peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Mkuu huyu ni tatizo na uongozi ,utatugharimu zaidi ya hasara ya miaka 100๐ ๐ ๐ akikudaka mkuu shaur yako
Sometimes hizo title zenu mzitendee haki, au za kupewa?? Uchawa nao sasa ushakua upumbavu tu.nikitizama kwa jicho la kiuchumi ni jambo jema katika sekta ya utalii na elimu kwa vizazi vijavyo
Especially kamchepuko nako kakitwaliwa chapu chapu!๐Msamehe tu
Ujane huja na mambo mengi
Nonsense ๐ฎ
Mwachani tu huyu mwenye elimu za hapa na pale. Kachanganyikiwa. Kuondokewa na waume wawili kwa muda mfupi sio mchezo.