Serikali yatimua wanafunzi UDSM

Serikali yatimua wanafunzi UDSM

Umeshasema ni mkopo, which means it will be paid back!

Demonstrations is their right, destruction and vandalism is not! If that is the case, then the whole nation should rise and destruct everything, refuse to engage in any dialogue and civil rampage and vandalism should take place until water and electricity supply are fixed!

Unaongelea matukio mawili tofauti hapa. Lile la miezi miwili iliyopita ambapo baadhi ya wanafunzi walifanya fujo na kuharibu majengo ili kupata maji na hili la sasa hivi ambalo wanafunzi wameandamana kwa amani kupinga suala la uongozi kuingilia haki yao ya kikatiba ya kuchagua viongozi wao.

If I recall, the Ugandan fella was kicked out due to eligibility. In addition, there is a division between students due to their political party affiliation.

Katiba ya uchaguzi wa DARUSO haisemi kuwa mgombea uraisi wa DARUSO lazima awe raia wa Tanzania peke yake.

Yes the arguments presented to me by YNIM and the overal outcry is based in immaturity and most likely delibarate movement to ignore proper protocals. Emotions are running on nitro and thus everyone has blinders and believe that "wanaonewa" sana. They were asked politelly to go back to their classes, they were asked to stand down, they refused and started creating a havoc! Now if our "intellectuals" are failing to have moral and ethical conduct to justify their "intellectual status", then how do you expect we are going to groom a nation of people who abide to the laws and behave in civil manners? Isn't that childish behaviour?

Una hakika na unachosema hapa? Haya yote hayakutokea kwenye hii issue ya msingi hapa inayoongelewa ambayo ni suala la Mukandala kuingilia uchaguzi huru wa wanafunzi wa chuo kikuu kabla ya kuleta FFU na kuwapiga wanafunzi waliokuwa wanaandamana kwa amani.

Ukitaka kuongelea ule mgomo uliopita ambao inasemekana kuwa kuna baadhi yao walivunja vitu basi sema kwa hakika lakini so far unachanganya vitu viwili hapa tofauti kabisaaaaaa.

Isn't that the reality now that we can not afford freebies any more? I can vauch for freebies for primary education and to some extent health care. We are trying to lump our anger on being underdeveloped due to efforts to create a welfare state, but now we have decided to drop the Ujamaa tunes, we are still struggling to admit that it is time we get real and act like the capitalists we pretend to be. In fact even in US, however affordable college education is, it is not free! Ndiyo maana kuna mikopo, scholarhips, na grants na kila wakishamaliza shule na degree zao, priority za kwanza na deni kubwa ni student loans.

Benki ngapi Tanzania ziko tayari kutoa mikopo kwa wanafunzi kusoma?

It is only in elementary and secondary education, where Americans have freedom to go to school for free. Also in special cases, once a proof has been established, a student from either poor family or special needs will receive scholarship and a grant. However it does not cover everything including toilet paper. Ndio maana kuna work studies na watu wanafanya kazi McDonalds.

Get your facts straight Rev!

Soma maoni ya Katabazi anavyozungumzia jinsi gani Marehemu Dito alikwenda Chuo Kikuu huku akifanya kazi ya uchuuzi sokoni! Why is it hard for Mwanafunzi wa Tanzania katika chuo kufanya kazi hata kama ni kuwa waiter pale UDASA club akapata tips, au kuwa utingo wa daladala? are those jobs beneath his or her social status of elitism and intellectualism?

Kati ya wanafunzi alfu thelathini wa UD, ni wangapi wanaweza kufanya kazi ya uwaiter hapo?

You are talking numbers? what is the capacity of first year entry seats at UDSM? How many students can not afford to pay upfront or obtain a loan to be repaid once they graduate and secure a job with their degree?

I think you are in good position to answer this one

There is a need to roll back responsibility to each and everyone. UDSM should be a place where fiscal responsibility is being taught by telling these kids they get mkopo and atashikwa shati akipata cheki ya kwanza ya mshahara. If we do not reform the attitudes and the thinking of these kids, guess what they will graduate with sense of being entitled and follow the foot steps of Chenge and Karamagi of not being responsible and they will continue to look for shortcuts to make ends meet!

