kafuta ambele
Senior Member
- Aug 7, 2017
- 184
- 515
Ada yako haikwenda bure kaka kuelimika ni pamoja na kujua lengo la mzungumzaji hata kama hakuzungumza ulivotaka uzungumzeNahisi alikuwa anamaanisha mabadiliko yaliyo kwenye account za waalimu na sio PDF
Jf yote ni walimu wanaopondea walimu hivyo ukiuliza swali kuhusu ualimu jiandaeAda yako haikwenda bure kaka kuelimika ni pamoja na kujua lengo la mzungumzaji hata kama hakuzungumza ulivotaka uzungumze
Wengine bado hatujaanzaUsaili tayari
Kwani majibu yashatoka?Waliimu mlisubili kuitwa kwa hamu sana kwenye usaili. Naona saa hii kimyaaa adabu imerejea kwa mtaa.
huna wa kumlaumu kwa kujipima mwenyewe kuwa huwez kufundisha watoto wetu sio😂😂
aya hongera kwa mlio faulu interview na polen mlio fail mjipange mwaka mwingine kuomba nafasi zikitoka.
mliobaki jiandaeni vizuri wale psprs sio mchezo mchezo🤣🤣 cutting point mpaka 80.
Matokeo ya form 4 yametangazwa janaKwani majibu yashatoka?
degree itaenda 95 kupandaWaliimu mlisubili kuitwa kwa hamu sana kwenye usaili. Naona saa hii kimyaaa adabu imerejea kwa mtaa.
huna wa kumlaumu kwa kujipima mwenyewe kuwa huwez kufundisha watoto wetu sio😂😂
aya hongera kwa mlio faulu interview na polen mlio fail mjipange mwaka mwingine kuomba nafasi zikitoka.
mliobaki jiandaeni vizuri wale psprs sio mchezo mchezo🤣🤣 cutting point mpaka 80.
Haiwezi mkuu si degree tayari audegree itaenda 95 kupanda
wameanza leo watu wa kiswahilHaiwezi mkuu si degree tayari au
Na history siowameanza leo watu wa kiswahil
Wajomba wanauliza kuanzia form one hadi chuo kikuu huyo mwalimu atakae master content zote izo atakuwa roboti hakiamunguwameanza leo watu wa kiswahil
Watakaofaulu wengi n wale walimu waliokua wanajitolea ama waliopo shulen ila waliokua mtaaani hawatoboiWajomba wanauliza kuanzia form one hadi chuo kikuu huyo mwalimu atakae master content zote izo atakuwa roboti hakiamungu
Uoga uelewa tu sio mpaka upate 100/100Watakaofaulu wengi n wale walimu waliokua wanajitolea ama waliopo shulen ila waliokua mtaaani hawatoboi
Anaejitolea anafundisha level mahsusi mfano o level tena darasa moja tu tuseme form twoWatakaofaulu wengi n wale walimu waliokua wanajitolea ama waliopo shulen ila waliokua mtaaani hawatoboi
Matokeo yako wapi, ndugu?Haya walimu Wa kiswahili Waliopata kuanzia 70 watu 775 kati ya 23,426
Kweli Mtihani hauna cha professional wala students
Matokeo yako wapi, ndugu?