Serikali yatimua wanafunzi UDSM


Unaongelea matukio mawili tofauti hapa. Lile la miezi miwili iliyopita ambapo baadhi ya wanafunzi walifanya fujo na kuharibu majengo ili kupata maji na hili la sasa hivi ambalo wanafunzi wameandamana kwa amani kupinga suala la uongozi kuingilia haki yao ya kikatiba ya kuchagua viongozi wao.


If I recall, the Ugandan fella was kicked out due to eligibility. In addition, there is a division between students due to their political party affiliation.

Katiba ya uchaguzi wa DARUSO haisemi kuwa mgombea uraisi wa DARUSO lazima awe raia wa Tanzania peke yake.


Una hakika na unachosema hapa? Haya yote hayakutokea kwenye hii issue ya msingi hapa inayoongelewa ambayo ni suala la Mukandala kuingilia uchaguzi huru wa wanafunzi wa chuo kikuu kabla ya kuleta FFU na kuwapiga wanafunzi waliokuwa wanaandamana kwa amani.

Ukitaka kuongelea ule mgomo uliopita ambao inasemekana kuwa kuna baadhi yao walivunja vitu basi sema kwa hakika lakini so far unachanganya vitu viwili hapa tofauti kabisaaaaaa.



Benki ngapi Tanzania ziko tayari kutoa mikopo kwa wanafunzi kusoma?


Get your facts straight Rev!


Kati ya wanafunzi alfu thelathini wa UD, ni wangapi wanaweza kufanya kazi ya uwaiter hapo?

You are talking numbers? what is the capacity of first year entry seats at UDSM? How many students can not afford to pay upfront or obtain a loan to be repaid once they graduate and secure a job with their degree?

I think you are in good position to answer this one


Haya yote yanakubaliwa ila swala la kuingilia uchaguzi huru wa wanafunzi sidhani kama ni kazi ya serikali au uongozi wa chuo.

Yes there is a need to reform Bodi ya Mikopo and the whole philosophy of how Bodi ya Mikopo ya wanafunzi should work and criteria to be used. That is being reserved for anothe discussion.

Asante kwa kuona hili




Serikali yetu bado inatakiwa kugharimia elimu ya juu mpaka pale kutakuwa na namba ya wasomi ya kutosha nchini.


Wamefanya hili mara nyingi sana ila hujaliona wewe!

But strange childish behaviour has been demonstrated. Vandalism, physical fights, getting suspended, loosing time for a calculater and elevetor?

Hili tatizo la juzi halikutokea haya yote unayosema, hivi wewe umepata wapi hili?


No, the whole saga lost its direction when the killer Mukandala gat himself mixed into students' own issues

Lets fight intelligently, we will win, if we succumb to emotions and become subjective, the one who gets hurt is ourselves.

Intelligence calls for understanding! aint so?
 
PM, YNIM, Kimweri,

Miezi kadhaa tulikuwa na majadiliano kuhusiana na UDSM. Mushobozi, Fundi Mchundo, Bin Maryam, Bi. Mkubwa, Kitila na wengine walikuwa ni washiriki. Tulizungumzia suala la shida ya maji na umeme.

Niliuliza, hapa chuo kikuu, tuna kitivo cha Uhandisi, kuna watu wa geology, chuo cha maji ni jirani kwenye lile geti kuelekea ubungo na pia kuna chuo cha ardhi.

NIkauliza, je Chuo kizima, Utawala, Waalimu na Wananfunzi, wanasubiri nini kutumia nafasi hii ya shida hizi kutumia elimu zao na maarifa kuunda miundo mbinu kukipa Chuo na maeneo jirani maji na umeme wa kutosha.

Kuna jibu moja lilikuja likisema eti UDSM si research university. Nikauliza wanafunzi wa uhandisi, si watanufaika sana wakitumia muda kama work study au project na hata kuomba fungu kufanya project ya kujenga vijima vya maji, pampu za maji na hata miundombinu mipya ya umeme kama umeme wa Jua?

Majibu yakaja kuwa that is not responsibility ya UDSM, ni jukumu la Serikali.

Sasa nawaulizeni tena, kazi ya kwenda Chuo Kikuu ni nini? ni kufaulu mitihani na kuvishwa kofia yenye pande nne au ni kuboresha maarifa na kuwa wabunifu?

Njoo kwenye madai ya kukiukwa kanuni au sheria. Si tuna kitivo cha sheria, na wanafunzi wanajifunza sheria, na kama sikosei hata inawezekana kuna masomo kuhusu haki za watu. Je ni utaalamu gani uliotumika kutoka kwa wanafunzi hawa wa taaluma mbalimbali kuhakikisha kuwa wanatumia nafasi zao na rasilimali bure walizonazo kuleta msukumo wa mabadiliko au kushinikiza Serikali ya Chuo na Serikali kuu zifanye kazi zo kwa umakini?