Haya yote yanakubaliwa ila swala la kuingilia uchaguzi huru wa wanafunzi sidhani kama ni kazi ya serikali au uongozi wa chuo.

Yes there is a need to reform Bodi ya Mikopo and the whole philosophy of how Bodi ya Mikopo ya wanafunzi should work and criteria to be used. That is being reserved for anothe discussion.

Asante kwa kuona hili

There is a fight against the likes of Chenge, and we are becoming winners everyday. However if we do not rol back accountability and fiscal responsibility to our UDSM students, guess what, they will soon join rank and file of he Karamagi, Chenge and others.

Serikali yetu bado inatakiwa kugharimia elimu ya juu mpaka pale kutakuwa na namba ya wasomi ya kutosha nchini.

I would have expected these "intellectuals" would have come up with Azimio to demand Bodi ya Mikopo be reformed, I would have expect that this group of the so called elites would have come with better methods, scientific and quantitative to present their case to Mukandala and company so that they could not be perceived as whinners!

Wamefanya hili mara nyingi sana ila hujaliona wewe!

But strange childish behaviour has been demonstrated. Vandalism, physical fights, getting suspended, loosing time for a calculater and elevetor?

Hili tatizo la juzi halikutokea haya yote unayosema, hivi wewe umepata wapi hili?

Dada yangu, sometimes we have to set our emotions aside in the midst of our anger for reforms and be objective. The whole UDSM 2008 saga lost its directions and objectivity when whomever decided to storm residence of Mkuu wa Chuo. That was simply probable cause for UDSM administration to stop the dialogue and call on FFU!

No, the whole saga lost its direction when the killer Mukandala gat himself mixed into students' own issues

Lets fight intelligently, we will win, if we succumb to emotions and become subjective, the one who gets hurt is ourselves.

Intelligence calls for understanding! aint so?
 
PM, YNIM, Kimweri,

Miezi kadhaa tulikuwa na majadiliano kuhusiana na UDSM. Mushobozi, Fundi Mchundo, Bin Maryam, Bi. Mkubwa, Kitila na wengine walikuwa ni washiriki. Tulizungumzia suala la shida ya maji na umeme.

Niliuliza, hapa chuo kikuu, tuna kitivo cha Uhandisi, kuna watu wa geology, chuo cha maji ni jirani kwenye lile geti kuelekea ubungo na pia kuna chuo cha ardhi.

NIkauliza, je Chuo kizima, Utawala, Waalimu na Wananfunzi, wanasubiri nini kutumia nafasi hii ya shida hizi kutumia elimu zao na maarifa kuunda miundo mbinu kukipa Chuo na maeneo jirani maji na umeme wa kutosha.

Kuna jibu moja lilikuja likisema eti UDSM si research university. Nikauliza wanafunzi wa uhandisi, si watanufaika sana wakitumia muda kama work study au project na hata kuomba fungu kufanya project ya kujenga vijima vya maji, pampu za maji na hata miundombinu mipya ya umeme kama umeme wa Jua?

Majibu yakaja kuwa that is not responsibility ya UDSM, ni jukumu la Serikali.

Sasa nawaulizeni tena, kazi ya kwenda Chuo Kikuu ni nini? ni kufaulu mitihani na kuvishwa kofia yenye pande nne au ni kuboresha maarifa na kuwa wabunifu?

Njoo kwenye madai ya kukiukwa kanuni au sheria. Si tuna kitivo cha sheria, na wanafunzi wanajifunza sheria, na kama sikosei hata inawezekana kuna masomo kuhusu haki za watu. Je ni utaalamu gani uliotumika kutoka kwa wanafunzi hawa wa taaluma mbalimbali kuhakikisha kuwa wanatumia nafasi zao na rasilimali bure walizonazo kuleta msukumo wa mabadiliko au kushinikiza Serikali ya Chuo na Serikali kuu zifanye kazi zo kwa umakini?

