Serikali yatoa TZS47.777bn kwaajili ya huduma za afya

Safi sana Mhe RC
 

View: https://youtu.be/EDoqZVvu-tA?si=7BlGcYkD5biZQ1xs
Rais Samia amepeleka jumla ya TZS 146,340,236,113.41 Mkoa wa Kagera kwaahili ya huduma za Afya na kumfanya kuwa Rais wa kwanza Tanzania kupeleka pesa nyingi zaidi mkoani Kagera
​
1. Zahanati: kutoka 217 hadi 283 (mpya 66).
2. Huduma za kibingwa mpya 5 zimeanzishwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa (upasuaji wa pua, koo, masikio, mifupa, na magonjwa ya ndani). Hii imeongeza wagonjwa wa rufaa waliotibiwa ndani ya mkoa kutoka 128,305 hadi 478,002 — ongezeko la 349,697 sawa na 273%.
3. Upatikanaji wa dawa na vifaa tiba umeongezeka kutoka 85% hadi 93%.
4. Vifaa tiba vya kisasa (CTC-Scan, ECHO, ECG) sasa vinapatikana Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, hivyo kupunguza rufaa kwenda Bugando na Muhimbili.
5. Watumishi wa afya wameongezeka kutoka 2,139 hadi 3,542 — ongezeko la 1,403 (66%).
6. Nyumba za watumishi zimeongezeka kutoka 318 hadi 423 — ongezeko la 105 (33%).

Shuguhuli
2020​
2025​
Ongezeko​
Asilimia (%)​
Jumla ya Fedha Zilizotolewa (TZS)
-​
146,340,236,113.41​
-​
-​
Vituo vya kutolea huduma za afya
249​
336​
87​
-​
Hospitali
3​
11​
8​
-​
Vituo vya Afya
29​
42​
13​
-​
Zahanati
217​
283​
66​
-​
Wagonjwa wa Rufaa waliotibiwa ndani ya Mkoa
128,305​
478,002​
349,697​
273​
Upatikanaji wa dawa na vifaa tiba ( kwa % )
85​
93​
-​
-​
Vifaa tiba vya kisasa
Hakuna​
CTC,Scan, ECHO, ECG​
vipo​
-​
Idadi ya Watumishi wa Afya
2,139​
3,542​
1,403​
66​
Nyumba za Watumishi wa Afya
318​
423​
105​
33​

NB, Huduma za Kibingwa Mpya: 5 ikiwa ni pamoja na Upasuaji wa pua, koo, masikio, mifupa, na magonjwa ya ndani)​
 
Rais au Serikali ??? Mnashindwa kuelewa kuwa Rais hana hela Ila Serikali ndo ina allocate pesa
 
Rais au Serikali ??? Mnashindwa kuelewa kuwa Rais hana hela Ila Serikali ndo ina allocate pesa
Huyu Hajati Bibi RC naye amezidi kujipendekeza , Serikali ndo imeleta, siyo huyo dadake. Ni hela za walipa kodi wa Tanzania na kama imetokana na mikopo basi hili deni la Watanzania na wala siyo la Rais. Kama hela hawa wasaidizi wake wanesema mama yao ndo kaleta, mbona hatusemi kuwa ni deni la Rais bali tunasema eti deni la Taifa. Basi liitwe Deni la Rais, kama hela analeta Rais.
 
kwani kusema ukweli ni kujipendekeza?
 
Serikali imepeleka.......! Na siyo Samia amepeleka......! Kodi za wananchi hazijawahi kuwa mali ya mtu binafsi! hivyo muache upotoshaji kwa lengo tu la kujipendekeza.
 
Soko limewashinda,stendi imewashinda,daraja la kanoni kila siku mnacheza sarakasi,kipande cha barabara ya Hamugembe hamueleweki mnafanya nini.Hivi huyu RC nae msengerema sio rais pesa katoa wapi hiyo?
 
mambo mazuri ya maendeleo ni serikali, serikali ikiboronga ni raisi na chama....acheni unafiki!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…