Serikali yatoa TZS47.777bn kwaajili ya huduma za afya

Serikali yatoa TZS47.777bn kwaajili ya huduma za afya

Katika kipindi cha 2020 hadi 2025, Mkoa wa Tanga umeongeza idadi ya vituo vya kutolea huduma za afya kutoka 325 hadi 417 (ongezeko la vituo 92), ambapo zahanati zimeongezeka kwa 74 (kutoka 287 hadi 361), vituo vya afya kwa 15 (kutoka 31 hadi 46), na hospitali kwa 3 (kutoka 7 hadi 10). Kwa upande wa rasilimali, mkoa umepokea shilingi 19,751,050,000.00 kwa ajili ya ununuzi wa dawa na vifaa tiba muhimu kama CT Scan, X-ray, vitanda na ambulance.

Aidha, mkoa umepokea shilingi 3,600,000,000.00 kwa ajili ya magari 12 ya wagonjwa, shilingi 17,575,497,902.00 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa hospitali 10 katika halmashauri mbalimbali, na shilingi 1,000,000,000.00 kwa ajili ya majengo 3 ya dharura (EMD). Pia, shilingi 1,137,000,000.00 zilitumika kujenga nyumba 19 za watumishi wa afya, shilingi 250,000,000.00 kwa ajili ya ICU ya Hospitali ya Pangani, na shilingi 4,463,960,376.00 kwa miundombinu ya maji, vyoo, kunawa mikono, na vichomea taka katika vituo 71.

Kwa ujumla, mkoa wa Tanga umetumia shilingi 47,777,508,278.00 katika kuboresha huduma za afya. Vilevile, kumekuwa na ongezeko la watumishi kutoka 3,185 hadi 4,380 kufikia Mei 2025, ambapo watumishi wapya 926 wameajiriwa na ongezeko la jumla limefikia watumishi 1,195.​
Safi sana Mhe RC
 

View: https://youtu.be/EDoqZVvu-tA?si=7BlGcYkD5biZQ1xs

Rais Samia amepeleka jumla ya TZS 146,340,236,113.41 Mkoa wa Kagera kwaahili ya huduma za Afya na kumfanya kuwa Rais wa kwanza Tanzania kupeleka pesa nyingi zaidi mkoani Kagera
​

1. Zahanati: kutoka 217 hadi 283 (mpya 66).
2. Huduma za kibingwa mpya 5 zimeanzishwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa (upasuaji wa pua, koo, masikio, mifupa, na magonjwa ya ndani). Hii imeongeza wagonjwa wa rufaa waliotibiwa ndani ya mkoa kutoka 128,305 hadi 478,002 — ongezeko la 349,697 sawa na 273%.
3. Upatikanaji wa dawa na vifaa tiba umeongezeka kutoka 85% hadi 93%.
4. Vifaa tiba vya kisasa (CTC-Scan, ECHO, ECG) sasa vinapatikana Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, hivyo kupunguza rufaa kwenda Bugando na Muhimbili.
5. Watumishi wa afya wameongezeka kutoka 2,139 hadi 3,542 — ongezeko la 1,403 (66%).
6. Nyumba za watumishi zimeongezeka kutoka 318 hadi 423 — ongezeko la 105 (33%).

Shuguhuli
2020​
2025​
Ongezeko​
Asilimia (%)​
Jumla ya Fedha Zilizotolewa (TZS)
-​
146,340,236,113.41​
-​
-​
Vituo vya kutolea huduma za afya
249​
336​
87​
-​
Hospitali
3​
11​
8​
-​
Vituo vya Afya
29​
42​
13​
-​
Zahanati
217​
283​
66​
-​
Wagonjwa wa Rufaa waliotibiwa ndani ya Mkoa
128,305​
478,002​
349,697​
273​
Upatikanaji wa dawa na vifaa tiba ( kwa % )
85​
93​
-​
-​
Vifaa tiba vya kisasa
Hakuna​
CTC,Scan, ECHO, ECG​
vipo​
-​
Idadi ya Watumishi wa Afya
2,139​
3,542​
1,403​
66​
Nyumba za Watumishi wa Afya
318​
423​
105​
33​

NB, Huduma za Kibingwa Mpya: 5 ikiwa ni pamoja na Upasuaji wa pua, koo, masikio, mifupa, na magonjwa ya ndani)​
 