Je si sahihi kusema "Akili tunazo, lakini tumezikalia"?

Wengine wenu mmewakebehi walivyokimbilia fulana za rangi ya chama na kumba CCM walipokusanywa kwenda Diamond Jubilee kukutana na MWenyekiti wa CCM na Rais wa nchi, kwa nini Risala yao haikuwa na kauli mbiu yenye kutaka ufuatiliaji wa matatizo yao yatimilike? je Daruso wameshafanya jitihada kwenda Wizara Mama au hata kumuona Rais/Waziri Mkuu/Spika/Jaji Mkuu kuongea nao na kusema tuna taka muongozo na tunataka haya yafanyike ili tuweze kuwa na maisha ahueni tuweze elimika bila shida?

Najiuliza tena, hivi hawa wanafunzi hawana counselors katika waalimu wao ambao watawapa ushauri?

Nyinyi mmeyasikia kutoka kwa wanafunzi, mimi nimeyasikia kutoka kwa both wafanyakazi wa chuo na wanafunzi. Ndio maana nimekaripia utoto!

Ukichunguza mgomo, umesababishwa na watu 15 ambao walisimamishwa kwa ajili ya utovu wa nidhamu na kukutwa na madawa (bangi). Umoja wa siafu ukasema hapana hawastahili kusimamishwa Shule. Vurugu zimesababishwa 300 kupoteza scholarhip, 39 kufunguliwa mashitaka yanayoweza kuwa ni ya jinai, na haya yote yamesababisha karibu wanafunzi 14500 kushindwa kuendelea na masomo na kumaliza mhula na mwaka wa shule.

Is there any logic or sense on any of their action that led to this irrational and childish behaviour?
 
acheni kudanganya watu, yaani UD haina hata hadhi ya middle school? middle school gani za tanzania unazozungumzia. Umefika vijiji vya mkoa wa Mara? barabara ni shida, itamchukua mama mjamzito muda wa masaa zaidi ya mawili kwenda kutafuta maji! si afadhali hata nyie hapo kwenu yanatoka mara kadhaa! kwa nini msinunue ndoo nyingi kama wafanyavyo wakazi wa tabata ambao maji yaweza yatoke hata kwa muda wa miezi mitatu.

Nyie wanafunzi kufika hapo chuo ndio isiwe sababu ya kusahau kule mlipooka. Ningewaunga mkono kama mngegoma ili mama zenu kule kijijini wapate umeme na maji waache kuhangaika kutafuta pesa ya mafuta ya taa, ingalau kule vijijini wapate barabara nzuri ili wapate kusafirisha mazao yao wapate lau pesa ya sabuni.

Je wewe umesoma kwa shule ya St Mary au St Kayumba? Kama unasoma St Mary ujue mzazi wako alifanya ufisadi ndio akaweza kukulipia ada millioni mbili kwa mwaka wacha pocket money anayokupa. Kwa aliyesoma St Kayumba naona na alivumilia kula ugali na maharage mabobu na kunywa uji usio na sukari kwa miaka miwili au zaidi, nakwenda kuchota maji ya kupikia na kusafisha choo nadhani haya anaweza kuyavumilia.

Tafuteni haki kwanza haki ya kuboresha maisha vijijini then ndo mtake haki ya kuboresha mazingira hapo UD. Upigeni vita ufisadi then na sie wanakijiji tutawaona kuwa nyie ni wakombozi wetu na umuhimu wenu tutauona na tutawaunga mkono kuoigania kuboresha miundo mbinu hapo chuo.

Mawazo kama haya inabidi yawekwe kwenye manifesto ya CCM maana yanamfaa Makamba!
 
August,

Asante sana kwa kudokeza hili. Kuna watu wanataka kabisa kufanya hawa vijana waonekane hamnazo bila sababu ya msingi. Hawa vijana wana madai mazuri na so far angalau wanasimamia haki zao.

