Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana. Addis Ababa ni mbali kabisa karibia Km 2000 toka Arusha wakati Dom Km 400Mbali ni Stiglers. Ethiopia ni karibu kabisa. Kwani hamjui kuwa kutoka Dodoma mpaka Arusha ni mbali kuliko Addis Ababa mpaka Arusha?
Na bado Wana uthubutu wa kununua mav8 mapya karibia Kila mwaka. Nchi ina viongozi wa ajabu sana.Yaani umeme wa bwawa la Ethiopia unafika Tanzania nchi ambayo iko mbali sana wakati umeme wa Tanzania haufiki sehemu zingine za Tanzania😂😂🤦🏾♂️🤦🏾♂️
CCM wakishalipwa posho wanaongea lolote wanalojiskia kisha baada ya muda wanakuja kujipinga wenyewe kwa wenyewe.IlaView attachment 3264899View attachment 3264900View attachment 3264901 CCM buana, tuwe na kumbukumbu
Unajua Tanga, Kilimanjaro na Morogoro kuna jumla ya vyanzo vingapi vya UMEME? Au na Wewe umekariri? Unaifahamu Nyumba ya Mungu hydro powers? Pangani hydro powers? Hale hydro powers? Etc hizo hazitoshi kuboreshwa?? Hadi utoe UMEME Ethiopia?Ambao hawajaelewa naomba kutoa mfano huu!....
Maswali kwenu wataalamu!
1. Nini kinatofautisha umeme unaozalishwa kwa maji Ethiopia uwe wa bei ya chini halafu umeme wetu wa maji uwe wa bei kubwa?
2. Wataalamu wa Ramani ya Afrika, wapi ni mbali kati ya kutoka Ethiopia kupita Kenya mpaka Kaskazini mwa Tanzania, na kutoka Kusini mwa Tanzania mpaka Kaskazini mwa Tanzania?
3. Umeme utakaotoka Ethiopia kuja Tanzania wenyewe haupotei njiani?
4. Umeme utanunuliwa Ethiopia kwa bei ya chini, je utauzwa kwa wananchi wa Kaskazini kwa bei ya chini pia?
Haha 😂 punguza hasiraMkuu acha usenge, hivi unatuona wote ni mazezeta siyo. Kwani huu umeme tunafunga miundo mbinu mipya? Si tunapeleka grid ya taifa na utaratibu unaendelea
Tafuta study iliyopelekea kuamua hilo hawajakurupukaUnajua Tanga, Kilimanjaro na Morogoro kuna jumla ya vyanzo vingapi vya UMEME? Au na Wewe umekariri? Unaifahamu Nyumba ya Mungu hydro powers? Pangani hydro powers? Hale hydro powers? Etc hizo hazitoshi kuboreshwa?? Hadi utoe UMEME Ethiopia?
Iptl na songas zitoeee
Usitufanye wote wajinga Ndugu, Huko kote kuna vyanzo vya UMEME, unavyoandika it's like tuko gizani Kabisa.....Kenya ....40% wanasambaza walionunua Ethiopia uko 200km from boarder yetu....cost zao kuleta boarder....beiaoiko cheap zaidii yetu......kufikisha huko ftom rufiji sio chini miaka 6...plus cost zoote fidia etc....bado kupeleka Mwanza Ngara...bado Mveya Rukwa ( wanatumia zambia).....hii sio siasa we need pesa na kipaumbelee ....kumbuka bado maji tu rahisi hatuwezi kufikisha......weeee sikia tuuu.......hapo hakuna siasaa
Itafute uweke hapa! Simple, njooo na facts na zitakua challengedTafuta study iliyopelekea kuamua hilo hawajakurupuka
Okay, na ile project ya kuzalisha umeme jua? Bado hoja yako haina mashikoIptl na songas zitoeee
Ipo inahitaji pesa pia uzalishwe kwani shida nn? Pesa tuuuuOkay, na ile project ya kuzalisha umeme jua? Bado hoja yako haina mashiko
Hapa naiona mbinu ya watu kutolewa kwenye mijadala ya No reforms no election.Naam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
View attachment 3264882View attachment 3264881
Study gani hapo unaongelea wee kolo???Tafuta study iliyopelekea kuamua hilo hawajakurupuka