View: https://youtu.be/EDoqZVvu-tA?si=7BlGcYkD5biZQ1xs

Rais Samia amepeleka jumla ya TZS 146,340,236,113.41 Mkoa wa Kagera kwaahili ya huduma za Afya
  • Vituo vya kutolea huduma za afya vimeongezeka kutoka 249 hadi 336 (ongezeko la 87)
  • Hospitali: kutoka 3 hadi 11 (mpya 8).
  • Vituo vya afya: kutoka 29 hadi 42 (mpya 13).
  • Zahanati: kutoka 217 hadi 283 (mpya 66).
  • Huduma za kibingwa mpya 5 zimeanzishwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa (upasuaji wa pua, koo, masikio, mifupa, na magonjwa ya ndani). Hii imeongeza wagonjwa wa rufaa waliotibiwa ndani ya mkoa kutoka 128,305 hadi 478,002 — ongezeko la 349,697 sawa na 273%.
  • Upatikanaji wa dawa na vifaa tiba umeongezeka kutoka 85% hadi 93%.
  • Vifaa tiba vya kisasa (CTC-Scan, ECHO, ECG) sasa vinapatikana Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, hivyo kupunguza rufaa kwenda Bugando na Muhimbili.
  • Watumishi wa afya wameongezeka kutoka 2,139 hadi 3,542 — ongezeko la 1,403 (66%).
  • Nyumba za watumishi zimeongezeka kutoka 318 hadi 423 — ongezeko la 105 (33%).
Shuguhuli20202025OngezekoAsilimia (%)
Jumla ya Fedha Zilizotolewa-TZS 146,340,236,113.41--
Vituo vya kutolea huduma za afya24933687-
Hospitali3118-
Vituo vya Afya294213-
Zahanati21728366-
Wagonjwa wa Rufaa waliotibiwa ndani ya Mkoa128,305478,002349,697273%
Upatikanaji wa dawa na vifaa tiba85%93%--
Vifaa tiba vya kisasaHakunaCTC-Scan, ECHO, ECG--
Idadi ya Watumishi wa Afya2,1393,5421,40366%
Nyumba za Watumishi wa Afya31842310533%

Huduma za Kibingwa Mpya: 5 (Upasuaji wa pua, koo, masikio, mifupa, na magonjwa ya ndani)

Rais au Serikali ??? Mnashindwa kuelewa kuwa Rais hana hela Ila Serikali ndo ina allocate pesa
 
Rais au Serikali ??? Mnashindwa kuelewa kuwa Rais hana hela Ila Serikali ndo ina allocate pesa
Huyu Hajati Bibi RC naye amezidi kujipendekeza , Serikali ndo imeleta, siyo huyo dadake. Ni hela za walipa kodi wa Tanzania na kama imetokana na mikopo basi hili deni la Watanzania na wala siyo la Rais. Kama hela hawa wasaidizi wake wanesema mama yao ndo kaleta, mbona hatusemi kuwa ni deni la Rais bali tunasema eti deni la Taifa. Basi liitwe Deni la Rais, kama hela analeta Rais.
 
Huyu Hajati Bibi RC naye amezidi kujipendekeza , Serikali ndo imeleta, siyo huyo dadake. Ni hela za walipa kodi wa Tanzania na kama imetokana na mikopo basi hili deni la Watanzania na wala siyo la Rais. Kama hela hawa wasaidizi wake wanesema mama yao ndo kaleta, mbona hatusemi kuwa ni deni la Rais bali tunasema eti deni la Taifa. Basi liitwe Deni la Rais, kama hela analeta Rais.
kwani kusema ukweli ni kujipendekeza?
 
Serikali imepeleka.......! Na siyo Samia amepeleka......! Kodi za wananchi hazijawahi kuwa mali ya mtu binafsi! hivyo muache upotoshaji kwa lengo tu la kujipendekeza.
 
Soko limewashinda,stendi imewashinda,daraja la kanoni kila siku mnacheza sarakasi,kipande cha barabara ya Hamugembe hamueleweki mnafanya nini.Hivi huyu RC nae msengerema sio rais pesa katoa wapi hiyo?
 
mambo mazuri ya maendeleo ni serikali, serikali ikiboronga ni raisi na chama....acheni unafiki!!
 
Back
Top Bottom