Nazijua mkuu na nimeomba na kufanya usaili mara kadhaa,but sikuwahi sikia usaili kwa kada ya ualimu. Itakuwa ni utaratibu mpya umeanza.Ajira za Utumishi unazijua? Na siku zote wanavyo tangaza huwa wanasema kuna usaili??
Sijaona kwenye tangazo kuwa kuna usaili
[/QUOTEMwishon kabisa wamekuambia maombi yote yatumwe ajira portal mkuuSijaona kwenye tangazo kuwa kuna usaili
Bora iwe hivyo bhan maana kuna sister wangu kajichimbia huko privet moja anavuta 980K per monthHakuna usaili nadhani
Apo kipengele mkuu lazima lkn usail uwepo kozi ni waombaji ni wengiBora iwe hivyo bhan maana kuna sister wangu kajichimbia huko privet moja anavuta 980K per month
Free house
Free umeme & maji
Free bima
Free food (asubuhi mpaka usiku)
Kila ijumaa wanapewa 30K
Shamba heka 5
Mwanafunzi akipata A mwalimu unapewa Buku ten
B Buku tano(mitihani ya ndani)
Ila wanatabia ukiomba kazi sehemu Nyingine wakajua hawakuongezei mkataba
Sasa kama kuna usahili itakuwa tizi
Masomo yake ni Phy Na mathematics
Ina 92% mkuu na kila nikiomba inakataa JOP APPLICATION FAILED. Mpaka nachoka.Umejaza profile yako vizuri Mkuu?
Maana inashauriwa ili uitwe kwenye interview profile yako walau ifike kuanzia asilimia 75 kwenda juu.
Ukiwa below Kuna possibility kubwa usiwe unaitwa kushiriki hizo interviews
Pole MkuuIna 92% mkuu na kila nikiomba inakataa JOP APPLICATION FAILED. Mpaka nachoka.
Sema wametoa muda mfupi sana siku za kuomba ni kama 10 inaonekana wataingia vituoni kabla ya mwezi wa tisaApo kipengele mkuu lazima lkn usail uwepo kozi ni waombaji ni wengi
Kazi kipimo cha utuHivi mshahara wa mwalimu wa degree sayansi basic ni kiasi gan Kwa anaeanza?
823kHivi mshahara wa mwalimu wa degree sayansi basic ni kiasi gan Kwa anaeanza?
Mzee hiyo tayar uoni zipo kwenye system.Kutangaza ni moja na kutekeleza ni mbili...
Serikali ishatangaza mambo mengi na hayajatekelezwa.
Mzee hiyo tayar uoni zipo kwenye system.
Oya aisee bro angu namuombea apate aisee kutoka 2017 mpaka leoSema wametoa muda mfupi sana siku za kuomba ni kama 10 inaonekana wataingia vituoni kabla ya mwezi wa tisa
Watapata nafasi tu mkuu kozi utakuta shinyanga 3 mbeya 15 and so farKwahiyo washaajiriwa hao walimu elfu 11? Hiyo ni FUTUHI kama FUTUHI nyingine.
Mchakato this time ni mrefu, utumishi wana mlolongo siyo kama TAMISEMI wao walikuwa wanajifungia ofisini wanagawana nafasi then wanaachia.Oya aisee bro angu namuombea apate aisee kutoka 2017 mpaka leo
Mkuu omba kazi kulingana na maelekezo ya mfumo na qualification vile vile usikute una degree unaomba kazi za watu wa diploma apo lazima uzingue tu mkuuIna 92% mkuu na kila nikiomba inakataa JOP APPLICATION FAILED. Mpaka nachoka.