Serikali yatoa TZS47.777bn kwaajili ya huduma za afya

Waambiwe hao watu wanapojenga majengo mazuri ya kisasa, basi waweke na pavement nzuri, kuacha udongo, vumbi au mchanga unafanya majengo yawe yanahitaji marekebisho ya haraka. Na pia yanazeesha nyumba.
 
ushauri mzuri sana
 
Hongera Tanzania yangu, Asnate
 
Nampongeza
 
Sadi sana
 
Watanzania sasa wanaelewa vizuri hasa kazi za mama yao Rais Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…