Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

DAH ila mi naona hili gazeti la UHURU limekaa kisiasa saana...Hizi zisije zikawa ni propaganda za CCM ili kutusahaulisha watanzania habari za kujadili mambo ya msingi kuhusu MATOKEO ya kidato cha NNE pamoja na MCHAKATO WA KATIBA!!!!
 
Mtoa mada yuko juu kama kuku, coz leo tar 27 alfajir 2mepata matumain na hv nimeshka gazet la UHURU ukurasa wa mbeleeee
 
wewe tena.. vipi ile ya ajira kusitishwa? naona umerudi njia kuu,, acha michepuko.

Kitu cha kwanza unatakiwa kujua serikali hii ya tz haina uelekeo mzuri kiutekelezaji kwa hivyo kunihukumu kwa kutoa taarifa ile utakosea sababu ni taarira ilikuwa sahihi endapo hazina wasinge fikia uamuzi wa kutoa fedha ,hayo yalikuwas mapendekezo ya awali endapo budget isinge ongezwa sababu kama ni tetesi zilianza tangu sept 2013 na baadae octoba 2013 kutoka kwa rais kwa hivyo si jamabo la ajabu maamuzi yakabatilishwa usiku halafu asubuhi ukatolewa mfumo mpya ,,kwa tanzania yetu hii hilo linawezekana kabisa.
 
Mtabiri hakuwa mbali sana na utabiri wake mana zimetangazwa Leo tar 27 kwenye vyombo vya habari mfano gazeti la uhuru

Kutangazwa sio inshu coz zilishwa tangazwa mwanzo 26000 swala ni kwamba mnaweza kuendelea kusuburi
 
-------.... Ualimu ni umasikini , ualimu ni ishara ya mliofeli.

Kuna kitu mimi nashindwa kuelewa. Hivi watu hawapati division one wakaenda kusomea taaluma ya ualimu university? Nina wasiwasi na akili yako. Utakuwa unaishi kwenye jaa la taka. Halafu mnaosema waalimu ni maskini sijui kama kuna maskini anayepokea mshahara mwisho wa mwezi. Hihi wewe na mwalimu mkienda bank kuchukuwa mkopo, je unajua mwalimu inamchukuwa masaa na wewe mamiezi? Tuliza akili ujipe shughuli.
 
wadau hivi hii mala ya ngapi watumishi wa wizara husika wametoa matamko na hayajazaaa matunda, tunaanza na mh alisema ajira ni january, haya akaja mwimgine akasema ni february mwazoni haya leo tena wanawambia wanetu ajira ni mwezi march bila kusema tarehe ni lini ebu acheni uhuni nyie wizara ya utumishi kuwezi wawazi nasema hizi ni polisi story yani ukweli haujulikani ni maneno maneno tu mpaka wazazi tumechoka sasa maana wanetu wanasikitika mpaka tunawaonea huruma poleni vijana wetu mungu atawasaidia waswahili wana sema mchawi akikuloga hazuii riziki yako bali anaichelewesha tu so kama ipo ipo tu wanetu msife moyo.
 
Kuna kitu mimi nashindwa kuelewa. Hivi watu hawapati division one wakaenda kusomea taaluma ya ualimu university? Nina wasiwasi na akili yako. Utakuwa unaishi kwenye jaa la taka. Halafu mnaosema waalimu ni maskini sijui kama kuna maskini anayepokea mshahara mwisho wa mwezi. Hihi wewe na mwalimu mkienda bank kuchukuwa mkopo, je unajua mwalimu inamchukuwa masaa na wewe mamiezi? Tuliza akili ujipe shughuli.

Watu kama hao wenye kuzarau fani za watu ndio unakuta hawana mbele wala nyuma hata hiyo form four wanaiskia tu.
 
Hivi jamani hii taarifa ya ajira imetolewa na nani?

imetolewas na kasimu majaliwa lakini cha kushangaza imetolewa kimya kimya kwenye gazeti la uhuru pekee kitu ambacho kinaleta... ????????? Kama sio funika kombe mwanaharau apite sijui kwa kwakweli,
 
Hivi jamani hii taarifa ya ajira imetolewa na nani?

imetolewa na kasimu majaliwa lakini cha kushangaza imetolewa kimya kimya kwenye gazeti la uhuru pekee kitu ambacho kinaleta... ????????? Kama sio funika kombe mwanaharau apite sijui kwa kwakweli,
 
Dah waalim mnachekesha sana na hizo ajira, labda mkafundishe twishen ndo mtatoka. Other wise bora ata ufungue kibanda cha vocha!
 
ndugu Jampa alichokiongea dady1000 ni UKWELI mtupu lakini kosa lake kakosea kabisa mahala pa kuweka, kuna baadhi ya ajira ambazo ukiajiriwa ni UTUMWA lakini sio UALIMU, AFYA na ULINZI/USALAMA sekta hizi ni muhimu zaidi na hata iweje watu wa fani hizi wanahitajika zaidi na zaidi na zaidi, muulize bila hao WALIMU huo ufanisi wa UJASIRIAMALI angeupata wapi?..me mwenyewe pamoja na ELIMU yangu ya juu lakini ni MJASIRIAMALI na nazitengeneza mno ila UJASIRIAMALI nalifundishwa na MWALIMU tena aliyekuwa bado hajamaliza mafunzo yake ya ualimu wakati huo..

N.B: ndugu dady1000 anahitaji mwalimu kwani hajui uhasibu yeye anajua uwasibu, afu mshahara wa hao wafanayakazi wake atawalipa 45000, moja ya kumi ya ule wa ualimu nadhani hapa kadanaganya umma. Na aombe msamaha tafadhari vinginevyo kajitusi mwenyewe.

kwnza hakuna mtumish mwalimu wa serikali analipwa 45000 halafu hicho anacho kisemayey ni sawa na sizitaki mbichi hizi baada ya kushindwa kuzifikia. Lakini pia hkuna kazi yenye mda na likizo nyingi kama ualimu katika taifa hili.na mwl anaweza pia kuwa mjasiria mali mkubwa na hku akiwa mtumishi.over
 
Carinyo gazeti la Uhuru hili hapa
Jaman mbona hatuzion kwenye mtandao ni kwel au poyoyo tu


Uhuru.jpg
 
Back
Top Bottom