Je si sahihi kusema "Akili tunazo, lakini tumezikalia"?

Wengine wenu mmewakebehi walivyokimbilia fulana za rangi ya chama na kumba CCM walipokusanywa kwenda Diamond Jubilee kukutana na MWenyekiti wa CCM na Rais wa nchi, kwa nini Risala yao haikuwa na kauli mbiu yenye kutaka ufuatiliaji wa matatizo yao yatimilike? je Daruso wameshafanya jitihada kwenda Wizara Mama au hata kumuona Rais/Waziri Mkuu/Spika/Jaji Mkuu kuongea nao na kusema tuna taka muongozo na tunataka haya yafanyike ili tuweze kuwa na maisha ahueni tuweze elimika bila shida?

Najiuliza tena, hivi hawa wanafunzi hawana counselors katika waalimu wao ambao watawapa ushauri?

Nyinyi mmeyasikia kutoka kwa wanafunzi, mimi nimeyasikia kutoka kwa both wafanyakazi wa chuo na wanafunzi. Ndio maana nimekaripia utoto!

Ukichunguza mgomo, umesababishwa na watu 15 ambao walisimamishwa kwa ajili ya utovu wa nidhamu na kukutwa na madawa (bangi). Umoja wa siafu ukasema hapana hawastahili kusimamishwa Shule. Vurugu zimesababishwa 300 kupoteza scholarhip, 39 kufunguliwa mashitaka yanayoweza kuwa ni ya jinai, na haya yote yamesababisha karibu wanafunzi 14500 kushindwa kuendelea na masomo na kumaliza mhula na mwaka wa shule.

Is there any logic or sense on any of their action that led to this irrational and childish behaviour?
 

Mawazo kama haya inabidi yawekwe kwenye manifesto ya CCM maana yanamfaa Makamba!
 

UTASUBIRI NINI WAKATI WATU TAYARI WAMEFUNGIWA KWENYE LIBRARY, MADARASANI NA HATA KUPIGWA ETI KWA SABABU HAWAKUBALIANI NAO?

TANZANIA DAIMA YA LEO IMEMKWOTI SHIVJI AKIWASHAURI WANAFUNZI KUWA INABIDI KUJIFUNZA KUGOMA KWA MAMBO AMBAYO WATAPATA SUPPORT KUTOKA KWA WANANCHI.( nadhani alitaka kusema sio kupata support kutoka kwa akina Mwafrika wa kike maana watawapoteza. emphasis is mine)
 

REV,

Issue ya msingi hapa ni suala la Mkandala kuingilia uchaguzi huru wa wanafunzi wa UD kabla hajaleta polisi kumpiga mama mjamzito asiye na hatia yoyote.

Haya ni tofauti na yote uliyoongelea hapo juu.

Swali moja kwako, je ni halali kwa Mukandala kuingilia uchaguzi wa wanafunzi?
 

nina haraka si unajua hapa internet cafe na muda unaenda. Je unajua kuwa asilimia zaidi ya 50 ya watanzania hawana access ya umeme, na asilimia zaidi ya hiyo haina maji unayoyaita tape water? kitu gani maalum kwa hao wanafunzi walichonacho hadi kusema kuwa wenyewe ndio wana haki zaidi ya kuwa na maji ya bomba kuliko wantanzania wengine wowote?
 

Wanafunzi wa UD waligoma miaka ya 1990 kupinga mambo muhimu na kesho yake wananchi wa Dar es salaam (akiwemo mama yangu mzazi) wakaandamana kuwalaani wanafunzi na kutoa support kwa serikali ya Mwinyi.

Nipe mfano jambo moja tu ambalo wanafunzi waligoma na wakapata support ya wananchi. Juzi tu hapa wanafunzi waliandamana kupinga ufisadi na je walipata nini toka kwa wananchi mitaani?
 
Mawazo kama haya inabidi yawekwe kwenye manifesto ya CCM maana yanamfaa Makamba!

acha kuwajaza wafunzi ujinga, wewe ndio unachangia wale wanafunzi kufukuzwa chuo, ungewapa ushauri mzuri wenye kujenga. Na watakukumbuka maisha yao yote kama ikitokea wakakutwa na hatua kwa kusoma uliyokuwa unayaandika hapa kuwasisitiza waendelee kugoma.
 

Ni haki ya watanzania wote kuwa na mahitaji muhimu, Kama wananchi wengine wameridhika na hali ngumu hilo ni tatizo lao na sio sababu ya kuwafanya wanafunzi wakae kimya wakati serikali ikitumia mabilioni kulipa kampuni hewa!
 

