Serikali yatangaza Amri ya Bei Elekezi za Sukari Tanzania Bara

Uchumi hauendi hivyo, Mambo ya bei elekezi ni Mambo ya Kijima ya miaka 1947!
Bidhaa zinatakiwa ziende kwa nguvu ya soko,demand and supply,
Low demand, high supply, bei zitaporomoka!
High demand, low supply, bei Zita panda tu, high demand, high supply, bei zinakuwa stabble, sio huu upuuzi unaoendelea,
Inawezekana vipi, watu wakaficha bidhaa, ili bei zipande, na serikali IPO, Waziri, katibu mkuu, maofisa ndani ya mkoa, wilaya, watu wa usalama, nk
 
Hapa ndo wameipeperusha sikari moja kwa moja,sukari haitapatikana kirahisi kabisa,hivi sasa maeneo mengi sukari inapatikana kwa shilingi 4500 hadi 5000,sasa hiyo 2800 sijui itawezekana vipi?leo hii watu wa sigara nao wamepandisha bei ya sigara mfano sm na spot bunda moja la paket 10 ni tsh 43000 toka bei ya zamani sh 34000,Wiston tsh 26000 toka tsh 17000.ukifikiri kwa makini utagundua tuendako sio
 
Halafu watumiaji wa sigara nao wamekaa kimya tu
 
Nakuelewa sana Mkuu, mtu aliyekua anaziweza hizi mambo ni huyo kwenye avatar Yako.

Unakumbuka sakata la mafuta ya kula, na sukari enzi zake...
Upo sahihi kabisa nakumbuka wakati wa magufuli kulikuwa na uhaba wa sukari sasa magufuli akadai sukari imefichwa makusudi sasa akikukamata nayo inataifishwa,sasa hapa mtwara kuna mzee mmoja alishusha kama tani 40 hivi za sukari na ile siku inashushwa mimi niliona kwa kuwa ni jirani yangu, ila chakushangaza wateja wakija anawajibu hana aisee ilipotoka ile amri yenye lafudhi ya kisukuma yule mzee alifichua mwenyewe ,,sasa je unadhani mfanyabiashara ni wakumuonea huruma?
 
Afu haitapatikana kabisaa
You are absolutely right. Enzi zetu hali ilikuwa hivyo. Pamoja na kuwa na bei elekezi haikusaidia kitu. Ama bidhaa ilipotea ghafla toka madukani au iliuzwa kwa bei tuliyoiita ya magendo. Tulikuwa na msemo kwa wakati huo " the controlled price is a price at which the commodity in question is not available"
 
Hakuna bei elekezi iliowahi kufanikiwa katika historia ya nchi.
Kitu muhimu kwa serikali ni kuimarisha fursa za ushindani katika sekta hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…