Serikali yatenga Shilingi Bilioni 34 kujenga Makumbusho ya Marais Dodoma

Serikali yatenga Shilingi Bilioni 34 kujenga Makumbusho ya Marais Dodoma

Achana naye ulishaambiwa mpaka mambo yaharibike sana ndio utaona mageuzi.Kwahiyo hutaki hilo litokee kiongozi?

Acha apuyange tu mpaka akili za watanzania zirudi maana akili zetu mbovu kweli.Nakumbuka kauli za malofa na kichwa cha mwendawazimu ndio naelewa labda viongozi kuna vitu wanajua kuhusu watanzania lakini wanaficha
 
Nchi ina mambo mengi ya msingi ya kutatua na kushughulikia ila bado pesa za walipa kodi zinaelekezwa kwenye mambo ya kipuuzi
 
Edward Moringe Sokoine (MAISHA NA UONGOZI WAKE.. Hiki kitabu ,wekeni online, kuepuka gharama na Kodi za Watanzania, ili tufanye mambo ya msingi!
 
Back
Top Bottom