Habari za Uhakika kutoka TAMISEMI zinasema kuwa Serikali kuu imetoa kibali cha Ajira Mpya za Walimu mwaka 2014.Taarifa zaidi zinaeleza kwamba Halmashauri zimeombwa kuanza maandalizi ya Kupokea Walimu wapya kuanzia tarehe 10 March.Majina ya Walimu wapya yatatolewa tarehe 26 February na tarehe ya kuripoti ni 10/03/2014-19/03/2014.Source Afisa Tamisemi.
wewe mbulura ajira ziko wapi na leo ni tar 26 mpaka saa hizi hakuna cha ajira wala mtoto wa ajira achaga ujinga kupost vitu usivyo kuwa na uhakika unaye post kwa akili za viroba wewe, weka post za kisomi siyo kuleta ujinga