Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada yuko juu kama kuku, coz leo tar 27 alfajir 2mepata matumain na hv nimeshka gazet la UHURU ukurasa wa mbeleeee
wewe tena.. vipi ile ya ajira kusitishwa? naona umerudi njia kuu,, acha michepuko.
Mtabiri hakuwa mbali sana na utabiri wake mana zimetangazwa Leo tar 27 kwenye vyombo vya habari mfano gazeti la uhuru
-------.... Ualimu ni umasikini , ualimu ni ishara ya mliofeli.
Kutangazwa sio inshu coz zilishwa tangazwa mwanzo 26000 swala ni kwamba mnaweza kuendelea kusuburi
Kuna kitu mimi nashindwa kuelewa. Hivi watu hawapati division one wakaenda kusomea taaluma ya ualimu university? Nina wasiwasi na akili yako. Utakuwa unaishi kwenye jaa la taka. Halafu mnaosema waalimu ni maskini sijui kama kuna maskini anayepokea mshahara mwisho wa mwezi. Hihi wewe na mwalimu mkienda bank kuchukuwa mkopo, je unajua mwalimu inamchukuwa masaa na wewe mamiezi? Tuliza akili ujipe shughuli.
na iwe hivyo kwa jina yesu coz kitaa nacheza offside kama chacharitto soon napewa red card
Hivi jamani hii taarifa ya ajira imetolewa na nani?
Hivi jamani hii taarifa ya ajira imetolewa na nani?
ndugu Jampa alichokiongea dady1000 ni UKWELI mtupu lakini kosa lake kakosea kabisa mahala pa kuweka, kuna baadhi ya ajira ambazo ukiajiriwa ni UTUMWA lakini sio UALIMU, AFYA na ULINZI/USALAMA sekta hizi ni muhimu zaidi na hata iweje watu wa fani hizi wanahitajika zaidi na zaidi na zaidi, muulize bila hao WALIMU huo ufanisi wa UJASIRIAMALI angeupata wapi?..me mwenyewe pamoja na ELIMU yangu ya juu lakini ni MJASIRIAMALI na nazitengeneza mno ila UJASIRIAMALI nalifundishwa na MWALIMU tena aliyekuwa bado hajamaliza mafunzo yake ya ualimu wakati huo..
N.B: ndugu dady1000 anahitaji mwalimu kwani hajui uhasibu yeye anajua uwasibu, afu mshahara wa hao wafanayakazi wake atawalipa 45000, moja ya kumi ya ule wa ualimu nadhani hapa kadanaganya umma. Na aombe msamaha tafadhari vinginevyo kajitusi mwenyewe.