Hii ni fight ngumu na hapa huu ni mtihani mwingine kwa Kikwete kuonesha kama anajali masilahi ya watanzania.

Jiulize swali moja tu, mafisadi wanaiba mabilioni, serikali inachukua miaka na miaka kufanya uchunguzi hata pale vitu kama Richmond vinapoonekana wazi kabisa.

Wanafunzi wanatuhumiwa kufanya fujo, inachukua masaa machache tu kuwafahamu na kuwakamata na kisha kuwafikisha mahakamani bila hata ya kusubiri uchunguzi ufanyike.

Swali,

je Tanzania ina double standards kwenye legal proceedings?

UTASUBIRI NINI WAKATI WATU TAYARI WAMEFUNGIWA KWENYE LIBRARY, MADARASANI NA HATA KUPIGWA ETI KWA SABABU HAWAKUBALIANI NAO?

TANZANIA DAIMA YA LEO IMEMKWOTI SHIVJI AKIWASHAURI WANAFUNZI KUWA INABIDI KUJIFUNZA KUGOMA KWA MAMBO AMBAYO WATAPATA SUPPORT KUTOKA KWA WANANCHI.( nadhani alitaka kusema sio kupata support kutoka kwa akina Mwafrika wa kike maana watawapoteza. emphasis is mine)
 
PM, YNIM, Kimweri,

Miezi kadhaa tulikuwa na majadiliano kuhusiana na UDSM. Mushobozi, Fundi Mchundo, Bin Maryam, Bi. Mkubwa, Kitila na wengine walikuwa ni washiriki. Tulizungumzia suala la shida ya maji na umeme.

Niliuliza, hapa chuo kikuu, tuna kitivo cha Uhandisi, kuna watu wa geology, chuo cha maji ni jirani kwenye lile geti kuelekea ubungo na pia kuna chuo cha ardhi.

NIkauliza, je Chuo kizima, Utawala, Waalimu na Wananfunzi, wanasubiri nini kutumia nafasi hii ya shida hizi kutumia elimu zao na maarifa kuunda miundo mbinu kukipa Chuo na maeneo jirani maji na umeme wa kutosha.

Kuna jibu moja lilikuja likisema eti UDSM si research university. Nikauliza wanafunzi wa uhandisi, si watanufaika sana wakitumia muda kama work study au project na hata kuomba fungu kufanya project ya kujenga vijima vya maji, pampu za maji na hata miundombinu mipya ya umeme kama umeme wa Jua?

Majibu yakaja kuwa that is not responsibility ya UDSM, ni jukumu la Serikali.

Sasa nawaulizeni tena, kazi ya kwenda Chuo Kikuu ni nini? ni kufaulu mitihani na kuvishwa kofia yenye pande nne au ni kuboresha maarifa na kuwa wabunifu?

Njoo kwenye madai ya kukiukwa kanuni au sheria. Si tuna kitivo cha sheria, na wanafunzi wanajifunza sheria, na kama sikosei hata inawezekana kuna masomo kuhusu haki za watu. Je ni utaalamu gani uliotumika kutoka kwa wanafunzi hawa wa taaluma mbalimbali kuhakikisha kuwa wanatumia nafasi zao na rasilimali bure walizonazo kuleta msukumo wa mabadiliko au kushinikiza Serikali ya Chuo na Serikali kuu zifanye kazi zo kwa umakini?

Je si sahihi kusema "Akili tunazo, lakini tumezikalia"?

Wengine wenu mmewakebehi walivyokimbilia fulana za rangi ya chama na kumba CCM walipokusanywa kwenda Diamond Jubilee kukutana na MWenyekiti wa CCM na Rais wa nchi, kwa nini Risala yao haikuwa na kauli mbiu yenye kutaka ufuatiliaji wa matatizo yao yatimilike? je Daruso wameshafanya jitihada kwenda Wizara Mama au hata kumuona Rais/Waziri Mkuu/Spika/Jaji Mkuu kuongea nao na kusema tuna taka muongozo na tunataka haya yafanyike ili tuweze kuwa na maisha ahueni tuweze elimika bila shida?

