
Au watakaofaulu interview zote tatu Written, practical na Oral wapewe tena mtihani ili kuthibitisha walifanya vzr kwenye hizo usaili walizofanya [emoji23]
Mnawasagia sana kunguni maticha[emoji2]
 
Hapa kwenye huu mfumo wa ajira portal lazima walimu walie na kusaga meno mchujo ukianza
Lazima pawe na somo la muhimu katika huu mchakato.

Kujua kutumia mfumo ni skills zuri sana, itawajengea uzoefu mzuri walimu ukizingatia siku hizi kuna PEPMIS watakutana nayo huko makazini wakashapata nafasi.

Kingine hakutakuwa na lawana endapo mtu kaenguliwa kwa kosa alilofanya yeye
 
Heey! wakuu samahani naomba kuuliza hivi ni laazma CV iwe printed au!!? Yaani katika kuongeza ufanisi inatakiwa iwe hivyo msaada plz[emoji103][emoji103]
Bila shaka ushajibiwa
 
"sehemu ya kujaza personal details ambapo kabla ya chochote lazima uweke namba ya NIDA , shida inakuja nikiiweka namba ya NIDA na kujibu maswali kadhaa ya uthibitisho kuwa ni namba yangu, nayapatia kabisa ila Ajiraportal wanaweka alama za kosa". mwenye ujuzi hapa
Piga screen shot hiyo hatua ambayo ajira portal wanaweka kosa ili tuweze kuelewa hilo tatizo
 
Nakutana na rungu moja zito "application failed " [emoji23][emoji23]
Set namna hii..

Kama wewe ni Mwalimu wa Mathematics halafu kipindi upo Chuo kozi yako iliitwa Bachelor of Science with/in Education lakini ukaspecialize kwenye Mathematics.

Sasa hapo Ajira portal andika BACHELOR OF EDUCATION IN MATHEMATICS kwenye sehemu ya professional qualification.

Ukimaliza pale apply hutapata shida tena.

Pia kama ulisoma masomo mawili ya kufundisha andika (mfano)

Bachelor of Education in Geaography and Kiswahili

Bachelor of Education in Physics and Mathematics

Bachelor of Education in Chemistry and Biology

n.k
 
Back
Top Bottom