Kweli kabisa YNIM,

wakati mwingine hata inashangaza kusoma mtu analaumu wanafunzi maelfu kuwa wameshindwa kupata kazi as if ni rahisi sana hapo Dar kupata kazi.

na hiyo mikopo yenyewe sijui amesahau kilichotokea kwenye mabilioni ya Kikwete
 

This is what I am talking about.

kama wanafunzi wasipodai pesa za kodi zitumike vizuri, wale wenye kuzipokea hizo pesa watazipeka Jersey na kufanya safari za kuzunguka dunia kwa vile pesa hazina matumizi
 
Out of point!
 
Ni haki ya watanzania wote kuwa na mahitaji muhimu, Kama wananchi wengine wameridhika na hali ngumu hilo ni tatizo lao na sio sababu ya kuwafanya wanafunzi wakae kimya wakati serikali ikitumia mabilioni kulipa kampuni hewa!

hao wanfunzi wana kila sababu ya kupigania kwa haki za wazazi wao ambao wengi wao hawajasoma. Ninachouliza kama kweli hao wanafunzi wanauchungu na ufisadi kwa nini wanakuwa selfish na kupigania hayo wanayoyaona ni shida hapo chuo (ambapo hawatakuwa hapo kwa zaidi ya miaka minne) na kwamba watakutana nayo kwa kipindi kilichobaki cha maisha yao huko mitaani. Kwa nini wasigome kwa kuishinikiza serikali kuboresha miundo mbinu yote vijijini badala ya kulipa kampuni hewa mabilioni ya pesa?
 

Kwa taarifa yako, viongozi wa wanafunzi wanakwenda DODOMA kila mwaka wakati wa bunge na kufikisha maoni ya wanafunzi wa wabunge na mawaziri.


Nadhani sasa unataka walimu na wanafunzi wa sekondari na msingi nao waungane kudai haki zao kama walimu wa UK ambao waligoma jana kudai ongezeko la mishahara.

Good advice toka kwa mtetezi wa ufisadi kama wewe.
 

Wanafunzi wanapigania kila kitu na hata hivi karibuni walitoa tamko kupinga ufisadi (ndio maana uongozi una chuki kubwa na Mtatiro ambaye ndiye alisaini tamko hili).

Wanafunzi wanadai haki na so far kuwapiga na mabomu sio suluhisho
 
Kama wewe ulizaliwa na kukulia mlimani na unaandika hii poor english basi unaabisha chuo chako. Kuna wengi waliosoma mlimani ambao wanaomba hata usiseme kuwa uliishi ubungo maana unaaibisha


ninakupinga kwa sababu tatu;

1. kusema kuwa amekulia mlimani ni sentensi tata ambayo wewe kama mchangiaji ulipaswa kuona kama likuwa mtoto wa mkazi ya maeneo hayo, whether ni mfanyakazi or the opposite, na alikuwa anaenda kusoma shule za nje kama mlimani primary school, hata shule za secondary kama makongo ila mienendo mizima ya wanachuo alikuwa anaiona.

2. pili inawezekana amesoma hata mlimani, UDSM, na kipimo cha elimu sio Lugha kama wewe unavyotaka tuamini

3. hata hivyo, inawezekana ni typing error, maana sijaona tatizo kama vile grammar n.k.

kwa hiyo hukupaswa kutoka kwenye mada kama kweli wewe ni makini na kuanza kudeal na vitu irrelevant ambavyo havina uhusiano na hili.

ningekuwa wewe ningemuomba radhi, ila ninajua huwezi maana sio mara yako ya kwanza kutumia alibacrum.
 
kama hiyo ni out of point, point iko wapi?

Soma vizuri utaiona.

Wewe unaonekana unapuuzia yote waliyofanya viongozi wa wanafunzi pale walipomshinikiza Kikwete kuwashughulikia mafisadi na vile walivyoshiriki kwenye kongamano la siku ya vijana na wakatoa matamko mbalimbali kuitaka serikali kushughulikia maswala ya watanzania.

Take time kuona kazi nzuri waliyofanya hawa ambao muuaji, dikiteta na fisadi Mukandala anawaita wavuta bangi.
 
 

Mwambie huyo maana kwake anadhani kuwa ni vyema serikali ikalipa makampuni hewa kama richmond na wenzake mabilioni kwa umeme usioonekana wakati sehemu muhimu za nchi hazina umeme.

kama watu wakawaida wameshindwa kuona hili (akiwemo mura) basi ni vizuri wanafunzi wa chuoni wakaonyesha njia hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…