Najiuliza tena, hivi hawa wanafunzi hawana counselors katika waalimu wao ambao watawapa ushauri?

Nyinyi mmeyasikia kutoka kwa wanafunzi, mimi nimeyasikia kutoka kwa both wafanyakazi wa chuo na wanafunzi. Ndio maana nimekaripia utoto!

Ukichunguza mgomo, umesababishwa na watu 15 ambao walisimamishwa kwa ajili ya utovu wa nidhamu na kukutwa na madawa (bangi). Umoja wa siafu ukasema hapana hawastahili kusimamishwa Shule. Vurugu zimesababishwa 300 kupoteza scholarhip, 39 kufunguliwa mashitaka yanayoweza kuwa ni ya jinai, na haya yote yamesababisha karibu wanafunzi 14500 kushindwa kuendelea na masomo na kumaliza mhula na mwaka wa shule.

Is there any logic or sense on any of their action that led to this irrational and childish behaviour?

REV,

Issue ya msingi hapa ni suala la Mkandala kuingilia uchaguzi huru wa wanafunzi wa UD kabla hajaleta polisi kumpiga mama mjamzito asiye na hatia yoyote.

Haya ni tofauti na yote uliyoongelea hapo juu.

Swali moja kwako, je ni halali kwa Mukandala kuingilia uchaguzi wa wanafunzi?
 
we chakubanga mie sio mwanafunzi,and yeah i wasn't talking about tanzanians MIDDLE schools,ayt??

soma vizuri,na kama una haraka sana dont comment.au una haraka sana??

hao wanafunzi hawapo hapo walipo kwa kuwa they dont deserve it.they do,that is almost 15 years of giving up for simple luxuries.so at least they deserve that tape water!!for your information tape water and electricity ain't laisures BUT your corrupt leaders are making you 2 belive that.
no wonder electricity is still luxury in TZ because chengez and lowasaz are offshoring cash for buying proper equipments needed to bring electricity.

wake up!!

nina haraka si unajua hapa internet cafe na muda unaenda. Je unajua kuwa asilimia zaidi ya 50 ya watanzania hawana access ya umeme, na asilimia zaidi ya hiyo haina maji unayoyaita tape water? kitu gani maalum kwa hao wanafunzi walichonacho hadi kusema kuwa wenyewe ndio wana haki zaidi ya kuwa na maji ya bomba kuliko wantanzania wengine wowote?
 
UTASUBIRI NINI WAKATI WATU TAYARI WAMEFUNGIWA KWENYE LIBRARY, MADARASANI NA HATA KUPIGWA ETI KWA SABABU HAWAKUBALIANI NAO?

TANZANIA DAIMA YA LEO IMEMKWOTI SHIVJI AKIWASHAURI WANAFUNZI KUWA INABIDI KUJIFUNZA KUGOMA KWA MAMBO AMBAYO WATAPATA SUPPORT KUTOKA KWA WANANCHI.( nadhani alitaka kusema sio kupata support kutoka kwa akina Mwafrika wa kike maana watawapoteza. emphasis is mine)

Wanafunzi wa UD waligoma miaka ya 1990 kupinga mambo muhimu na kesho yake wananchi wa Dar es salaam (akiwemo mama yangu mzazi) wakaandamana kuwalaani wanafunzi na kutoa support kwa serikali ya Mwinyi.

Nipe mfano jambo moja tu ambalo wanafunzi waligoma na wakapata support ya wananchi. Juzi tu hapa wanafunzi waliandamana kupinga ufisadi na je walipata nini toka kwa wananchi mitaani?
 
