makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Hamna litakalofanyika, ni matamko ya kisiasa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri katoa kibali kwa wenye viwanda waagize sukari nje kutokana na upungufu wa uzalishaji wao.Huo niupuuzikama sukalihamna beiisipande wakulimawamiwawanalia miwaimelalia walitakiwakujiulizaninikimesababisha
Ukitaka kujua Tanzania ni rotten shithole country njoo hapa boda ya Mutukula, sukari ya Uganda [emoji1254] [emoji58] best quality inauzwa Tsh 1700 mpaka 2000 wakati low quality ya Kagera sugar tunanunua 4000 mpaka 5000 kwa KGKimsingi Industry ya Sukari kaachiwa na anaisimamia na kuamua bei, uwepo au kutokuwepo kwake yule Mwarabu Mkurugenzi wa Mtibwa na Kagera Sugar. Yeye ndio anaamua bei iwaje au sukari iwepo au isiwepo. Wao ndio wanapiga vita viwanda vingine kuanzishwa mfano kile cha Mkulazi kule Kilosa. Anaamini kama kikiwepo kile kiwanda sukari itakuwa nyingi na watashindwa kucontrol bei ya soko.
Huyo waziri na Hao bodi ya Sukari wanajifurahisha kwani hiyo sukari itafichwa rasmi na haitakuwepo kabisa mtaani. Wanajua nguvu ya Seif katika Tasnia ya sukari Tanzania.
Hii issue mfumo serikali iliotumia kupanga bei elekezi una walakini kwanini wasifuatilie bei kutoka kiwandani wao wameanza na dealer kwanza dealers wenyewe wameachwa tu ila wanaenda kudeal na wafanyabiashara wadogo wasio hata na kosa loloteWaende kiwandani wawaambie wauze sukari kwa bei elekezi na iwe toshelezi, kwann sukari inapanda bei, mawakala wameweka oda kiwandani lkn bidhaa hakuna, ikipatikana anapigiwa cm wakala mmoja sukali ipo lkn kwa shilingi kadhaa bei sio ile halisi anaongezewa kidogo hata hivyo anapata pungufu ya idadi aliotaka mfano amehitaji tani 60 analetewa tani 40 wakati huo huyu wakala ana wateja zaid ya 20 wanataka sukali, ikifika anaiweka ndani anawapigia wateja sukari imefika lkn kwa bei fulania wale wanaenda kununua hapo inauzwa kwa jumla mtu anachukua mifuko 100 nk huyu nae anakwenda kuwauzi wale wa mfuko moja mwenye kuitaji mifuko kumi kwa kuongoza zaid mpka ikufikie ww , kaa kwa kutulia waende kiwandani wakatatue tatizo kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa serikali inanichekesha Sasa kama sukari ya nje ilikuwa imeshaagizwa tayari na inakuja kulikuwa na haja gan ya kujidai kwamba wanajali wananchi na kufatilia bei ya sukari na kukamata wafanyabiashara Kwa show off kwenye TV sukari ya nje ikishakuja na bei ndogo yenyewe tu itasababisha stability of price ni simple economy sukari ilipanda Kwa sababu ya scarce kwenye market...Hawa watu wanatuona mazuzu ebu jiulize kwanini wafanyabiashara wasipandishe bei siku za nyuma waje kupandisha leo! Ni dhahiri kuna tatizo katika upatikanaji wa bidhaa ndiyo maana bei imepanda sasa katika hali ya kawaida mfanyabiashara hawezi kununua bidhaa kwa bei ya juu halafu auze kwa bei ya chini.
Wao badala ya kuonea watu ili kujiosha waruhusu wafanyabiashara walete sukari kutoka nje ya nchi kufidia upungufu uliopo, hii ya kuwapa wenye viwanda pekee vibali vya kuagiza sukari toka nje ni kuongeza urasimu na bei inaweza isishuke.
Tena ni simple economics tu serikali ina maana Haina wataalamu wa uchumi kujua Hili suala linaenda naturally tu..Kuweka bei elekezi ni kama danganya toto. Factor kubwa hapa ni supply and demand.
Tunawapongeza kwa hili la sukari wamelichukulia hatua za haraka hebu waulize hawawezi kutuagizia na umeme huko?View attachment 2881106
View attachment 2881107
Kufuatia malalamiko ya Wananchi juu ya kupanda kwa gharama za Sukari, Serikali imetangaza Amri ya Bei Elekezi iliyoanza kutumika Januari 23, 2024 katika Mikoa yote ya Tanzania Bara kwa lengo la kudhibiti Bei holela za Bidhaa hiyo
Kwa mujibu wa Tangazo la Serikali, Amri hiyo imesema Mtu yeyote anayeuza Sukari kinyume na Bei Elekezi zilizoainishwa atakuwa ametenda Kosa na akitiwa hatiani atawajibika kwa adhabu iliyoainishwa katika masharti ya Sheria ya Tasnia ya Sukari
Bei Elekezi za Rejareja kwa Kilo 1 Sukari ziko kama ifuatavyo: Dar, Morogoro, Pwani Tsh. 2,700 - 3,000, Iringa, Mbeya, Songwe, Njombe Tsh. 2,700 -3000, Dodoma, Singida, Tabora Tsh. 2,800 - 3,000, Lindi Mtwara, Ruvuma Tsh. 2,900 - 3,200
Mikoa ya Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Mara Tsh. 2,800 - 3,000, Tanga, Kilimanjaro, Arusha, Manyara Tsh. 2,700 - 3,000 na Kagera, Kigoma, Katavi, Rukwa Tsh. 2,800 - 3,200
tunaweza kutofautiana Kwa mawazo ila tukabaki na ukwel halisi kuwa mtu pekee alieweza kudhibiti mfumko wa Bei ni JPM tu, na hakuwa na mchezo na alikuwa na Nia, pamoja na malengo,View attachment 2881106
View attachment 2881107
Kufuatia malalamiko ya Wananchi juu ya kupanda kwa gharama za Sukari, Serikali imetangaza Amri ya Bei Elekezi iliyoanza kutumika Januari 23, 2024 katika Mikoa yote ya Tanzania Bara kwa lengo la kudhibiti Bei holela za Bidhaa hiyo
Kwa mujibu wa Tangazo la Serikali, Amri hiyo imesema Mtu yeyote anayeuza Sukari kinyume na Bei Elekezi zilizoainishwa atakuwa ametenda Kosa na akitiwa hatiani atawajibika kwa adhabu iliyoainishwa katika masharti ya Sheria ya Tasnia ya Sukari
Bei Elekezi za Rejareja kwa Kilo 1 Sukari ziko kama ifuatavyo: Dar, Morogoro, Pwani Tsh. 2,700 - 3,000, Iringa, Mbeya, Songwe, Njombe Tsh. 2,700 -3000, Dodoma, Singida, Tabora Tsh. 2,800 - 3,000, Lindi Mtwara, Ruvuma Tsh. 2,900 - 3,200
Mikoa ya Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Mara Tsh. 2,800 - 3,000, Tanga, Kilimanjaro, Arusha, Manyara Tsh. 2,700 - 3,000 na Kagera, Kigoma, Katavi, Rukwa Tsh. 2,800 - 3,200
Nimetoka kununua muda, huu mitaa, ya Ukonga Dsm, kilo Moja ya sukari ni 4500/=View attachment 2881106