Serikali yatangaza Amri ya Bei Elekezi za Sukari Tanzania Bara

Serikali yatangaza Amri ya Bei Elekezi za Sukari Tanzania Bara

Kwa ujumla mama uongozi umemuelemea simuoni yeye kama yeye naona ushungi tu

Serikali na ccm wote uwezo wa kufikiri ndo umefika mwisho!

Ushindani wa waagizaji na wenye viwanda ukiwepo hii kero itakoma wala bodi haitojisumbua na vijedwali vya bei!
 
Kimsingi Industry ya Sukari kaachiwa na anaisimamia na kuamua bei, uwepo au kutokuwepo kwake yule Mwarabu Mkurugenzi wa Mtibwa na Kagera Sugar. Yeye ndio anaamua bei iwaje au sukari iwepo au isiwepo. Wao ndio wanapiga vita viwanda vingine kuanzishwa mfano kile cha Mkulazi kule Kilosa. Anaamini kama kikiwepo kile kiwanda sukari itakuwa nyingi na watashindwa kucontrol bei ya soko.

Huyo waziri na Hao bodi ya Sukari wanajifurahisha kwani hiyo sukari itafichwa rasmi na haitakuwepo kabisa mtaani. Wanajua nguvu ya Seif katika Tasnia ya sukari Tanzania.
 
Huo niupuuzikama sukalihamna beiisipande wakulimawamiwawanalia miwaimelalia walitakiwakujiulizaninikimesababisha
 
Ikiadimika serikali inatakiwa iwachukulie hatua wanaoficha sukari.
Hawa watu sio wakuwachekea hata kidogo. Ukiona hadi awamu hii inafikia hatua hii ujue uhuni umezidi.
Mnawalaumu bure wafanya biashara wao wamenunua kwa bei ya 4000 unataka wao wakuuzie 2700? Yaani auzie hasara? Sukari kuadimika ni wafanya biashara hawanunui sukari sababu wanahofu watapata hasara.. kama hapa unavyoona tamko limetoka bei elekezi wakati na yeye alinunua kwa bei juu.. unataka auze kwa bei elekezi wakati anamzigo mkubwa alinunua kwa bei kubwa?..

Dili na wasambazaji wakubwa kutoka viwandani..
 
Back
Top Bottom