Mawazo kama haya inabidi yawekwe kwenye manifesto ya CCM maana yanamfaa Makamba!

acha kuwajaza wafunzi ujinga, wewe ndio unachangia wale wanafunzi kufukuzwa chuo, ungewapa ushauri mzuri wenye kujenga. Na watakukumbuka maisha yao yote kama ikitokea wakakutwa na hatua kwa kusoma uliyokuwa unayaandika hapa kuwasisitiza waendelee kugoma.
 
nina haraka si unajua hapa internet cafe na muda unaenda. Je unajua kuwa asilimia zaidi ya 50 ya watanzania hawana access ya umeme, na asilimia zaidi ya hiyo haina maji unayoyaita tape water? kitu gani maalum kwa hao wanafunzi walichonacho hadi kusema kuwa wenyewe ndio wana haki zaidi ya kuwa na maji ya bomba kuliko wantanzania wengine wowote?

Ni haki ya watanzania wote kuwa na mahitaji muhimu, Kama wananchi wengine wameridhika na hali ngumu hilo ni tatizo lao na sio sababu ya kuwafanya wanafunzi wakae kimya wakati serikali ikitumia mabilioni kulipa kampuni hewa!
 
...Rev. K anajisahau sana! hivi per capita ya bongo si ni $700/year sasa hizo pesa za kulipia shule wakina 'regular joes' watazipata wapi?
unemployment ni percent ngapi hapo bongo? sasa hizo kazi za kufanya wanafunzi ili kulipia baadhi ya gharama za masomo zitatoka wapi? umekaa sana hapa USA, kiasi kwamba unaanza kuleta kufuru..ebu temea mate pembeni mkuu!
mentality ya ndio hali halisi lazima imekome na imekome now..

Kweli kabisa YNIM,

wakati mwingine hata inashangaza kusoma mtu analaumu wanafunzi maelfu kuwa wameshindwa kupata kazi as if ni rahisi sana hapo Dar kupata kazi.

na hiyo mikopo yenyewe sijui amesahau kilichotokea kwenye mabilioni ya Kikwete
 
kishoka bwana....maneno miiingi, halafu unaongea kama upo kwenye mars!! mzee tunaongelea bongo, ambako unemployment ipo kwenye roof!! hizo McD zipo ngapi? kuwa utingo unafikiri ni virahisi?
kuna points nzuri umetoa, lakini kiujumla una simplify hii issue kupita kiasi.....hivi unajua bei ya scientific calculator pale bongo? je katika boom na mikopo mingine wanaweka na mahesabu ya calculator?.....wewe unaongelea vitu ideal wakati sie tunaongelea vitu real! baadhi ya proposals zako ni totally impossible ktk tanzania ya leo.

vijisenti vya Chenge pale Jersey ni nuff, kununua calculators na kufix elevators zote pale UDSM......hivi ni chepi hasa ambacho ni kigumu?

This is what I am talking about.

kama wanafunzi wasipodai pesa za kodi zitumike vizuri, wale wenye kuzipokea hizo pesa watazipeka Jersey na kufanya safari za kuzunguka dunia kwa vile pesa hazina matumizi
 
Wanafunzi wa chuo hapo ndio wanajifanya kama vile baada ya kupata admission wamekuwa wazungu! piganieni maisha bora kwa kila mtanzania. Kama mnajua kuwa hao mafisadi ndio wanaofanya maisha yenu yakuwa magumu, kwa nini msiandamane kuelekea bungeni wakati kikao kilikuwa kinaendelea muwaeleze wabunge waongeze fungu kwenye bajeti.

Je unajua kwamba kuna shule za msingi na sekondari hazina vitabu na kuna baadhi zina mwalimu mmoja na huyo mwalimu ndio anafundisha masomo yote? na huyo mwalimu akisafiri kwenda kufuatilia mshahara wake kiranja mkuu ndio anachukua jukumu la ualimu ha kwa zaidi ya wiki moja? tujadili haya kwani ni nyie wanafunzi mnaomaliza kwenye vyuo mkipangiwa kazi vijijini hamtaki kwenda kisa maisha magumu, sasa nani atayafanya mazuri msipoyapigania?
Out of point!
 
