Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Tanzania kupanga kununua umeme nchini Ethiopia

Ufafanuzi haujitoshelezi, unaongeza maswali zaidi!
 
Mbali ni Stiglers. Ethiopia ni karibu kabisa. Kwani hamjui kuwa kutoka Dodoma mpaka Arusha ni mbali kuliko Addis Ababa mpaka Arusha?
Hapana. Addis Ababa ni mbali kabisa karibia Km 2000 toka Arusha wakati Dom Km 400
 
Kwani kuusafirisha umeme kutoka kusini mgharibi,na kutoka Ethiopia wapi ni mbali?
Je Ethiopia wanawezaje kusafirisha kutoka huko hadi huku bila upotevu?
Ila sisi tushindwe kusafirisha ndani ya inch yetu wenyewe kisa upotevu??SI Bora upotee ukiwa kwetu?
 
 
Unajua Tanga, Kilimanjaro na Morogoro kuna jumla ya vyanzo vingapi vya UMEME? Au na Wewe umekariri? Unaifahamu Nyumba ya Mungu hydro powers? Pangani hydro powers? Hale hydro powers? Etc hizo hazitoshi kuboreshwa?? Hadi utoe UMEME Ethiopia?
Tafuta study iliyopelekea kuamua hilo hawajakurupuka
 
Usitufanye wote wajinga Ndugu, Huko kote kuna vyanzo vya UMEME, unavyoandika it's like tuko gizani Kabisa.....

Hio kaskazini peke yake ina vyanzo vya kutosha, huhitaji UMEME wa Kenya.

Nyumba Ya Mungu
Hale
Rufiji
Kidatu
Kihansi
Mtera
Rusumo
IPTL
SONGAS
 
Ethiopia Nchi yenye jangwaaa na vita kila siku wanapewa dili la kuuzia umeme nchi yenye Gas asilia ya kutosha na Bwawa kubwa la kuzalishia umemee.. Hakuna ufafanuzi wa huu upuuzii hata maiti haiwezi kukuelewa achilia viumbe hai kama mbwa na pakaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…