Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

Habari za Uhakika kutoka TAMISEMI zinasema kuwa Serikali kuu imetoa kibali cha Ajira Mpya za Walimu mwaka 2014.Taarifa zaidi zinaeleza kwamba Halmashauri zimeombwa kuanza maandalizi ya Kupokea Walimu wapya kuanzia tarehe 10 March.Majina ya Walimu wapya yatatolewa tarehe 26 February na tarehe ya kuripoti ni 10/03/2014-19/03/2014.Source Afisa Tamisemi.

wewe mbulura ajira ziko wapi na leo ni tar 26 mpaka saa hizi hakuna cha ajira wala mtoto wa ajira achaga ujinga kupost vitu usivyo kuwa na uhakika unaye post kwa akili za viroba wewe, weka post za kisomi siyo kuleta ujinga
 
tar 26 si ndio hii jamani. mbna empty hamna ki2. mda mwingne tuwe tunatumia akili kidogo tu na sio kuamin kila k2 unachoskia na kukileta hapa.
 
Habari za Uhakika kutoka TAMISEMI zinasema kuwa Serikali kuu imetoa kibali cha Ajira Mpya za Walimu mwaka 2014.Taarifa zaidi zinaeleza kwamba Halmashauri zimeombwa kuanza maandalizi ya Kupokea Walimu wapya kuanzia tarehe 10 March.Majina ya Walimu wapya yatatolewa tarehe 26 February na tarehe ya kuripoti ni 10/03/2014-19/03/2014.Source Afisa Tamisemi.

Mods Kanuni na Sheria zizingatiwe. Natanguliza shukrani nikiamini haki itatendeka.
 
Mleta uzi, hembu njoo utuambie leo ni tarehe ngapi? Mbona chimya? ALIE KWAMBIA LABDA NI MFAGIAJI WA OFISI WALA SI OFISA.
 
unakera sana kwa kuandika kitu usicho kijua hata wewe mwenye baada ya kuwashauli walimu watafute miradi mingine kutokana na ajira hazionekani, unakaa na kuposti vitu usivyokuwa na uhakika navyo

Ndugu nimepost vitu gani visivyo na uhakika?
 
Jamani tusimuhukumu sana jamaa tar 26 bado haijaisha labda huyo ndugu yake atakuja kutangaza saa 5:59 usiku.
 
Habari za Uhakika kutoka TAMISEMI zinasema kuwa Serikali kuu imetoa kibali cha Ajira Mpya za Walimu mwaka 2014.Taarifa zaidi zinaeleza kwamba Halmashauri zimeombwa kuanza maandalizi ya Kupokea Walimu wapya kuanzia tarehe 10 March.Majina ya Walimu wapya yatatolewa tarehe 26 February na tarehe ya kuripoti ni 10/03/2014-19/03/2014.Source Afisa Tamisemi.
Wew mwalimu au Fara mshenzi kabisa ww,
Ajira za wadogo zangu ziko wapi sasa ?
Chunga domo lako hilo linanuka ------ wewe
 
Mwezi wa pili ndo huo umeisha mwezi ujao tar kama hii cjui itakuwa ni story ya Ajira kua zinatoka ln itakuwa inaendelea we Mungu saidia hili nalo lipite
 
namngoja mheshimiwa alietaarifu walimu wapya kuajiriwa february 26...ikipita hapo ctokaa nisikilize tena tetesi nitangoja mpaka pale yatakapotimia kwel...maana tetesi zilikuepo tokea september mwaka jana.......

kama mtu huna hoja kuleta kwa jamii kaa tu,siyo kuleta ujinga wako wa kuwapa presha watu, ajira ziko wapi na leo tar 26 feb ,wewe ni mp..mbaf.. Tu,jinga sana
 
Back
Top Bottom