Ni haki ya watanzania wote kuwa na mahitaji muhimu, Kama wananchi wengine wameridhika na hali ngumu hilo ni tatizo lao na sio sababu ya kuwafanya wanafunzi wakae kimya wakati serikali ikitumia mabilioni kulipa kampuni hewa!

hao wanfunzi wana kila sababu ya kupigania kwa haki za wazazi wao ambao wengi wao hawajasoma. Ninachouliza kama kweli hao wanafunzi wanauchungu na ufisadi kwa nini wanakuwa selfish na kupigania hayo wanayoyaona ni shida hapo chuo (ambapo hawatakuwa hapo kwa zaidi ya miaka minne) na kwamba watakutana nayo kwa kipindi kilichobaki cha maisha yao huko mitaani. Kwa nini wasigome kwa kuishinikiza serikali kuboresha miundo mbinu yote vijijini badala ya kulipa kampuni hewa mabilioni ya pesa?
 
Wanafunzi wa chuo hapo ndio wanajifanya kama vile baada ya kupata admission wamekuwa wazungu! piganieni maisha bora kwa kila mtanzania. Kama mnajua kuwa hao mafisadi ndio wanaofanya maisha yenu yakuwa magumu, kwa nini msiandamane kuelekea bungeni wakati kikao kilikuwa kinaendelea muwaeleze wabunge waongeze fungu kwenye bajeti.

Kwa taarifa yako, viongozi wa wanafunzi wanakwenda DODOMA kila mwaka wakati wa bunge na kufikisha maoni ya wanafunzi wa wabunge na mawaziri.

Je unajua kwamba kuna shule za msingi na sekondari hazina vitabu na kuna baadhi zina mwalimu mmoja na huyo mwalimu ndio anafundisha masomo yote? na huyo mwalimu akisafiri kwenda kufuatilia mshahara wake kiranja mkuu ndio anachukua jukumu la ualimu ha kwa zaidi ya wiki moja? tujadili haya kwani ni nyie wanafunzi mnaomaliza kwenye vyuo mkipangiwa kazi vijijini hamtaki kwenda kisa maisha magumu, sasa nani atayafanya mazuri msipoyapigania?

Nadhani sasa unataka walimu na wanafunzi wa sekondari na msingi nao waungane kudai haki zao kama walimu wa UK ambao waligoma jana kudai ongezeko la mishahara.

Good advice toka kwa mtetezi wa ufisadi kama wewe.
 
hao wanfunzi wana kila sababu ya kupigania kwa haki za wazazi wao ambao wengi wao hawajasoma. Ninachouliza kama kweli hao wanafunzi wanauchungu na ufisadi kwa nini wanakuwa selfish na kupigania hayo wanayoyaona ni shida hapo chuo (ambapo hawatakuwa hapo kwa zaidi ya miaka minne) na kwamba watakutana nayo kwa kipindi kilichobaki cha maisha yao huko mitaani. Kwa nini wasigome kwa kuishinikiza serikali kuboresha miundo mbinu yote vijijini badala ya kulipa kampuni hewa mabilioni ya pesa?

Wanafunzi wanapigania kila kitu na hata hivi karibuni walitoa tamko kupinga ufisadi (ndio maana uongozi una chuki kubwa na Mtatiro ambaye ndiye alisaini tamko hili).

Wanafunzi wanadai haki na so far kuwapiga na mabomu sio suluhisho
 
Kama wewe ulizaliwa na kukulia mlimani na unaandika hii poor english basi unaabisha chuo chako. Kuna wengi waliosoma mlimani ambao wanaomba hata usiseme kuwa uliishi ubungo maana unaaibisha

ninakupinga kwa sababu tatu;

1. kusema kuwa amekulia mlimani ni sentensi tata ambayo wewe kama mchangiaji ulipaswa kuona kama likuwa mtoto wa mkazi ya maeneo hayo, whether ni mfanyakazi or the opposite, na alikuwa anaenda kusoma shule za nje kama mlimani primary school, hata shule za secondary kama makongo ila mienendo mizima ya wanachuo alikuwa anaiona.

2. pili inawezekana amesoma hata mlimani, UDSM, na kipimo cha elimu sio Lugha kama wewe unavyotaka tuamini

3. hata hivyo, inawezekana ni typing error, maana sijaona tatizo kama vile grammar n.k.

kwa hiyo hukupaswa kutoka kwenye mada kama kweli wewe ni makini na kuanza kudeal na vitu irrelevant ambavyo havina uhusiano na hili.

ningekuwa wewe ningemuomba radhi, ila ninajua huwezi maana sio mara yako ya kwanza kutumia alibacrum.
 
kama hiyo ni out of point, point iko wapi?

Soma vizuri utaiona.

Wewe unaonekana unapuuzia yote waliyofanya viongozi wa wanafunzi pale walipomshinikiza Kikwete kuwashughulikia mafisadi na vile walivyoshiriki kwenye kongamano la siku ya vijana na wakatoa matamko mbalimbali kuitaka serikali kushughulikia maswala ya watanzania.

Take time kuona kazi nzuri waliyofanya hawa ambao muuaji, dikiteta na fisadi Mukandala anawaita wavuta bangi.
 
Wanafunzi wa chuo hapo ndio wanajifanya kama vile baada ya kupata admission wamekuwa wazungu! piganieni maisha bora kwa kila mtanzania. Kama mnajua kuwa hao mafisadi ndio wanaofanya maisha yenu yakuwa magumu, kwa nini msiandamane kuelekea bungeni wakati kikao kilikuwa kinaendelea muwaeleze wabunge waongeze fungu kwenye bajeti.
Kwa taarifa yako, viongozi wa wanafunzi wanakwenda DODOMA kila mwaka wakati wa bunge na kufikisha maoni ya wanafunzi wa wabunge na mawaziri.

Nadhani sasa unataka walimu na wanafunzi wa sekondari na msingi nao waungane kudai haki zao kama walimu wa UK ambao waligoma jana kudai ongezeko la mishahara.

Good advice toka kwa mtetezi wa ufisadi kama wewe.

acha kuwawajaza jazba vijana wa chuo, waelekeza, watu kama nyie ni hatari sana kwa jamii kama mkiendelea na mwelekeo huu. Nilikusifu sana katika kuupigia kelele ufisadi na sio siri katika watu walionivutia nikajiunga na huu ukumbi ni wewe. Lakini nimesikitishwa na kauli zako katika hili. Najua hapa lazima utanitukana au kunipiga kibao lakini habari ndio hiyo. Umeandika ushauri ambao wanafunzi waliouchukua na kuufanyia kazi watajuta katika maisha yao kama ikitokea wafukuzwa chuo, au wakatakiwa kudahiliwa upya.

BTW mie sio mtetezi wa mafisadi kwani najua mwenyewe ni jinsi gani mafisadi wameniathiri na hali yangu ya maisha naijua mwenyewe. Siwapendi na siwataki mafisadi.

Kwa nini hao vijana wa chuo huwa hawagomi bunge lisipofanyia kazi matatizo yao?
 
we chakubanga mie sio mwanafunzi,and yeah i wasn't talking about tanzanians MIDDLE schools,ayt??

soma vizuri,na kama una haraka sana dont comment.au una haraka sana??

hao wanafunzi hawapo hapo walipo kwa kuwa they dont deserve it.they do,that is almost 15 years of giving up for simple luxuries.so at least they deserve that tap water!!for your information tape water and electricity ain't laisures BUT your corrupt leaders are making you 2 belive that.
no wonder electricity is still luxury in TZ because chengez and lowasaz are offshoring cash for buying proper equipments needed to bring electricity.

wake up!!

Mwambie huyo maana kwake anadhani kuwa ni vyema serikali ikalipa makampuni hewa kama richmond na wenzake mabilioni kwa umeme usioonekana wakati sehemu muhimu za nchi hazina umeme.

kama watu wakawaida wameshindwa kuona hili (akiwemo mura) basi ni vizuri wanafunzi wa chuoni wakaonyesha njia hapa.
 
Back
Top Bottom